servant of God.

1.7K posts

servant of God. banner
servant of God.

servant of God.

@OSenkondo

| song writer | gospel artist 🎚️🎹🎼🎤🎸| minister Chelsea member ⚽ | 🌎🌏| Church ⛪ Tanzania.🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2014
739 Takip Edilen931 Takipçiler
Dr. Coy Barker
Dr. Coy Barker@coybarker·
Get ready for God to SHIFT things in your FAVOR! Dee and I are praying for you! 🔥❤️🙏
Dr. Coy Barker tweet media
English
61
28
372
4.2K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Eeh M/Mungu uturuzukuye, tunaikabidhi timu yetu mikononi mwako. Ikikupendeza, tujaalie mchezo mwema usiku huu. Nasi tutarejea kukushukuru. #NguvuMoja🦁
Tito Magoti tweet media
Indonesia
37
115
948
17.7K
servant of God.
servant of God.@OSenkondo·
@kaji_sijo Mungu aliimuumba mtu asiwe robot, Kila mtu ana uhuru wa Maamuz na Vile anavyotaka kuishi
Eesti
1
0
1
535
Kaji 🎬
Kaji 🎬@kaji_sijo·
Kwenye picha ni Shafilea Binti alie uliwa kikatili na wazazi wake wawili hao. - Akitoa ushahidi mahakamani dadaake mdogo wa Shafilea kwa jina ni Alesha kwa uchungu huku akilia alisema "wazazi wetu ndio walio muua dada, Mama alimsukuma dada kwenye kochi kisha kusema mmalizieni haraka afe. Anaendelea kusema hii ilikuja baada ya ugomvi mkali kuibuka kati ya Dada na Wazazi wetu yaani mzee , Iftikhar na mkewe Farzana Ahmed Kisa ni nini? Walimuua kifo gani? Shuka Na Uzi mfupi 🧵⤵️
Kaji 🎬 tweet media
Indonesia
51
75
630
189.9K
Jeff Strilich
Jeff Strilich@DJS2515·
I am at the point of giving up... please pray for me.
English
2.5K
469
8.8K
307.9K
servant of God.
servant of God.@OSenkondo·
@faraja_zungu Matatizo yalianzia siku ile alipokwambia umtafutie kazi, Irine aliishi na wewe kijanja sana, na Hivi ndivyo wanawake wengi wanaishi na waume zao, afu ni wapumbavu Sana, wakiwa ofisini wanadanganyana..Shoga usikae kizembe, mwenzio najenga madale na mume wangu hajui..huu ni ujinga
Indonesia
2
0
1
1.1K
Faraja | Mkulima
Faraja | Mkulima@faraja_zungu·
Mwaka 2016 nilifunga pingu za maisha na Irene, alikuwa amehitimu elimu ya chuo kikuu hapa Ndoa yetu ilikuwa na amani sana kiasi nikawa najuta kwanini sikufanya maamuzi haya mapema Miezi sita ilikatika tangu tufunge ndoa hapo mke wangu akaanza kunisumbua akitaka ajira rasmi 👇:
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
19
72
1K
279.7K
servant of God.
servant of God.@OSenkondo·
@ayubu_madenge @grok hebu nielezee Kwa Nini msalaba unegeuzwa chini juu, juu chini kwenye picha ya askofu Nini Maana yake?
Indonesia
1
0
0
277
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Askofu Bagonza akiwa sehemu ya viongozi wa dhehebu la KKKT wanaoongoza ibada ya mazishi ya Cleopa Msuya muda huu huko Usangi- Kilimanjaro.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
13
109
1.8K
35.2K
Luhaga Mpina
Luhaga Mpina@LuhagaMpina·
Mtu aliyenifukuza Bungeni bila kunipa nafasi ya kunisikiliza. Juzi alisikika akisema kwamba, hakuna uthibitisho wa watu walioripotiwa kutekwa kwamba wametekwa, hivyo sio sawa kuripoti wametekwa kwa maana hakuna uthibitisho. Usikia kejeli, dhihaka na jeuri ya cheo, ndio hii.
Indonesia
171
513
3.1K
119.5K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mnamwona coordinator ndo anatoa maelekezo? “Tusiruhusu maswali” Haulizi! Anaelekeza! Nikiwaambia kitu mkibisha nawaacheni tu 🤣 maana #TutaelewanaTu
Indonesia
46
87
320
47K
servant of God.
servant of God.@OSenkondo·
@ayubu_madenge Yes hakuacha utaratibu huu, Yesu alichagua wanafunzi wake ambao wakaja kua mitume, walichaguliwa hadharani,
Indonesia
0
0
0
220
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wewe ndiye Petro na juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu. Papa wa kwanza alikuwa Petro mfuasi wa Yesu na Papa wa 267 ni huyu Papa Leo XIV.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
68
70
1.4K
58.1K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mmarekani amechaguliwa kuwa Papa. Kwa mara ya kwanza tumepata Papa kutoka Marekani anaitwa Robert Prevost.
Filipino
47
41
744
39.4K
servant of God. retweetledi
Amir ✝️👑⛪️📖✨️
Amir ✝️👑⛪️📖✨️@AAmirKh50764293·
You can’t enter Heaven unless Jesus enters You ✝️📖🙏⛪️🕊
English
2
3
19
403
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Pisi nane tu za mbao 8 by 1 zinamzika one of the most powerful leaders on planet earth. Hili linapaswa kututafakarisha sana!!
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
68
50
821
71.9K
servant of God.
servant of God.@OSenkondo·
@EmanuelHincha @mdudenyagali @ayubu_madenge Hoja ni Mtume Petro kua papa wa kwanza, je jambo hili kimaandiko na kihistoria Lina ukweli?? Kanisa la catholic lilianza Karne ya TATU, na Petro alishafariki Kwa kuuwawa, je inakuaje Petro kua papa wa kwanza
Filipino
2
0
0
15
matovu's successor
matovu's successor@EmanuelHincha·
@mdudenyagali @ayubu_madenge Ukristo ulianza baada ya Yesu kufa..ila Roman empire iliupinga na kuwaua wakristo na kuwazushia mambo mengi ikiwamo Kuwaita cannibalists.kwahiyo ibada zilikua za siri sana..mtaguso wa Nisea ndio ulikuja kurasimisha ukristo..ila ukristo ukianza baada ya kifo cha Yesu.pentekoste
Indonesia
1
0
1
81
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Eneo hili ndipo Kaisari Nero alimpo mtundika Petro aliyekuwa mfuasi wa Yesu kichwa chini miguu juu kisha akamuua. Kaburi la Petro lipo ndani ya Kanisa lililopo eneo hili na Petro ndiye Papa wa Kwanza wa Kanisa Katoliki. Leo watu wamekusanyika eneo hili kumuaga Papa wa 266.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
130
98
1.4K
321.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
@Dr_DGwajima huyu mtoto hajanyonya siku ya pili leo. Mamaake alikamatwa na polisi kosa lake ni kuenda kuhudhuria kesi ya LISSU. Hakuwa na silaha yoyote ile, alikuwa na SIMU yake tuu. Leo mtoto anapitia mateso ya kushinda njaa kwasababu mamaake mpenda HAKI. Najua ww unapigania haki za watoto na wanawake. Muonee huruma huyu mtoto. Amani mnayoihuburi ni TUNDA LA HAKI, HAKI sikuizi haipo Tanzania, vaa UMAMA muonee huruma huyu mtoto. Muachieni mama yake. MURILO na SP ESTER MARTIN PETER wanajua alipo. Wakuonyeshe alipo HILDA. Sisi hawatusikilizi wanasema tunatumia lugha ngumu. #FreeHildaNewTon TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
65
216
1.2K
85K
GreaterThinker💎
GreaterThinker💎@HopeQuotes__·
Sasa Kwa Mambo Kama haya Kwanini Makundi ya Waasi Yasiendelee kua Mengi Africa..!!! Kuna Muda unakaa unawaza Badae unaona Kumbe wakatimwigine Wale Waasi hua wapo Sahihi Kabisaa Kupambana na Serikali iliyopo Madarakani... Serikali ya TANZANIA inataka watu Waingie Msituni...
Indonesia
24
62
500
10.9K