Uriel25
1.9K posts

Uriel25
@PeterUriel6
chelsea fc yanga sc1935
Dodoma, Tanzania Katılım Mayıs 2021
539 Takip Edilen199 Takipçiler

@PeterUriel6 Ni jambo la kushukuru Mungu kwa kila hatua fb kaka
Indonesia

🚨Narudia kusema Okello goli zake kama sio zote ni robo Tatu kafunga kwa mazingira ya kubebwa mnoo anzia game ya Dodoma, njoo Singida big star nenda sijui Mashujaa nenda sijui prisons yaani familia zote ndipo kapata hizo goli mbona mechi Mbili na Azam hajafunga vipi game na Simba alifanya nn?
Ntaongea mpaka lini mnielewe watu🏃
Hata magoli ambayo kanafunga sio ya ufundi kwangu ninavyoona yani sio yale magoli ambayo unaona mchezaji kama Chama au mpanzu ana hustle mpaka kulipata...magoli yake nayaona ya kawaida mnooo.....hata uchezaji wake....mimi labda nimuone tena kimataifa au tukicheza nae kwa wakat mwengine ila kwa mechi alizocheza hizo za kina GSM hapana jamani sijaona cha maana kwake.

Indonesia























