@Amujisiokum

9K posts

@Amujisiokum banner
@Amujisiokum

@Amujisiokum

@Odieman_255

I travelled to death and then went back to life, nothing surprises me thus whatsoever

Tabora, Tanzania Katılım Mayıs 2021
1.5K Takip Edilen1.2K Takipçiler
@Amujisiokum retweetledi
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
Kwa umoja huu Wauwaji waliofanya mauwaji makuu ya 29 okt 2025 haponi hata mmoja. Haki haiwezi kupotea hata ipite miaka mingapi lazima waliouwa maelfu ya Raia Wema wawajibishwe.
Indonesia
9
121
463
14.6K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@amina_hafidh @onlygodonsight Unazua taharuki tuu mtandaoni. Free ninja kwani kuna Nani kamshika? Sikaenda kwa mpenzi wake hukoo. Ukute kaenda kwa Mganga...🤣🤣🤣 Ila wanasiasa wanatuonaga mazezeta ya wapi sijuiii
Indonesia
0
0
2
235
@Amujisiokum retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kijana anaitwa James Temba ni ndugu wa Mwanamziki wa kundi la TMK Wanaume Family wakuitwa Mhe. Temba James Temba alitekwa na watu wasiojulikana Jijini Dar es salaam siku kadhaa zilizopita jana mwili wake umeonekana ukielea mto msimbazi Tabata huku ukiwa hauna kichwa. Huyu Msanii wenu pamoja na wenzake ni Makada wa CCM, tukiwaambia tuungane pamoja kupinga maswala ya Watu kutekwa, kuuwawa na kupotezwa huwa wanajivuta nyuma kwasababu wanadhan kwamba wao na familia zao wapo salama kwasababu wapo upande wa watekaji, leo na yeye limemkuta mtu wa familia yake. Wapendwa hakuna ambae yupo salama ili wote tuwe salama inabidi kila mmoja bila kujali itikadi wala dini, tuungane kupinga vitendo vya Utakaji na yote yanayofanana na haya. Hii nchi ni yetu sote, haiwezekani kikundi cha watu wachache ndo wawe wanaamua nan aishi na nani afe, HAPANA.
Indonesia
61
216
749
48.7K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@Sativa255 @MariaSTsehai Anajisemeaga shangazi Maria @MariaSTsehai etii... Tutaelewana tuu mbona. Huu wimbo ni wetu sote. Hili pambio, lazima kila MTU alijue. Haijalishi ni mtoto wa ndoa au WA kambo...
Indonesia
0
2
12
2.9K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mjomba wake msanii TEMBA alitekwa, jana maiti yake imeonekana imesombwa na maji huko Tabata haina KICHWA. Hutasikia uwajibikaji kwa vitendo vyote hivi vya utekaji kwasababu watekaji ni wao. Tanzania kuna VIBAKA wachache wao ndio wanatoa VIBALI vya watu kuishi sio kazi ya MUNGU tena.
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
23
111
640
37.8K
@Amujisiokum retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo itaachaliwa Documentary ya wananchi kuanzia saa 9:00 Jioni, hakikisha unasubscribe @MO29TV YOUTUBE.
Filipino
14
226
1.3K
24.8K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Yanga hawajafurahi sisi kuingia fainali lipo wazi😀
Indonesia
48
14
476
19.6K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@VitusNkuna Bongo Zozo kasema: mnaweza kununua maridhiano. Lakini sio miiyo ya watu. Pigeni Sana risasi. Pigeni Sana. Tuuweni mnoo. Ila ukweli mnaujua. We are the people. And one day, we will be able to defend ourselves Viva Chadema. Na niwaahidi. Siku Jambo likikaa upande wetu, hamtoamini
@Amujisiokum tweet media
Filipino
0
0
2
548
@Amujisiokum retweetledi
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
CHADEMA NI IMANI
14
88
450
19.4K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@millardayo Ipo mikononi mwa Bunduki. Ni risasi tuu. Uuwe ndugu zetu kama mbwa, umewazika kikatili, kwa makaburi ya halaiki. Inastaajabisha kuwa bado Una nguvu za kuongea. Dawa ya Moto ni Moto Kuna siku hili taifa laitajipambania lenyewe. Ipooo siku
@Amujisiokum tweet media
Indonesia
0
1
3
279
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kuweka misingi imara ya kuwawezesha Vijana ili waweze kushika na kuendesha Nchi kwa ufanisi, akisisitiza kuwa kundi hilo ndilo lenye idadi kubwa ya Watanzania kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022. Akizungumza leo Visiwani Zanzibar wakati wa kongamano la Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano, Rais Samia amesema hatima ya Taifa iko mikononi mwa Vijana, huku akieleza kuwa Serikali imejikita katika kuwajengea uwezo wa kiuchumi, kuimarisha mshikamano wa Kijamii na kuweka mazingira bora ya kisiasa yatakayowawezesha kushiriki kikamilifu katika Uongozi na maamuzi ya Nchi. “Vijana wangu kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2022, Vijana ndio wanafanya sehemu kubwa sana ya Taifa hili, sasa kama nilivyo sema hatima ya Nchi hii iko mikononi mwa Vijana, tunachofanya Serikali ni kujenga misingi na kuwajengea uwezo wa kiuchumi lakini pia kuiweka Jamii pamoja na kujenga mazingira mazuri ya kisiasa ili muweze kukamata na kuendesha Nchi” amesema Rais Samia. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
23
6
67
5.3K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@FabrizioRomano Blues can actually win a trophy this season while assnal bottle everything
@Amujisiokum tweet media
English
0
0
0
3
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🏆 OFFICIAL: Manchester City vs Chelsea will be the FA Cup final at Wembley. 🏟️
English
1.7K
5.9K
76.6K
1.5M
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@taifa_mbunge zozo I know you have been disappointed. But as a nation, we as a people of Tanganyika, we are highly esteemed and committed to reshaping the future of this country. Peace is a product. But for now, let this nation bleed to its core. Let everyone understand who is the real enemy
English
0
0
1
325
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Badala ya kuponya imetonesha vidonda tu.
Indonesia
15
137
517
11.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hii ni sauti ya wananchi Thank you Clara.
English
18
159
910
13.7K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@godbless_lema Vijana na watoto. Wake kwa waume. Walevi. Walokole. Mabishoo. Matozi. Pisi Kali. Kienyeji. Watoto WA shule za msingi. WA secondary. Vyuoni. Masela WA kitaa. Wahuni WA Boda. Vishandu. Wanangu WA magomeni. Raia WA Chugastan. Mbeya na Mwanza Wanangu wa Banda Umiza HATUTASAHAU KAMWE!
@Amujisiokum tweet media
Indonesia
0
0
3
301
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@YoungAfricansSC Simba asomwe vizuri. Moalin ni noma. Morning homework. Tunataka ukata mdomo wa huyu anayejiita mnyama.
@Amujisiokum tweet media
Indonesia
0
0
1
228
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Kwa kifupi sasa mambo yalikuwa hivi
Indonesia
6
24
366
7.1K
@Amujisiokum
@Amujisiokum@Odieman_255·
@YoungAfricansSC Tumecheza kitu uzima Sana. Top maturity kutoka kwa kila player. Asinki ajitazame. Anamakosa mengi. Damaro 🫩🫩🤙 fantastic Okello.. mhh nisimalize maneno. NB: kumbé mchungaji Maxi ukileta Bangi na yeye anazivuta. Amenikosha Sana. Hii silaha inamuhusu dada Farida..
@Amujisiokum tweet media
Indonesia
0
0
1
119