LastKid
32.1K posts

LastKid
@PoorCandidate
255 Over Everything|Proudly Tanzanian| Luke 10:27| Agr. Economist| Psychologist|Hope is the Last Thing to Die.
Arround the World n Back Again Katılım Mayıs 2013
2K Takip Edilen1.6K Takipçiler

Kama unaeza tupatia picha nyingine uliogeukia mashariki ya mbali itakuwa jambo jema Anko
irene Luxe Accessories💍@Irene4803
Bila Kuchoka 💪 J3 Nyingne Tena Yakupambana 🤌
Indonesia

@PoorCandidate @Adv_innocent nimeona kaka ilibaki kidogo iondoke na mm
Filipino

@Adventure_36 Futa hiyo tweet mzee unatustua sisi wengine.😃
Filipino

@EngMapundajr @Prince_Urio Muda naiona hii tweet nipo Kijiweni kwa Shoe Shinner nashona na kubrush viatu.
Indonesia

@MkulimaKante @Adv_innocent Kwenye Ukanda wetu wa SubSahara ndio Ugonjwa unaoongoza kwa Vifo hasa kwa Watoto na Kina Mama Wajawazito
Indonesia

Ina mzunguko ila faida sasa mtihani
Narrowbeefly@Narrowbeeflying
Changamoto kubwa ya hii biashara ni nini?
Filipino

@MarekaMalili Kitu kingine kuhusu hawa jamaa ni Waaminifu sana aisee.
Eesti

Nimesoma Thaqaafa na Wahindi na waarabu.
Wakati wewe unaenda form 5&6 wao wanajifunza biashara, unamaliza Chuo wao wana 5 years experience, wewe ndio uje kusoma mtaa, utampata lini?
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari
Dangote hires many Asians into critical operational and technical roles across his companies. That should force an uncomfortable conversation across Africa. Not about race. About capability, systems, discipline, and industrial culture. But we are still too emotional to discuss that honestly.
Indonesia

@PoorCandidate @MarekaMalili Kwaiyo Lubasha ni Apostle wako sio😂
Filipino




