Pepechu
5.3K posts

Pepechu
@Pepechu9
A farmer at Lengusero village/ Chelsea and Dar young African die hard fan. Fikra huru
Katılım Kasım 2019
360 Takip Edilen145 Takipçiler

@Happinesmlay Happy natamani sana hizi jeans ila kinachoniogopesha ni wasiwasi wa kupata kitu tofauti. Sijawahi kupata kitu sawa na nilichochagua kutoka mtandaoni.
Indonesia

@Thommunkondya TP. Prof Kironde, Moja ya Prof walioandika paper nyingi sana. Aliandika zaidi 20K Plot project
Indonesia

Huyu ni mwalimu wangu anaitwa Prof Kironde amenifundisha somo la utawala wa ardhi(Land administration) na Sera za ardhi(Land Policy) wakati nafanya masters ya land administration pale chuo kikuu cha Ardhi(ARU) ,pamoja na kustaafu kufundisha bado anafanya mazoezi sana na anashiriki marathon 🙌🏿😁. Kweli mazoezi ni tabia kama tabia zingine huwezi kuacha.

Indonesia

Tuseme ukweli.
Wafanya kazi wa serikali HAWAFANYI KAZI.
Ni moja ya kundi la watu linalokula good time katika haya maisha.
Sio kweli kwamba madaktari hawapo.
Wapo ila kila huyo ni mkubwa na wana siku zao za kazi.
Mtumishi wa kata nae anabiashara zake( mara ana ki gari anaendesha siku nzima)
Mwalimu anafundisha kidogo anachukua probox yake anaenda kupiga hela.
Serikali ina usimamizi hafifu sana juu ya watumishi huko makazini.
Huko halmashauri watu wanakula maisha tu.
Filipino

@Barongo01 We jamaa itakuwa ulipata zamani sana leseni yako. Ngoja iishe hiyo ya mchongo uone utajavyopata shida kuipata nyingine
Indonesia

@ATizulwa_ @OscarOscarjr @ahmedabdallah05 Watu mnahoji kutoka kwa hawa watangazaji. Kuingia kwao mnakumbuka ilikuwaje?
Indonesia

Baadhi ya watangazaji wa wasafi wameaga kundoka kwenye kituo hiko cha kazi huku wengine wakidai kuachana kabisa na kazi hiyo ya utangazaji na uchambuzi jambo ambalo limezua maswali mengi kwa watu wengi.
Watangazaji hao ni pamoja na @oscaroscarjr @ahmedabdallah05 @zembwela2 pamoja na @georgeambangile .
Swali ni kweli wanaacha kazi ya utangazaji kabisa? Au ni kweli wanaondoka wasafi? Na kwa nini wote kwa pamoja??

Indonesia
Pepechu retweetledi

@godbless_lema Bro umekua mpuuzi.sana fanya ubadilike dah kwaiyo.wewe ni mwanasiasa au promota?
Indonesia

How it started🤣 vs. how it’s going🥹😌




Dr. Riziki🌜👩🏽⚕️🧘🏽♀️@_mpekethu_
10 likes nipost how it started vs how it’s going🤣
English

🇹🇿 History Made! ✨
Tanzania become the first CECAFA nation to qualify for the 2026 CAF U-17 Africa Cup of Nations.
They sealed their spot with a solid 3-1 victory over Kenya in the semi-finals of the CECAFA Zonal Qualifiers in Addis Ababa.
The Junior Taifa Stars will now face either hosts Ethiopia or Uganda in the final. 🔥
#CAFU17 #AfricanFootball #Tanzania #RoadToAFCON2026

English
Pepechu retweetledi

@lifeofmshaba Tulikuwa hatuna haja yakuendelea kuyapa airtime mambo yao yaliyotokana na uovu, nafikili tungeendelea na agenda zetu kuliko kulukia mambo yao. Ni kama tunawasaidia kuleta kwa watu umakini wa mambo yao. Wao wana maTV na maredio tuwaachie huko
Filipino

@Happinesmlay Aulizwe yeye kama anajua au hajui, akiwapatia jibu then muulizeni kwanini ameamua kutenda kosa la uhaini. Acheni kuwaingiza watoto za watu kwenye mikumbo ya kijinga, lakini nadhani huyo ameishakua na anajua kile anachokifanya.
Indonesia

@clarence1738_ Risasi Kaka alipigwa, ofisi wameandika jana kwenye post kabisa.
Filipino


















