Rais7
926 posts


Wewe ku** kibuyu wewe. After all you have done, unatoa wapi nguvu ya kunitafuta tuongee??? After wewe na wapuuzi wenzio wa Njaa55 kuanzisha issue ya kwamba Lissu anafanya uhaini mpaka CCM wakambambikia kesi leo unanifata tuongeee? After the damage mmefanya we na wapumbavu wenzio ya kui-weaken Chadema sababu ya kujali matumbo yenu unanifata tuongeee?
.
Pumbav siongei na wasaliti…. Siachiagi maongezi na watu nomatter what, hata chat zangu na Abdul wa Samia sijawahi kuachia mpaka leo ila nimeachua hii sababu wewe ni traitor wa hii nchi….. Mnam-weaken Lissu sababu mnataka Mbowe arudi aendelee kushirikiana ma CCM? Sasa mmesababisha mpaka Lissu ambae tayari ana kilema aende kufia jela…
.
Mi nilikuwa naongea na wewe zamani kipjndi nakuona una akili. NEVER AGAIN. Mbwa wewe!!!

Filipino

Taarifa rasmi ya @ChademaTz kwa Kiingereza na Kiswahili 👏🏽
Public statement in English as well from @ChademaTz about not taking part in signing the election code of conduct today 👇🏾
@ccm_tanzania is so desperate at this point after failing to dampen the spirit of #NoReformsNoElection despite charging @TunduALissu with treason!
They are neck deep in trouble and they know it!


English

MSHIKEMSHIKE: Kwa namna Ligi Kuu ya NBC inavyoenda, unadhani ni timu zipi zitashika nafasi nne za juu na kupata uwakilishi wa kimataifa?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike

Indonesia

@Jacquetorro Baba kuchagua starehe yake na wewe tafuta mume uolewe atachagua starehe yako
Indonesia

@HildaNewton21 Kosa la dc ni kuihujumu katiba na amekiuka kiapo chake kwa kutoa siri za serikali kwa asiyehusika
Indonesia

@mzeewakaliua Huyo anajiuza wanaotoa bure thamani yao ni kubwa kwani wanatoa kwa waume zao na Mungu muumba atawalipa
Filipino

@SharonMontana20 Unasubiri nini wewe nenda tu ukerewe yeye ataenda kwa Mungu
Ila pesa hata kama ni buku ikikupotea bila ridhaa yako inauma muacheni baharia adai 80k yake hamjui alivyoipata aisee
Indonesia

Watoto wa EFU MBILI tupisheni hapa kweny TBT ya KIBABE hii ilikuwa bonge la DERBY mwaka 1993 kati ya BORN TOWN na BUSH STARS kweny uwanja wa MANYASINI.
WALIOSIMAMA kuanzia kushoto ni komredi kipepe,kepu ndondo,huihui,kobelo na Mzee meko.
WALIOCHUCHUMAA kuanzia kushoto ni mdindifu,mtwivira,madenge,kizibao, na zoba.
BACK BENCHA Nina VOCHA ya BUKU ya mtandao WOWOTE kwa mtu atakaenipa matokeo ya game hii na wafungaji kina nani FT.

Indonesia


















