Malkia Nawal
116.5K posts

Malkia Nawal
@Mrsbajabir
Nutritionist at Kukeke Gang, Nutritionist Local Miyeyusho Gang, Mwenyekiti Chama Cha Wasimbe😍





Mtu ana miaka 37 na unaheshimiana nae vizuri tu alf kumbe hana mke wala mtoto,Ukimuuliza shida nn eti bado anajipanga.Aisee kuna watu wasenge sijawahi kuona miaka 37 unajipanga na nini?










Kwa ufafanuzi kidogo maana naona machawa wanapindisha kidogo Hii hoja kuhusu usiano wa Post za @fbuyobe hapa online, inahusiana na mahusiano yake na Msuya, haihusiani chochote na anachopost au anachofanya hapa ila ni gizani kinachofanyika ndio issue. Kuna mtu amewahi kuona ameandika chochote kuhusu Msuya? na kufafanua lolote kuhusu Msuya kufanya utekaji? Humu amejiweka kama mhunguzi na anashusha sana mafile, sasa Mbona file la Msuya ajashusha, issue iko hapo na Richard Mwesigwa , Azizi na Siri za CHAUMMA na Mbowe akipenda anaweza fafanua kwa nini polisi wanamuita kwamba yeye ni kijana wa Abdul hapo central polisi why kuna mambo hayo mwisho, hawa machawa wa CCM wanaomtetea leo amewatoa wapi nani amempa hao machawa ghafla?


I remember wazazi wetu walikua kama wanatususa 🤣 “haya kacheze” unaenda kucheza ukirudi sa 12 jioni upo kama chokoraa 🤦🏽♀️ unaoga kisha homework huku unasubiri chakula. Sa mbili unakula kulala. We had a good childhood aisee 🙌🏼

