
@FaradayMtz01 Kila kitu unachokiona ni 'by design'. Cartel inawanyima wananchi elimu, haiwekezi hata kidogo, wananchi wanadumaa kiakili, ki mbinu, hawajui haki zao. Cartel inapromote vitu vya kijinga, yanga, simba, daimundo, etc. Kila mwaka CAG anaripoti 'billions unaccounted for'.. Cartel
Indonesia

























