Mkali mmoja anae hamasisha kuoa bk mmoja wao kani DM anajua kutongoza hadi nmempenda
Nimemwambia me sio Bk nenda katafute Bk akasema Mapenzi upofu nmekupenda hivo hivo nmechekaa😁😄
@gratian_barbosa Kaka sisi shida yetu ni UCL tu msimu ujao na dalili nzuri hata kama tukipoteza leo. Nje ya top 5 ambaye anaweza kufikia alama zetu ni Bournemouth tu na hashindi mechi zote huyo 😀😀.!
Ukiniuliza ni mchezaji gani wa simba unawasi wasi nae kesho anaweza inyima yanga points 3 Mimi ntakuambia ni huyo jamaa hapo kwenye picha ndio mtu wa kumchunga zaidi hasa kuanzia kipindi cha pili
Calm down Edmund John, najua DM
yako itakuwa bize sana leo wapo watakao kutia moyo lakini wapo pia watakaokusema as if haujawahi kufanya jema
Kukosea kupo na leo umekosea wewe, huu sio mwisho wa career yako stay strong
Ujumbe wangu kwa Wananchi, wachezaji wengi wazuri wamewahi kupotea baada ya kukosea na waliopaswa kuwapa moyo kugeuka na kuwasimanga, Edmund yupo Yanga lakini Taifa linamuhitaji mpeni moyo badala ya kumpoteza
@BracuszCadabra Nyie ndio wale mnaamin DM ni kuvunja kuni sio?
Twende mbele kidogo angalia de Jong, vitinha, rodri, Graven, etc okay bac utasema ni ulaya
Turudi nyuma nenda al ahly muangalie Dieng, muangalie Mokoena.
Kucheza rafu akumufanyi uwe bora coz team inakuhitaji na ikiwa inamiliki mali
🔰 Nawaelewa Wanaosema Damaro Camara anafika sana maungoni anafinya sana kasi ya wapinzani
Imewapeleka mbali na kusema ni average player hatukuapaswa kumpa NIDA ya biskuti
Niwaambie tu He is the best DM you have kwenye hiyo squad
Duke is an totally average with consistency