Kwahyo humu ndani mmekubaliana kwamba mtu mwenye miaka 45 sio mzee,
Hakuna kijana wa makamo jamani.
Miaka 45 saiv ni Mzee, angalieni umri wa kuishi saiv ni miaka mingapi alafu mje kubishana 😆
Tafadhali sana Msinitumie mabolo kwenye simu yangu furaha yako baki nayo mwenyewe nimeshawaambia sana hamuelewi Sitaki picha hizi mnashindwa nini kupiga simu??
Usenge huu🥸
Simu zetu zinashikwa na wengi
Kama una rafiki ambae ni mkaguzi wa nyama muulize ni kwanini wakaguzi WENGI hawapendi kula maini japo yana bei juu na virutubisho kibao. Kuna jambo halipo sawa. Ila sijamkataza mtu kula maini. Mwenyewe siku moja moja nayala