
@MkulimaKante Ok poa mimi sitaki unazi kesho kabla jogoo kuwika navunja nazi andunje an’g’oke na wahuni wenzie 😃
Indonesia
P H I L
2.4K posts











@MkulimaKante brother nyumba ni kati ya assets kubwa sana duniani tukiacha tuu stori za hawa influencer wanao kaa nakupost wanacho jiskia jenga nyumba ya mil30 maporini na nunua la mil 30 ulaya then njoo ujaribu kuuza baada ya miaka mitano utaona kipi utauza kwa bei ya juu 🧠
