Sabitlenmiş Tweet
WAMIGANDO🤾🏾♂️
5.4K posts


#ARUSHA
Pichani ni ndugu na marafiki wawili wamepotea katika mazingira ya kutatanisha. Majina yao ni Karen Mark Didas (23) na Nakivona Toroka (22).Siku ya tukio tarehe 20 Juni 2025, Nakivona alimsindikiza Karen @bananafarmecohostel iliyopo maeneo ya Shangarai Arusha..👇🏿

Indonesia

Sasa Hashim mpaka ma Goat wanamuelewa ila humu tunaambiwa sio Mkali 😂😂😂
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Emcee wangu kila List hakosekani😄🫵🏾
Indonesia

@lePrezidente11 House party ni upumbavu sana kuna dada alilewa kidogo simjui hanijui kaletwa na workmate tu akaanza kuniganda kama bwanaake anafosi nimshindilie mjegeje
Eesti

@LucasOdero8 @jonsonnie njoo umsikiliz lil k anacheza na word play
Filipino

#HipHopFamily Raha ya Hip Hop battles
Ma Emcee wanazidi kutuonyesha walicho nacho Safi🙏🏿
Tz Ina rappers wengi sana wanaweza kutoa Ngoma Kila siku kwa muda wa mwaka mzima .
But 👇🏿
#TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️
Indonesia

@Barongo01 Sure ukipita tunduma to kasumbalesa gari (trucks)nyingi sana za kibongo zimepata ajali
Indonesia

@MarekaMalili Unaweza kuweka bajeti ya 1M kwa event ila ukajikuta umetumia 2M. Makosa yalifanyika katika makadirio
Indonesia

Watu zamu yao kuotesha Apartments, Kufungua biashara za Logistics, na Fillings stations.
Zama hazijirudii
Swahili Times@swahilitimes
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amesema mradi wa uwanja wa mpira wa Arusha ulikadiriwa kugharimu TZS bilioni 187, lakini ulisainiwa kwa TZS bilioni 338.54, sawa na ongezeko la asilimia 81.

@0404_CfC @rayasel94 Yes, watu wa education, watu wa Medical Physics, kuna hawa wa Physics and Chemistry (not education). Physics it can stand alone as kada kama kada nyingine.
Filipino

Hivi Bony uli graduate masta? 😅
Bony 📚@bonifacejoseph_
@mentor209 We naye ulikuwa kilaza bhana

Pita kwa miguu maeneo ya kijenge juu mida ya saa 1 jioni huku unaperuzi simu.
Bright🌴@bright_ludwig
A town ni pa kinyamwezi .
Indonesia

Picha yako ya kuaminia, miaka nenda miaka rudi😂
WHYMYCATISSAD@rusted_cleat
Hata hii inipite?🤭
Indonesia

@DullahTheking2 @netanyahu @Mrpengine47 Chuck Norris will not rest in peace, peace will rest in Chuck Norris.
English

@netanyahu @Mrpengine47 He inspired me to learn martial arts, and I still remember the times I argued with my mom about it.
He was a true legend, may his soul rest in eternal peace.💔
English

@Ninja_Damour SingaSinga pia mtaalam sana katika huu upande
Na ni kama Tamaduni wote ukiwazingatia wapo vizuri sana, Msasa ulipigwa
Filipino

@Muzikknow STEREO SINGA SINGA
1.Chundabadi
2.mawaidha ft Fidq
3.ñitabaki juu
Filipino



















