Rachel Wilson📈

111 posts

Rachel Wilson📈 banner
Rachel Wilson📈

Rachel Wilson📈

@RachelWilsb

Business | Smart Money | Growth | Practical insights on business & discipline Building with intention.

Cape Town, South Africa Katılım Şubat 2026
93 Takip Edilen32 Takipçiler
Rachel Wilson📈 retweetledi
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Before posting that piece of content. Jiulize haya maswali; → inaweza kumsaidia mtu? → unaweza kuiuza kama bidhaa? → inaku-position kwenye nafasi gani? Unatakiwa kuwaza kama mfanyabiashara sio tu mtengeneza maudhui.
Indonesia
0
14
49
4.4K
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
Kama huna good money management, achana kabisa na mikopo🤷
Filipino
1
0
2
27
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Ni dalili/kitu gani ukiona unajua huyu sio rafiki wa kweli ni miyeyusho .?
Indonesia
12
13
65
4.2K
Nditi
Nditi@Nditi2557·
@RachelWilsb Mimi nina mtaji ila sina wazo la Biashara 🥲
Español
1
0
0
7
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
Faida pekee ya ajira over biashara binafsi ni flat earnings ya mwisho wa mwezi. Kwenye biashara binafsi ukizembea siku kadhaa lazima uone effects wakati wa kufunga hesabu za mwezi. Ukitaka kuongeza kipato Consistence, Umakini wa kukeep numbers na hard working ndo mchawi
Indonesia
2
0
4
47
Rachel Wilson📈 retweetledi
The brand wiz
The brand wiz@miracleboytz·
Huwezi kutoboa kama... → Hutoi madini. → hauna consistency. → Hauna dira, shabaha, mpango. 2026 acha kuishi kwa bahati nasibu— Jiwekee malengo then pambania back and forth kuishi nayo 10/10. Huu mwaka ni wa kufanya GREATNESS.
Indonesia
4
12
52
746
Rachel Wilson📈 retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ukishaanza kugida ugimbi huku umezungukwa na kundi la makahaba anguko lako kiuchumi li karibu sana📌
Filipino
21
34
155
4K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Mtu anakwambia brother nahisi nimelogwa au nina mikosi. Sijawahi kupata pesa ikae mara nyingi pesa ninayo kamata huwa inavapor tu hata matumizi ya kueleweka hamna. Leo nikwambie sasa shida haujalongwa shida ni wewe mwenyewe na sababu ni hizi 👇
Indonesia
21
52
280
24.4K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Mwenye business idea nzuri kwa mikoa wa mwanza mtaji 5M ya kuanza tumsaidie idea kijana mwenzetu aanze biashara anaomba.
𝗭𝗘𝗗 tweet media
Indonesia
12
11
27
2.9K
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
@MadyTwaa @IAmHaule Ni rahisi, unaweza wapata mitandaoni, kwenye events mbalimbali, au Anza kutembelea maeneo unayoona watu wa hadhi ya juu hupenda kutembelea. POV Maybe umechanganywa na tone yangu, mimi ni mdada Kama umependa ushauri wangu nifollow, like, comment & repost pinned post
Filipino
0
0
0
1
MāđýPùņđıť🦁
@RachelWilsb @IAmHaule Hapo umenena mzee mimi marafiki zangu weng wanabenefit zaid kutoka kwangu, mm huwa tunapiga maybe stories au ushauri, ila najua nikihitaj 200k ya urgently siwezi pata ila wao huwaga nawasapport sana, na issue ni hapo kwenye kupat new cycle nikizidiwaga san inabid niwachek family
Filipino
1
0
0
7
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ni vile watu wabishi tu ila kiuhalisia Dar es salaam kuna maisha nafuu kuliko Arusha na Mwanza📌
Eesti
82
37
399
17.1K
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
@MadyTwaa @IAmHaule tengeneza circle ya marafiki mnaofanana mitazamo, leo mkitaka kuwekeza mnaunganisha mitaji tuu, kesho umekosa 200,000 unajua wa kumpigia. Rafiki ni mtu unayempa muda wako, ukijua thamani ya mda ungemthaminisha pia huyo rafiki
Indonesia
1
0
0
12
MKUMBO ZAKARIA MAKUKU󰟱🐓🐔󰦉
@Sirajitz1 Nani sijamfollow NIFOLLOW Sasa hv Account 10 . . . . . . 🐓#ELIMU_UFUGAJI_WA_KUKU🐔🐓 🔴𝐊𝐔𝐊𝐔 𝐖𝐀𝐊𝐎 𝐀𝐍𝐀𝐓𝐎𝐓𝐎𝐋𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐖𝐀𝐂𝐇𝐀𝐂𝐇𝐄? 𝐆𝐔𝐍𝐃𝐔𝐀 𝐓𝐀𝐓𝐈𝐙𝐎 𝐋𝐄𝐎!🐔🐓🥚🐣 Pitia pinned post ukapate ELIMU bure
Indonesia
1
0
0
8
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Account 300 zilizo active Zishushe hendo tuzifolo chap hapa
English
47
22
50
1.2K
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
@IAmHaule Wengi wanakuwa nawewe kwasababu una kitu cha kuwaoffer, shida yao ikiisha wanakutupa nje
Indonesia
0
0
1
25
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
@IAmHaule -Kusema watu -Ukiwa nae anaelezea matatizo yake tuu - Wakati wa shida hana msaada -Hana mawazo ya kujenga -Kila siku anataka asaidiwe yeye tuu
Indonesia
5
1
5
361
Rachel Wilson📈 retweetledi
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
5. Huana uvumilivu . Umepata shida kidogo tu wewe pesa ushaitumia simu kidgo kutoka nyumbani ushatuma pesa wewe kipindi haupo waliishi VP sometime jifunze kuwa mgumu maana maisha yapo tu kama ukiweka pesa vzur uje uwe na mzunguko mkubwa si itawasaidia sana Best wishes 🙏
Filipino
0
5
29
2.2K
R.M
R.M@shibobo___·
@RachelWilsb @Ngattaboe99 Ni muda tu wanafanya ivo mi kuna siku nimekuta mtu anauziwa bidhaa jumla 15k Bei yake halisi jumla 7k na alichukua mzigo wa 4M
Indonesia
1
0
1
10
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
Sikuhizi kuna hulka ya wafanyabiashara wengi kujikusanyia faida💸 isivyo halali, Unakuta mteja kaja dukani, mfanyabiashara kampigia hesabu huyu atakuwa wa bei fulani🕵️ ataipigia hesabu hela yake iishie dukani iwe kwa halali au isivyo halali.................see more
Indonesia
10
2
7
78
Rachel Wilson📈
Rachel Wilson📈@RachelWilsb·
.....Kilicho halali yako always kinazaa matunda🎖️, usitamani faida usiyoifanyia kazi. Hasara ya hapo ningepoteza uaminifu na cashflow ya mwaka mzima kwa tamaa ya kujaribu kitu kisicho na faida au chenye faida ya muda mfupi. Uliwahi kufanya nini kikakupa funzo la maisha🧖?
Indonesia
0
0
2
21