
@AnnaTibaijuka HILI halina AFYA KWA NCHI YETU. KESI ITUPILIWE MBALI TUUNDE TUME YA UKWELI NA UWAZI, TULIPONYE TAIFA LETU. TUTANDIKE BIRIANI NA PILAU MITAA YOTE. YES TUANZE UPYAAAAAA PEACE AND LOVE.
Filipino
TRUST GOD
5.2K posts

@PeterNyambo
BELIEVE IN ONE GOD, JESUS MY SAVIOR. HARD WORK, LONE SURVIVER.










Bila kuathiri maazimio ya Kamati Kuu yatakayotolewa na Viongozi Wakuu wa Chama napenda kuwahakikishia Watanzania wote kuwa CHADEMA ni imara sana leo. Ni chama kilichojitoa kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa Mamumiani wa CCM.


















