Mr-Peace
189 posts


@Sincerelyrahma7 Mimi ndo mtu wa maana kama hatujakutana ndo bas tena
Indonesia

Kama we ni active tweep na mpaka sasa X haijakukutanisha na angalau watu wawili wa msingi walionyooka kwenye maisha yako, we basi tena hama tu huu mtandao kajaribu facebook au tiktok
Mi nkiwaambia X inaeza kukulipa bila hata matakataka ya bluetick hamuamini, just be you atakuja tu mtu au watu sahihi wataekuelewa hivyo ulivyo na mta rhyme
MIND YOU SIJAONGELEA MAPENZI WALA ZINAA, SIJASEMA KUPATA WAPENZI WALA KINA FWB HAPA🙄
Indonesia

@lifeof_nono Naomba namba yako dm inayopokea nkulipie hako kachenchi mrembo NB:nimetokea KATORO
Filipino


@PhVenance @MkulimaKante Acha fikra za kimaskini na uoga wa maisha bw mdogo
Polski

@MkulimaKante brother nyumba ni kati ya assets kubwa sana duniani tukiacha tuu stori za hawa influencer wanao kaa nakupost wanacho jiskia jenga nyumba ya mil30 maporini na nunua la mil 30 ulaya then njoo ujaribu kuuza baada ya miaka mitano utaona kipi utauza kwa bei ya juu 🧠
Indonesia

@Sincerelyrahma7 Njoo dm na orodha ya mahitaji yako ya umuhimu pamoja na namba inayopokea miamala mda wote achana na eloni
Filipino

God is truly an artist. Women deserve all the love. Who would we be without women? @kahawa260

English



















