The new Jay Melody album titled ADDICTION is quite versatile, touched many topics/themes. This is the type of projects that need time before making a comment. I already love it and I think more with time #ADDICTION@Realjaymelody 🙌🏾👑
Ipe shoutout project unayoikubali kwenye chati hii 💥
Hizi ndio albamu zilizoongoza kusikilizwa mwezi wa saba kwenye app ya Boomplay
Endelea kuusikiliza project uipendayo ili iwe kuendelee kukaa kwenye chati 🔝
#HomeOfMusic#Boomplay#TanzaniaCharts
Karibu kwenye orodha ya wasanii waliokimbiza na albamu zilizoongoza kusikiliza wiki hii 🔥
Msanii yupi umesikiliza sana ngoma zake na ni project ipi katika hizi hujachoka kusikiliza mpaka sasa?
#TanzaniaCharts#HomeOfMusic
Huyu hapa kwenye #Chemba@Realjaymelody amefunguka mengi kuhusu safari yake ya muziki mpaka hapa alipofika lakini pia kubwa ni kuhusu historia inayokwenda kuandika tarehe 20 pale #warehouse.tz Masaki
Unaweza kutazama full interview kupitia #cloudstv na YouTube channel yetu #CloudsMedia
Cc. andersondikson