ZEGEGA

12.7K posts

ZEGEGA banner
ZEGEGA

ZEGEGA

@Zegega339

Jifunze maarifa mbalimbali ya kiroho na kimwili,tambua ulimwengu wa kiroho hasi na chanya,elimu zilizofichwa,zijue dawa Contact me. +255 678252118 /0747422466

Dar es salaam,kawe Katılım Mayıs 2020
6.7K Takip Edilen4.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
ALAMA YA MTU MWENYE JINI MBAYA MWILINI &UCHAWI 1.kuota ndoto za kufanya mapenzi 2.kuota ndota za nyoka hasa weusi au majoka makubwa au unakimbizwa na nyoka 3.kutembea vitu mwilini 4.hasira za mara kwa mara ata ajambo dogo tu umechukia 5.kuota ndoto za kula vyakula mara kwa mara
Indonesia
2
3
14
687
Nonobanks ❤️
Nonobanks ❤️@lifeof_nono·
A natural face with lashes does the trick every time😮‍💨😍
Nonobanks ❤️ tweet media
English
63
40
355
9K
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
@AM_NIC3 Hela ya kununua pizza ,bora ninunue kuku wa kienyeji nipike mchemsho na ndizi
Indonesia
0
0
0
57
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Mimi nae sijui ni ushamba au Nini! Nimekula Pizza aina tofauti ila sielewi watu wanaipendea Nini 😭 Chips itabaki kuwa juu😮‍💨
Indonesia
29
27
134
4.4K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Sheikh anasema Quran inaposomwa majini husogea karibu kwa furaha, Pastor anasema Bible inaposomwa majini hukimbia mbali kwa hofu, hii imekaaje watu wa Mungu..?! Nani anaweza kunielewesha kwa undani.😁
Indonesia
38
21
157
13.1K
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
@MangiwaKwanza1 Kiluvya ni pwani unajiuliza inakuwaje? Fikiria mtu wa ikwiriri anatoka huko anapita Dar anaenda kibaha kutafuta makao makuu ya mkoa Mzaha 😀
Indonesia
9
1
27
2.6K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Ramani ya Pwani sijawahi kuielewa kabisa sasa kwa nini mkoa wa Pwani usichukuliwe wote ukawa ndani ya Daslamu tu😁
Indonesia
43
28
537
26.6K
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
@Zephania_Ndaki 29 oct waliwatoa wenzao ,wao na rafiki zao na ndugu zao hawakutoka
2
1
4
213
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Devotha Mlimchukia Sababu Alichukua Form Ya Ubunge Madenge Mkamchukia Kisa Ford Foundation Wasanii Mkawachukia Kisa Kampeni Za Ccm, Simba & Yanga Mkazichukia Kisa Hazikutoa Pole Oct 29 Basi Sawa Nyie Kwenda Kwa Vunja Bei , Collabo Na G Nako Mnatafuta Ugali Mamae Zenu😁
Filipino
70
82
499
18.8K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kwa sasa tumebaki na hawa 1. Tundu lissu 2. Jonh heche 3. Mdude nayangali 4. Deus soka 5. Tito magoti na 6. Lema kwa mbali 🫡🫡
Filipino
43
30
317
12.5K
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
Kwa mwanaume aliyefungwa kiuchawi anashindwa kumuingilia mke au mke aliyefungwa anashindwa kuingiliwa, au aliyefungwa kizazi kiuchawi, basi wakfu huu ni mujarabu kwa matatizo kama hayo 0747422466/0678252118 whatsApp
ZEGEGA tweet media
Filipino
0
0
0
66
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
Kubatilisha uchawi,Nuksi, vifungo katika mwili, kufungua njia kwa mambo ambayo yamekuwa magumu hayaendi vile inavyotakiwa,kuvunja husda,vijicho,kufungua vifungo vya kimahusiano, hii ni mujarabu sana 0747422466/0678252118 whatsapp
ZEGEGA tweet media
Indonesia
0
0
0
50
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
@canivo_ Loemba ameshawahi kucheza katika uwanja huu akiwa na Congo Brazavile leo tena akiwa na Simba
Indonesia
0
0
2
234
Mdibafu
Mdibafu@canivo_·
@Zegega339 Huyuuuu na sadio kanouteeee putiiin wamepita stade malien kwa vipindi tofautiiiii 🗣️
Filipino
1
0
5
931
Mdibafu
Mdibafu@canivo_·
Bloangu Gharib Mzinga tumeshakuelewa kwamba Ismail Toure na Pacome walicheza pamoja Asec mimosa aisee hii sasa too much 🙌💔
Filipino
34
22
520
25.3K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kuna watu wameoa wake zao kutoka kijijini na wakaja kuishi nao Dar Lakini tangu mwanamke afike hajawahi kufika Mjini hata kwa bahati mbaya, na ana miaka kibao town. Siku ndugu wakija kuwatembelea inabidi atafutwe mtu wa kuwapekela mjini wote 🚮
Indonesia
6
16
91
2.1K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kazi ya ukonda nikazi inadharaulika sana ila pesa nyingi sana wanatengeneza Nina jamaa angu kajenga chanika alianza ukonda 2020 kila siku alikua anaweka 30K juzi alikua anazindua mjengo wake ahamie
Real Nigger tweet mediaReal Nigger tweet media
Indonesia
24
14
341
25K
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺@SwahiliRealTalk·
Mwaka 2017 aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia huko Nairobi nchini Kenya. Jayantilal Keshavji “Andy” Chande alizaliwa May 7, 1928 Mombasa Kenya, na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndiko alikopata elimu yake ya msingi. Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya St. Peter’s School iliyoko Panchgani, walaya ya Satara, Jimbo la Maharashtra nchini India. Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina jipya la ‘Andy’ ambalo ndilo alikuwa akilitumia mpaka mauti yalipomkuta. Baada ya kumaliza masomo yake, alirudi nchini Tanzania na kuendelea kumsaidia baba yake katika shughuli za kibiashara. Mnamo mwaka 1967 wakati azimio la Arusha lilipopitisha sera ya utaifishaji, mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali. Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya Mwl. Nyerere amteue kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Taifa la kuhifadhi nafaka (National Milling Corporation) Mpaka kufikia mwaka 2015 alikwa na utajiri wa dola za kimarekani milioni 892 sawa na TZS trilioni 1.9. Wakati wa uhai wake amewahi kupokea tuzo mbalimbali ikiwemo ya (Knight Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) KBE mwaka 2003 ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kupewa raia wa Tanzania. FOLLOW ME @SwahiliRealTalk kwa historia nyingi zaidi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
15
26
138
27.6K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Naweka JINA lake kapuni kwanza Tuambizane Huyu ni nyoka gani? Na ana sumu ya Aina gani?
Engkabora tweet media
Indonesia
28
5
23
8.3K
ZEGEGA
ZEGEGA@Zegega339·
@sarahsiplisa Mwanamke awe mweupe tena weupe wake wa asili Tanga hapo kuna weupe kama papai na hata vipodozi hawavijui
Indonesia
0
0
0
13
Sarah
Sarah@sarahsiplisa·
Wanaoabudu kuwa na rangi nyeupe ndio uzuri, hao ndio wanaofanya watu kucha kujichubua.. tujikubalini mwee. Black is very rare and beautiful.
Indonesia
3
2
26
732