#ObbyWK
10.6K posts

#ObbyWK
@ObbyWilson
Intrepreneur@Mark Online tv & Politics Government & Human Right Activist
Tanzania Katılım Ocak 2018
2.7K Takip Edilen2.9K Takipçiler

Hii nchi tumeipambania sana kubabake!
Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎
#FREELISSU #KATAARIPOTI

Filipino

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Hashim Kambi kilichotokea leo, Dar es Salaam. Taifa limepoteza kipaji adhimu kilichochangia kwa kiasi kikubwa kukuza na kuitangaza tasnia ya filamu nchini.
Ninatoa pole kwa Shirikisho la Filamu Tanzania, Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), wasanii wa filamu nchini, familia ya marehemu, wadau wa filamu, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huu.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.

Indonesia

Hii ni Nkasi jana kikao cha ndani, tena Kirando huko! Najivunia sana kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, pia najivunia tuna mtu imara kabisa my sister Mh. Aidah mkoa wa Rukwa!
#StrongerTogether

Indonesia

@joeselasini @OrubaJ Utabiri wa kijinga huo. Sisi kama watanzania hatupo tayari kuyasikia maujinga yenu
Filipino

@Eggle_Vuvu Jitekenyeni then mcheke wenyewe. Jaribuni muone kenge ninyi. Safari hii jeshi tutaliambia likae kando tudeal nanyi sisi wenyewe
Indonesia

Hili Bango lisambae sana!! AFCON ikifanyika TANZANIA mafisadi watapiga hela zaidi ya ile iliyowekezwa kwenye ujenzi wa uwanja! #MaandamanokuelekeaAFCON2027

Indonesia

@Innocen89950594 @Migosatz Maswali ya kitoto haya. Acha kutuletea ujinga wewe ni mtu mzima. Ila uzuri wake umefanikiwa kuwapata wajinga wenzako wasio na uwezo wa kuendana na mfumo wa maisha kazi yenu kukariri pekee.🚮
Indonesia

@Sisimizi3 Aiseee mwaka 2010 nikiwa advance SBA Sec nilisoma na mtoto wa padre. Mbona japo kuwa Daniel katizama chini lakini ni Kitima kabisaa?
Filipino

@ikulumawasliano Tanzania ni pazuri, endeleeni kumiminika enyi wageni wetu. Karibuni sana
Indonesia

@ikulumawasliano Here we go, hongera sana Mh. Rais kwa ubunifu wako mkubwa wa kiuongozi unaoing'arisha Tanzania katika maeneo tofauti tofauti. Tuendelee kusonga mbele, pamoja tutavuka. Tanzania oyeeee
Filipino

Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake hata pale ambapo yeye (Kitima) alishindwa kwenda baadhi ya maeneo kwa sababu ya hofu aliyonayo ya kudhurika.
#KitengeUpdates
Indonesia

@ikulumawasliano Pole kwa wiki lenye heka heka mama yetu. Hongera kwa ugeni mkubwa wenye mafanikio pamoja na mengi yenye kufurahisha lakini pole pia kwa kuondokewa na mchapa kazi wako.
Hongera yako Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Hakika unajua kuitendea haki nafasi yako.
Indonesia

@mangekimambi Acha ujinga kahaba wewe. Umeyagharimu maisha ya ndugu zetu bure kabisa. Hatutakupatia nafasi ya kukusikiliza tena kenge wewe.
Indonesia

@NchimbiRas @Sisimizi3 @_zack255 Kenge wewe kwani hasara ya kupoteza mapato ya leo ni shida ya viongozi ama watanzania walala hoi? Acheni ujinga rudini kwenye akili zenu za kuzaliwa. Acheni kuishi kwa kuwaiga waishio ughaibuni. None sense
Indonesia

@Sisimizi3 @_zack255 Hasara iloingia siku ya leo,jinsi gharama ya jeshi na shughuli zilosimama za Raia,ujue ni matokeo ya maandamano,endapo yatakuwa endelevu,maanake tension hii itaendelea,kazini hakutaendeka,vizuizi na vitambulisho,"Vitaparalize" serikali na uchumi,NI WANANCHI WAMESHINDA.
Indonesia





















