
@Nurjan_seyd Zaka Mungu anasema tuilete galani zaka ni mali ya Mungu inarejeshwa hekaluni.
Sadaka ni upendo wetu kwa Mungu inatolewa.
Kwahiyo kupeleka zaka kwa watoto yatima ni kukosa kufuata utaratibu wa kimungu.
Indonesia
LIVING
2.5K posts













Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu



















