Davison

90 posts

Davison

Davison

@NickSound170026

Live Good Rescue Others

Katılım Nisan 2025
50 Takip Edilen6 Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo amezaliwa Chinja chinja, Nduli Idd Amin Mama na hii ni moja kazi aliyoifanya Oktoba 29. Hizi damu za Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi aliowauwa kwa risasi zitamlilia yeye na kizazi chake mpaka siku anaingia kaburini.
Indonesia
24
187
607
15.6K
Davison
Davison@NickSound170026·
@godbless_lema hasa wale viongozi wanao promote amani wanasahau haki hao wakitawanywa kulia na kushoto fanya hata vurugu ili zoezi lisimame ukiwa unatafakari labda kuna option ya tatu
Indonesia
0
0
0
1.3K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kama safari ikifika siku ya mwisho wa Dunia, tukawa sasa tuko foleni, aidha kwenda Jehanamu (motoni) au Peponi kwa Mwenyezi Mungu. Mimi nitakuwa naangalia mbele kwa bidii sana. Nikiona baadhi ya viongozi wa dini wakielekea, kwa mfano, upande wa kushoto, mimi moja kwa moja nitaenda kulia. Kwa maana huko kushoto hakuwezi kuwa mbinguni kabisa. Nimefikiria tu.
Indonesia
38
98
900
37.9K
Davison
Davison@NickSound170026·
@SuluhuSamia Watch your back and your steps anytime @realDonaldTrump can capture you as he captured president maduro. I can't wait to see this happening soon
English
0
0
0
7
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
"Nyie mmevunjwa MIGUU NA MIKONO mnalia lia hapa, wenzenu wapo kwenye MAFRIJI wameoza huko" JOVIN. Kamsikilize JOVIN ameongea mengi ambayo yalifanyika GIZANI. Pole kwa yote mzee. Repost 200 TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
44
361
1.5K
42.2K
Davison
Davison@NickSound170026·
@HecheJohn Serikali inaongozwa na watoto wenye umri mkubwa
Indonesia
1
0
10
838
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hakuna mtu anaeweza kukwamisha watu kuja kutoa maoni…. Watanzania wanajiuliza kuhusu kuaminika kwenu Nyie tume… Kama Watanzania wangekua na Imani na nyie hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwazuia kuja kutoa maoni.. Watanzania wanajuliza je nyie mnaweza kuja na ripoti tofauti na ambacho aliewateua amekwisha sema? 1. Walioandamana walilipwa fedha 2. Wanatumiwa na walitumiwa na mabeberu 3.Sio Watanzania ni watu kutoka Mataifa ya nje. 4. Waliandamana kwa mkumbo tu hawajui walichokua wanadai na hata madai yao hayapo. Je nyie mnaweza kutoa ripoti tofauti na mawazo ya hawa waliowapa kazi?
John Heche tweet media
Indonesia
132
238
1.1K
46.5K
Davison
Davison@NickSound170026·
@PMadeleka Now wanataka ushahidi wa whatsapp
Filipino
0
0
0
210
Davison
Davison@NickSound170026·
@MariaSTsehai nimeisha tiki na lazima tushinde asubuhi mapema, hakikisheni mnapiga kura na kurui nyumbani kuendelea na majukumu mengine as she said
Indonesia
0
1
17
3.9K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
This is the most reviled person in #Tanzania Meet Samia Suluhu Hassan -Mass murderer in chief who ordered the massacre of thousands of innocent Tanzanians in Tanganyika Vote for her to be the Tyrant of the Year 2025 here: 👇🏾 indexoncensorship.org/2025/12/tyrant… She deserves the title!
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
10
148
476
19.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu kijana anaitwa Nicodemus Julius Loyore ni miongoni mwa Vijana ambao walifanyakazi kubwa sana kwenye Maamdamano ya Oktoba 29. Hii video alipost kwenye ukurasa wake wa Tiktok siku ya Oktoba 29 kwa ajili ya kuhamasisha Gen-Z wenzake. Disemba 19, 2025 Nicodemus alivamiwa ofisini kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi wakiongozwa na George Bagyemu ambae ni msaidizi wa Mafwele wakamteka kisha wakaondoka nae mpaka sasa hatujui wamempeleka wapi. Tunatamtaka George Bagyemu na Mafwele watuambie huyu kijana wamempeleka wapi. #FreeNicodemusLoyore
Filipino
35
289
992
34.9K
Davison
Davison@NickSound170026·
@pastajoshuatz toa na dawa ya kumuendea kwanza huku nikiwa natafuna mlumbelumbe
Filipino
0
0
1
375
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Kwa wale vijana wa kiume ambao ni wazito kufunguka yaliyo moyoni mwao maarufu kama “DOMO ZEGE” basi MLUMBELUMBE ndio suluhisho lao, wanachotakiwa kufanya ni kumuendea muhusika wakiwa wanatafuna huku wakizungumza na mlengwa. Wanasiasa hii ni moja ya silaha zao kubwa sana, hutumia kuwapumbaza wananchi na kujikuta wakipigiwa kura na kupata madaraka kiurahisi bila kupata vikwazo. Ndio maana unaweza ukashangaa mwanasiasa alikuwa haonekani jimboni lakini akitokea kipindi cha uchaguzi watu wanamshangilia hata kama hajafanya kitu. Wasaani wa muziki na movie hii hapa mizizi 🫵
PASTA JOSHUA tweet media
Filipino
37
21
130
17.1K
Mchambuzi
Mchambuzi@Baraza_Kuu·
Askofu wa Jimbo Katoliki Kigoma Mhashamu Joseph Mlola amewataka vijana nchini kuiga, kudumisha mambo mema na kulinda utamaduni wa watanzania ili kuwe kizazi chenye maadili mema. Akitoa homilia yake wakati wa misa Takatifu ya Noeli iliyofanyika Kitaifa katika Kanisa la Kiaskofu Bikira Maria Mshindaji lililopo Kigoma, Askofu Mlola amesema kwa sasa kuna tabia ambazo zinaharibu utamaduni wa Mtanzania ambazo wengi wa vijana wameziiga kutoka katika mataifa mengine na kuwataka katika misingi ya utamaduni na kuacha kuiga kila kitu. “Utakuta kijana kavaa suruali mkanda anaufungia kwenye magoti,anatembea kama anamatege, ukiuliza ameiga kutoka mataifa mengine, jambo hilo halikubaliki maana siku za mbeleni hiyo suruali itakuwa inaburuzwa kama Kamba”,alisema Mwijage. Naye aAskofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu Jovitus Mwijage akihubiri katika Mkesha wa Sikuku ya Noeli jimboni humo amewaasa Watanzania kuungana na kuishi kama familia moja na kuepuka mambo yote yanayoweza kuwagawa hasa katika kipindi hiki. Sherehe ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo inaadhimishwa duniani kote kila ifikapo Desemba 25 ya kila mwaka kukumbuka kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristo takribani miaka 2000 iliyopita, viongozi wa dini ya Kikirsto hutumia ibada za siku hiyo kutoa ujumbe mahsusi wenye kulenga kujenga jamii bora zaidi na yenye kumcha Mwenyezi Mungu.
Mchambuzi tweet media
Indonesia
63
47
52
3.9K
Mfanyakazi Online Media
Mfanyakazi Online Media@MfanyakaziNews·
BAKWATA IMEANZISHWA NA WATU WASIOJULIKANA, SIYO WAISLAMU- MAHAKAMA Hukumu ya Mahakama Kuu imesema kuwa BAKWATA imeanzishwa na watu wasiojulikana, hivyo siyo baraza kuu linalowakilisha Waislamu nchini Tanzania
Mfanyakazi Online Media tweet mediaMfanyakazi Online Media tweet mediaMfanyakazi Online Media tweet media
Filipino
14
54
235
24.6K
Davison
Davison@NickSound170026·
Mambo yanabadilika kwa speed sana biashara zinakuja na mbinu tofauti tofauti kila siku na ili kufanikiwa unahitaji nidhamu ya matumizi ya input na output ili kutoboa, kwa wanao tafuta program ya kuendeshea biashara tumia #GavanaEdge utanishukuru tinyurl.com/3arjxnfr
Indonesia
0
0
0
13
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Watu wanasubiri kuona hii picha ya Mo Salah na familia yake ambayo huwa anapost kila mwaka siku ya Christmas. Mwaka huu kuna uwezekano mkubwa kuwa hata post sababu ya majukumu aliyonayo huko Morocco kwenye michuano ya AFCON.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
40
30
746
22.8K