𝗔𝗡𝗞ALI.

10.4K posts

𝗔𝗡𝗞ALI. banner
𝗔𝗡𝗞ALI.

𝗔𝗡𝗞ALI.

@Papito_120

Mchangia Mada Mtambuka, Kila Hoja Naweza Kuwa Na Hisia Mseto. Hulka Ni Maisha! Arsenal Vs Yanga 🫂📌

Unknown Katılım Mayıs 2025
57 Takip Edilen1.7K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝗔𝗡𝗞ALI.
𝗔𝗡𝗞ALI.@Papito_120·
Imagine ni mabinti wangapi walopita mikononi mwa Felaini @MariaSTsehai na team yake ya Miss universe Tanzania walopigishwa mipicha ya UCHI ? Kama Boss wao anafanya matangazo ya kuonesha utupu wake vipi hao wanaopelekwa sokoni kwa Epstein kule kisiwani. Inafikirisha sana!
𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media
Indonesia
0
12
12
6.1K
𝗔𝗡𝗞ALI.
𝗔𝗡𝗞ALI.@Papito_120·
Chini ya uongozi wa kisayansi, busara na waki diplomasia wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inang’ara kikanda na duniani kote. Maendeleo, ushirikiano na heshima ya kimataifa yanayoshuhudiwa kila siku ni uthibitisho Kazi na utu tunasonga mbele.
𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media
Indonesia
1
23
17
141
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 imethibitisha uaminifu mkubwa wa kazi yake. Chini ya Mwenyekiti Mstaafu Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande, tume ilikusanya maoni 953 yaliyothibitishwa kiapo kutoka kwa wananchi na 26 kutoka polisi.
𝐉𝐫  tweet media
Indonesia
3
10
10
98
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi imedhihirisha kujitolea kwa ajili ya ukweli. Walipokea ushahidi kutoka kwa waathirika, polisi na viongozi wa jamii. Zaidi ya mbinu 16 zilitumika kuratibu ghasia katika maeneo 202. #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
𝐉𝐫  tweet media
Indonesia
3
11
10
124
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
NUKUU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN wakati akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, Ikulu ya Dar es Salaam #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
One Sister tweet media
Indonesia
0
6
8
54
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu Jijini, Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.
ikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet mediaikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
3
19
38
1.2K
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
HER
HER@heroinelincoln·
NUKUU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN wakati akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, Ikulu ya Dar es Salaam #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
HER tweet mediaHER tweet mediaHER tweet mediaHER tweet media
Indonesia
1
3
5
713
𝗔𝗡𝗞ALI.
𝗔𝗡𝗞ALI.@Papito_120·
First and foremost, it should be clear that Her Excellency President Dr. Samia Suluhu achieved a decisive and fully legitimate victory, and therefore does not require validation from anyone. Secondly, many leaders are coming to..
Nelson Amenya@amenya_nelson

She’s desperate for validation and the EAC heads have decided to stand by her, foreign affairs minister of TZ has been trying to go round the world to legitimise her illegal election win but to little success.

English
7
1
1
4.6K
𝗔𝗡𝗞ALI.
𝗔𝗡𝗞ALI.@Papito_120·
Ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania, Rwanda na Kenya ni nguzo thabiti ya maendeleo ya Africa Mashariki. Chini ya uongozi wa busara wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaimarisha ushirikiano huu wa kikanda, ikifungua milango ya fursa za biashara,..
𝗔𝗡𝗞ALI. tweet media
Indonesia
4
15
10
60
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
NUKUU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN wakati akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, Ikulu ya Dar es Salaam #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
One Sister tweet mediaOne Sister tweet media
Indonesia
0
9
11
50
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
SSH 2530
SSH 2530@mariam255_·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 04 Mei, 2026..
SSH 2530 tweet media
Indonesia
0
5
7
60
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
Nukuu za Rais Samia Suluhu Hassan wakati akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, Ikulu ya Dar es Salaam #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
Ngadu tweet mediaNgadu tweet mediaNgadu tweet media
Indonesia
0
6
5
62
𝗔𝗡𝗞ALI. retweetledi
Ngadu
Ngadu@1ngadu1·
NUKUU ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN wakati akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Ruto, Ikulu ya Dar es Salaam #WananchiNaUkweli #TumeYaUchunguziReport Uwajibikaji Wa Haki
Ngadu tweet mediaNgadu tweet mediaNgadu tweet mediaNgadu tweet media
Indonesia
2
5
6
51