MOI

2K posts

MOI banner
MOI

MOI

@kono_well

MUSICIAN FROM EAST AFRICA

TARIME MARA KENYAMANYORI Katılım Ocak 2024
40 Takip Edilen42 Takipçiler
MOI
MOI@kono_well·
@EsirEid Au unakuta iko hivi😁
MOI tweet media
Euskara
1
0
5
585
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ukiachana na yote kitu ambacho huwa nakikubali… Ni the fact kwamba … Manzi ikiwa na UMEME tu… hata Nitumie Mbinu gani za kivita,HAWEZI NIKUBALI Abadan!💔 Anaweza akawa Jamvi la wageni… Kila mtu anajipigia…Ila nkimuApproach tu anakaza kishenzi! Baada ya kugundua hili… mm huwa natongoza Mara moja tu- Manzi ikikataa tu sirudii au Kubembeleza 😅 Najua hii lazima iwe na Ngoma Au Mikosi 😅😂
Indonesia
58
42
367
14.9K
Gonga jr
Gonga jr@PanganiC·
@Abraha1Brighton Sitaki kuamin km hawajulikan kabisa, staki kuamini km Kuna mtanzania hata mmoja hakufaulu kupata picha ya nyuso zao
Indonesia
1
0
2
56
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Kitu usicho kigundua apa. Walivaa kofia ili wasitambulike Lakini MUNGU . Atahukumu kwa Haki
NKENJA_7 tweet media
Indonesia
4
8
89
2.9K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Kuna Mtu bado anasema LIBASSE GUEYE mcehzaji wa kawaida? Mabao 5 Assist 1
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
5
13
274
3K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
@dancho_2004 Decision making ovyo kinoma halafu pia anajipa mzigo mkubwa kwa kufanya mambo mengi
Filipino
1
0
6
1.3K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟥Maybe he can prove me wrong at the future but for what I saw the fraud with confidence
BracuszCadabra tweet media
English
34
7
313
11.5K
MOI
MOI@kono_well·
@RevocatusMagum1 Hata akiwa uwanjan huwa anyamazi simba tunahitaj mchezaj wa kuongea sana uwanjan kama ilivyokuwa ngoma
Filipino
0
0
2
119
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Huyu dogo ana damu ya ukocha ndani yake nmeangalia baazi ya matukio akiwa bench na baadhi ya picha zake unaona kabisa kuna ukocha ndan yake. Keep up Duchu👏👏
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
11
11
200
3.1K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
David kameta Duchu akiwa kwenye benchi huwa ni muhamasishaji bora wa wenzake waliopo uwanjani na hiyo inaonyesha namna gani David Kameta ni kiongozi bora akiwa nje ya uwanja Unatamani kumuona Duchu akiwa kocha miaka ijayo??
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
3
3
62
1.2K
MOI
MOI@kono_well·
@FranklinFi53381 @Amonjoha @kouessy24 @RevocatusMagum1 Kila mtu ana njia yake ya kutafuta ushawish unahis kati msemaj wa timu na wakala nan anasir za wachezaj? Wachambuz asilimia 100 n mawakala so wachezaj wanawambia kila kitu chamsing kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Indonesia
0
0
0
20
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Haya ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma “Nina ushahidi mwingi kwenye mechi za Yanga lakini naamua kunyamanza kimya na kwa namna hii tunayoenda nayo Mamlaka zisipokua makini mpira wetu unaenda kuangamizwa moja kwa moja” 🗣️ Wilson Oruma Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuongea kitu kama hicho? Je? inawezekana ni kweli Yanga wananunua mechi hawezi kuongea tu bure✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
39
9
180
19.5K
X
X@Amonjoha·
@kouessy24 @RevocatusMagum1 Huyo mbeya city ndo tim ilyo ruhusu goli nying ligi kuu walipigwa tano mpka na singida
Filipino
2
0
0
92
MOI
MOI@kono_well·
@RevocatusMagum1 Ila bado makocha wa simba hawajamuamin huyu mchiz kwangu mm naona ndyo anafaa kuwa namba 10 chama atupishe
Indonesia
0
0
0
84
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Imezoeleka miaka yote kuwa Mchezaji Kupewa Jezi Namba 10 Basi ujue huyo ndiye Uso wa Timu Uwanjani, Ndiye Taswira Halisi ya Performance ya Timu, Namba 10 ndiye mwenye udambwidambwi mwingi, Ndiye Mwenye Pasi za Maelekezo, Ndiye Mwenye Jicho la Wapi mpira Upite, ndiye burudani ya Mashabiki Jukwaani, Kwa Mantiki hiyo, Jezi Namba 10 haivaliwi na mchezaji ambaye ni Butu uwanjani, Mchezaji akivaa jezi namba 10 tunatarajia 1st Touch yake imkune kila mmoja anayemtazama. Timu zote hufanya hivyo✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
HT
2
3
85
4.2K
Dibro 379
Dibro 379@379Dibro·
@Elsukay0 Hii kete kubwa sana kama ataamua kuisukuma. Mudy lazima aingie hofu kwenye hilia kama litakua na ukweli
Indonesia
1
0
0
266
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
🚨 JUST IN : Joseph Rwegasira maarufu kama jayrutty ana mpango wa kugombea nafasi ya mwenyekiti wa club ya Simba Sc katika uchaguzi mkuu ujao Wanalunyansi vipi huyu atawafaa?
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
38
18
438
17.3K
MOI
MOI@kono_well·
@Iamfelixtz Jkt wameisha cheza na yanga
Indonesia
0
0
0
254
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Mechi za Yanga za NBC PL zilizobaki 🆚 Simba - A 🆚 Kmc - H 🆚 Coastal - H 🆚 Dodoma Jiji - A 🆚 Singida Bs - H 🆚 Namungo - H 🆚 Mashujaa - A 🆚 Fountain - A 🆚 Azam - H 🆚 TRA - H 🆚 JKT Tanzania - A
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
7
11
319
7.9K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
“Doesn’t Come” Ni kati ya usajili mbovu kabisa pale golini kwa mwanetu!!
Indonesia
71
48
1K
53.1K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🚨GUEYE-SIMBA, KUNA MTEGO MAHALA Libasse Gueye ni mchezaji hatari wa Simba na naomba nibaki peke yangu kwenye hili! Sometimes uzuri wa mchezaji unategemea sana majuku na nafasi yake; hapa macho kwa kocha Steve Barker Simba isiingie mtego, huyu ni mchezaji wa daraja la juu📌
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
11
3
262
6.8K
MOI
MOI@kono_well·
@Elsukay0 Kama huyu huwa anauzia wachezaj taifa s ndyo yule aligawa namba kwa mwarabu wa moroco
Filipino
0
0
2
293
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Understand sio kila mwanamke anaevaa hivi ni malaya wanawake wengine wanapenda tu fashion unyamwezi
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Indonesia
89
20
202
14.1K
MOI
MOI@kono_well·
@GeorgeN40513 @HildaNewton21 Ngumu sana bongo uwoga mwingi alafu watu wengi wameingizwa kwenye nafas kubwa na mtu mmoja yaan asilimia 95 ya serikar hii n conection ya mtu mmoja
Indonesia
0
0
0
22
Mzalendo
Mzalendo@GeorgeN40513·
@HildaNewton21 Natamani kuona kama ya William Ruto Na Rigathi Gachagua Kenya kwa Sasa Yakitokea Tanganyika 🥺
Indonesia
1
0
2
627
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo Habari leo ambayo ni Media ya Serikali walipost video ya tatu za Emanuel Nchimbi ikiwemo ile ambayo imetembea sana ambayo alikuwa akimsifia Mwl. Nyerere kwamba Nyerere hakuwahi kuutumia Urais wake kujinufaisha wala maslai yake binafsi. Nimeangalia sasa hivi kwenye social media platforms zao zote, nimekuta wamefuta hiyo video ya Nchimbi akimsifia Nyerere😂 yani kama chombo cha habari cha Serikali kinafuta taarifa ya Makam haram wa Rais hii ni wazi kwamba huko ndani kwao kuna mgogoro mkubwa sana. Mind you kila siku Nduli Idd Amin Mama na machawa wale wanahangaika kusema kwamba CHADEMA kuna mgogoro mara sijui kimepanda kimeshuka kumbe kwake moto unawaka.😂😂😂 Halafu kwa level ya huu mgogoro wao ulipofika kuna siku tutakuja kusikia Nchimbi kapewa sumu maana Nduli Idd Amin Mama yeye kutoa roho ya mtu kwake ni kitu cha kawaida kabisa maana ni muuaji mzoefu.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
30
102
916
50.6K
MOI
MOI@kono_well·
@zizujo01 @FineBizz @Cluuzy_tz Kuwa machinga gonga mageti yao fanya nao urafiki wa wik kma nne unachapa kwa 50k kwao hapo hapo na unapikiwa chakula kitamu
Filipino
1
0
1
303
HATUSHINDWANI BEI STORE.
HATUSHINDWANI BEI STORE.@zizujo01·
Moja ya ndoto yangu nije kupiga hapa, wapwa mliokwisha pita bei elekezi ni sh ngapi?
HATUSHINDWANI BEI STORE. tweet media
Indonesia
30
16
156
17.7K
MOI
MOI@kono_well·
@Mshubiy @shaffihdauda1 Shida siyo kufunga kila siku ulisha sikia haland akikaumiwa? Sababu akipata nafas anakuweka mwalimu mechi mbili ambazo simba katoka sare ya zero zero mwalimu alitakiwa kufanya kitu zaid ya anachofanya
Indonesia
2
0
0
4
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Masaa 30+ tu yamepita tangu Gomez aonekane sio mchezaji wa daraja la kucheza Simba SC Baadhi ya kauli ninazozikumbuka baada ya kumalizika kwa ile mechi ❌Mchezaji hawezi kutoka Wydad akaja Simba ❌Gomez anasaidiwa tu ❌Simba watafute mshambuliaji Sele hamna kitu NB: Siku mbaya kazini zipo, maoni yawe na mantiki na sio hisia ili kulinda vipaji ambavyo ni kwa ajili ya Taifa
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
57
11
508
30.8K
MOI
MOI@kono_well·
@abissay_stephen Anazo tengeneza wanakosa nazo mbna husemi
Slovenščina
0
0
0
76
Abissay Stephen Jr
Abissay Stephen Jr@abissay_stephen·
Libasse Gueye (22yrs) uwezo wake mkubwa ni kuwapita mabeki kwa kasi, Lakini kwenye tendo la mwisho bado anazo changamoto. Silaha yake kubwa ni cut-in alafu apige golini - haangalii nani amekaa kwenye nafasi nzuri ampasie kwa krosi au shot pass anaou-kisinda fulani hivi pia mchoyo
Abissay Stephen Jr tweet media
Filipino
23
4
258
5.8K
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
@adrianijr Kapatia game 2 correct score japo zingine kakosea lkn yumo humohumo.😁🙌🏿 Huyo itakua hapigagi nyeto yuko na hisia kali.
Filipino
2
0
1
486