Mziba matundu
160 posts


@fellu__ Hii bonge la idea, it's very good way to torture your enemies😅
English

@ayubu_madenge Unakuta anafanya ivyo vyote, ila unakuta ana watoto wa wawili tyr.
Filipino

@BesteNicolas Haina haja ya kuacha, tuzungumzie namna ya kuiboresha
Suomi

@Xy_teacher @iammpemba Mtu kastaafu ubalozi to do this, ungekua wewe ungetaka kuzeekea kwenye cheo kama hicho,
Indonesia

@iamsalumally Binafsi sijawah kuona series kali ya mablack america.
Indonesia

@maila_kasorii Hio mbona hata sio kesi, kesi ilikua kumwaga sukari😀.
Indonesia

@Trader_NAStz @Psiteshio1 Mwanetu maisha yako ni mazuri ila yanaboa
Filipino

@Psiteshio1 Miak 25 no alcohol
Miaka 7 no soda
Miaka 25 no 🚬
25 sijawah kwend club
25 cjawah kula Donati
25 cjawh nunua mwanamke
Miaka 3 sija sicilia mziki
Miaka 10 sili vitu vya ndani
Miaka 10 sili vitu nyenye mafuta
Miaka 10 sili vitu vyenye viungo vingi
Miaka 8 sjawah acha mazoez
Indonesia

@Bm3gh With all due respect; Hivi wasanii na wachezaji huwaga hawana bima za afya au plan za bima za afya wanazolipia kuna baadhi huduma hazitoi?
Indonesia






























