chiefempire

252 posts

chiefempire banner
chiefempire

chiefempire

@RChristaud

jitihada zaidi ya mtoto anaetambaa 🔩🔩 survival for the fittest

Mtaa Katılım Ocak 2026
31 Takip Edilen8 Takipçiler
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@Elsukay0 ivi mafanikio kwa vijana wa kitanzania ni magari ? 😁😁😁
HT
0
0
0
28
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Kibongo bongo 90% mpaka 99% waliofanikiwa kwenye forex wamefanikiwa kwa kuuza kozi, signals, ama mentorship si kwa trading Hata kina SirJeff ma Godfather wa forex bongo walitoboa kwa kuuza kozi, signal, na mentorship Sasa wewe jichanganye hii game ngumu mzee
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
HT
7
8
42
3.5K
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@saralexozil kuna nyumba ya 5m kweli jamani we angalia mlango wa bishara bana sis
Indonesia
0
0
0
2
Sara💕
Sara💕@saralexozil·
umepata milion 5 kipi utaanza nacho mlango wa biashara au kujenga nyumba?
Indonesia
40
16
93
7.5K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nadhani huku siwezi bora nijaribu kilimo!!🤒💔
The champ👑 tweet media
Indonesia
30
32
69
1.4K
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@CavityDamas23 hahha sasa kaka hapa ni kuhukumiana tuu watu wengine hata hatujui kama ilo ni tunda gani kwasababu mtaani na mkoa tunapotoka hakuna lakini sio wakishua😟😟😟
Filipino
0
0
0
3
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Watoto wa ushuani watajua ili ni tunda limeoza 😂🫵
STUNNA tweet media
Filipino
10
12
24
582
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
Hatimae kumekucha tena ngoja nijianike juani kama mjusi maana wanasema jua linakuja na baraka😁😁😁
Indonesia
0
0
0
6
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@Mwacha5 hqhaha hahaha kwamba wake zetu na mama zetu lazima wawe hawakwivi chungu kimoja
Polski
0
0
0
6
Mwacha
Mwacha@Mwacha5·
Ukiona Mama wa kambo anakupenda ujue Baba yako fundi.
Indonesia
6
7
76
1.3K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Dingi sasa hivi anajiweka ki C.E.O kuliko kuonekana msanii wa muziki. Wasanii wetu wana kitu cha kujifunza kwake. Katulia na mke mmoja tu halali wa ndoa takatifu🙌 @mreazi
Kante tweet media
Indonesia
10
8
82
3.8K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Sheikh anasema Quran inaposomwa majini husogea karibu kwa furaha, Pastor anasema Bible inaposomwa majini hukimbia mbali kwa hofu, hii imekaaje watu wa Mungu..?! Nani anaweza kunielewesha kwa undani.😁
Indonesia
38
21
157
13.2K
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@kasesco_tz kaka ongezea ni msafi an ukienda ndani nipasafi vitu vipo kwa mpangilio uyo labda dem ang'ang'anie geto
Filipino
0
0
1
29
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna mambo ambayo ukiona mwanaume anayafanya ujue huyo kuoa ni majaliwa yake Mungu. 1. Anapika Wali Nazi 2. Anapika Chapati Za Kusukuma 3. Akimenya Ndizi Mbichi Abaki Na Uchafu Mkononi 4. Ameweka Midoli Na Kadi Kitandani 5. Ananunua Mkaa Gunia 6 Anajiko La Gesi Plate Mbili
Indonesia
31
37
112
4.3K
Rushdie K. Jr
Rushdie K. Jr@Kassa_Chiddy·
@nassor_01 Bahati mbaya ni kuwa binadamu tunajimilikisha dunia as if sisi ni viumbe pekee, majini pia ni sehemu ya viumbe wa dunia hii na miongoni mwao wapo wema na waovu kama ilivyo kwa binadamu. Kwa hiyo si ajabu kwa hilo
Indonesia
1
0
0
71
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@nassor_01 Mimi waislam nawapinga pote ila likija swala la pepo yao wanaita firdausi basi nafurahi wanasema huko kwao unapewa mabikra 70 unapiga mashine alafu utamu wa bao unakua umeongezwa mara 70 ya bao hili la duniani😆 sio sis mbinguni ni kuimba alafu haujulikani kama demu au mwana😆
Indonesia
5
1
5
211
People's🕯️
People's🕯️@am_gudie·
Tumekubaliana ukipata mama ya kizungu ondoa mshipa wa aibu 😂😂🫴
People's🕯️ tweet media
Indonesia
11
12
28
374
𝐌𝐣𝐢𝐦𝐛𝐮🍁
Rafiki yako anakufa alafu Police wanakuta sms yako kwenye simu yake " Uko wapi we malaya nije nikuuwe" 😂😂😭💔
Indonesia
28
35
347
19.5K
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@inomjimbu_45 hee an hapa hata utumie wakili gani lazima unyee bede mkubwa 🤣🤣🤣
Indonesia
0
0
0
16
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@fintanjr_ kaka kama hapa ameishi week 2 hata laki anachukua ohooo maisha ya hapa ninomaa an ukizubaa kidogo unajikuta ndio ushakua masikini moja kwa zote ohoo 🤣🤣
Indonesia
1
0
2
77
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Mshahara chini ya 3mil sichukui😂💔🚮👇...
The champ👑 tweet media
Indonesia
42
46
181
7.4K
chiefempire
chiefempire@RChristaud·
@fintanjr_ kuna kula bure tena toa location sioni dalili za kupata nguvu ya msosi hapa 🤣🤣
Filipino
1
0
1
29
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Tukiamka, ni ishara kwamba tuna nafasi tena ya kuwa bora kuliko jana, sio bora kuliko wao,..🤝🙏. Winga hapa nipo kwenye semina ya ukimwi, hapa leo tunakula bure🤒🔥.
The champ👑 tweet media
Indonesia
44
57
127
2.1K