Rangitano
4.7K posts

Kikosi cha wala michango na rambirambi ambao hawataki kusikia Lissu anatoka mahabusu…. Hadi ndugu wa Lissu Wakili Msomi Alute Mgwai ameamua kuwafungulia kesi ya wizi kabisa… Hawa vibaka ndio wanategemewa kuitoa ccm madarakani?…. Mamae zao….

Yericko punguza sukari na povu, Michango iliratibiwa na kukusanywa kwa Familia ya Mhe Lissu. CHADEMA aijahusika ktk michango hiyo. Kama Mwanachama alie karibu na Familia ya Mhe Lissu na amehusika KUIBA, Chama kitamshughulikia kimaadili. UADILIFU wa CHADEMA upo ABOVE CRITICISM.