Tajir la kichaga

3.8K posts

Tajir la kichaga banner
Tajir la kichaga

Tajir la kichaga

@Peter73289754

tajir la kichaga.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2021
567 Takip Edilen138 Takipçiler
Tajir la kichaga retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika. “Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua  huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour. “Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”
Indonesia
68
339
787
59.6K
Tajir la kichaga retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Takribani mwaka mzima Chama chetu hakijakutana, na leo Kamati Kuu imekutana Dar es Salaam. Majadiliano ya msingi ni muhimu kila wakati, hasa katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia huzuni kubwa kufuatia matokeo ya Tume ya Jaji Chande.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
24
219
1.6K
23.1K
Tajir la kichaga retweetledi
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Mwamba tuvushe 😂
SafariMlevi tweet media
Eesti
27
11
194
10.6K
Tajir la kichaga retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Je, wale waliopoteza viungo vyao vya mwili? Waliokatwa masikio? Waliogongwa misumari miguuni? Waliofanya ukatili wa kutisha kama kulawitiwa wakati wakimtetea Mzee MBOWE akiwa mbunge wa HAI, wamepewa faraja au kuombwa msamaha? Wengine walilazimika kutelekeza familia zao na kuwa wakimbizi kwa kuhofia usalama wao. Hali hii inajenga picha kuwa Mzee MBOWE ameweka maslahi yake binafsi mbele na kusahau gharama kubwa waliyolipa wafuasi wake. Hii ni dhihaka kwa watu wote ambao waliwahi kuamini katika njia zake. Hii inatuogopesha ambao tumewahi kumpambania hadharani. Hata hivyo, SABAYA anatakiwa kuomba msamaha mwenyewe, siyo kuombewa msamaha. Kimsingi, msamaha ni jambo la kibinafsi na la kimaadili kati ya mtu aliyekosea na yule aliyekosewa. Msamaha wa kweli unahitaji sauti ya mkosaji mwenyewe.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
189
411
1.8K
88.6K
Tajir la kichaga
Tajir la kichaga@Peter73289754·
@safarimlevi Uyu dogo anamtoto wake Anamiaka sita Alikuwa akimtegemea alitekwa akiwa na mwezake mwezi WA kumi paka Leo Ajapatikana inauma Sana😭
Tajir la kichaga tweet media
Kenya 🇰🇪 Filipino
2
1
6
179
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Tuweke uchawa pemben huyu chali aliwakosea nini CCM? Unajua Bibi yake alikua ana mtegemea mno
SafariMlevi tweet media
Indonesia
13
38
228
3.2K
Tajir la kichaga retweetledi
GlorySiah Rimoy
GlorySiah Rimoy@GlorySiahRimoy·
"Katika vijana waliopewa kesi za uhaini kutokana na matukio ya tarehe 29.10.2026, na ambao tuliwatetea mahakamani. Hakuna kijana aliyesema alilipwa ili kuandamana." Wakili @AdvMatata- Mwenyekiti CHADEMA Kanda ya Magharibi
Indonesia
5
72
303
11.9K
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Aliee takiwa kuwa mwenyekiti wa Chadema mpaka mda huuuuu ni mbowe sio lissu pengo la mbowe alizibwi na mtu yoyote pale chadema
Indonesia
187
7
51
30.3K
Tajir la kichaga retweetledi
Kunta Kinte
Kunta Kinte@ErNyoni·
Kwa ripoti hii ya Chande, Tundu Lissu hawezi kuachiwa hivi karibuni maana akitoka, kuna watu watakuwa katika wakati mgumu sana.
Indonesia
5
37
340
11.7K
Tajir la kichaga retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
TAARIFA KWA UMMA.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
59
397
1.6K
28.8K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kuanza 12 OCTOBA hadi 28 OCTOBA Kuna watu waliwekwa mahari kupewa mafunzo ya kushiriki ghasia. 🙆‍♀️
Indonesia
19
24
50
4K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Usiku wa deni huwa hauchelewi….. bado dakika 45 tu taifa lipone!
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
49
9
32
5.9K
Tajir la kichaga retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Ni vizuri TISS WAJUE: Hawa Watanzania hawamwamini Kitenge, Kikeke, BAKWATA na Shekhe Mkuu, baadhi ya wasanii, baadhi ya vyombo vya habari, vyama 17 vinavyoitwa vya upinzani baadhi ya viongozi wa dini ya kikristo na kiislam na SASA HAWAMWAMINI CHANDE na taarifa yake. Hilo tu.
हिन्दी
24
93
602
13.9K
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Asante Mungu kwa zawadi ya uhai 🙏 Leo ni siku yangu, na nashukuru kwa kila pumzi, kila hatua, na kila somo. Happy Birthday to me 🎉
SafariMlevi tweet media
Filipino
20
10
63
877
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Zaburi 27:10 Zaburi 55:22. Hata katika njia ngumu Mungu hatatuacha.. Atatuvusha 🙏🏽
M.D (🅨) tweet media
Filipino
115
69
681
116.2K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hicho CHUMA na hizo nati ndio vilikuwa TAYA yangu kwa siku 646. Hii ilikuwa Operation iliyokuwa inaniwazisha sana akili yangu kwa muda mrefu. NAMSHUKURU MUNGU HILI GUMU LIMEPITA-JAPO NIMEPOTEZA MENO YANGU MAWILI. Kwangu hii bado ni nafasi ya upendeleo MUNGU anaendelea kunipa.
Filipino
203
311
2.1K
60.5K
Jeany
Jeany@jeju_julius·
Naomba kuuliza sa hivi kuna wimbi kubwa sana wengi wanaugua Figo inasababishwa na nini? Mpaka unakutwa na ugonjwa huu minijuze jamani?🙏🏻
Filipino
60
35
422
53.1K