Sabitlenmiş Tweet
PATRICK
20.4K posts

PATRICK
@St_PatrickII
The internet is written in pen, not pencil. Think before you post.🙂
Tanzania Katılım Ekim 2011
873 Takip Edilen1.4K Takipçiler

@maestrochance_ @Xpecial_onex Kila nikiona mwanamke mwenye sura nzuri huwa kinaniijia kisauti Cha Whozu Ile Ana kasura kazuri ila bonge la shiiiiiiimooooo!
Filipino
PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi

Kwani nilikua naomba matako? 🤣😆
🐾@midreeed
Ila biashara shikamoo sshv lubasha tweets zake ni sato na sangara na kuomba oda 😂😂😂😂😂😂
Filipino

@St_PatrickII @swahilitimes wenyeji gani ,wakaguzi uwa wanakagua mikataba iliyofanyika na kama kuna mabadiliko uwa kuna kuwa na addendum ya mikataba,usikute hajaona ongezeeko la mkataba kakuta malipo makubwa tofauti na bei/gharama halisi ya mkataba. na hoja uwa zinajibiwa kwa vithibitisho
Filipino

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya TZS bilioni 187 hadi bilioni 338.54 kwenye mkataba kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya CAF.
Msigwa amesema mpango wa ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kabla Tanzania haijapata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.

Indonesia
PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi

PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi
PATRICK retweetledi

Ripoti ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imebaini mapungufu makubwa katika viwanja vya Kenya vilivyopendekezwa kwa ajili ya mashindano ya AFCON 2027.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi Februari 2026, hakuna kiwanja, kati ya viwanja vitatu vilivopendekezwa, kilichofikia viwango vya Daraja la 4 vinavyohitajika kuandaa mashindano hayo.

Indonesia

@prossoff Endelea kupambania kombe mwanangu ili ukifika petrol station unasema tu nijazie mafuta sio kama hivo mafuta ya bodaboda ndio unaweka kwenye gari na bado unagombana na watu🤣
Indonesia

Nimeenda Petrol station moja kupima mafuta ya 20k.
Taa ya gari ilikuwa imewaka na ratio huwa naijua, hii gari nikiweka 20k gauge inapanda vizuri na taa inazima.
Nimempa maelekezo apime fresh na sikushuka kwenye gari, sa anasema amemaliza lakini naona taa haizimi.
Ikabidi niende nje ya pump nizime gari niwashe tena pengine itazima ila hakuna. Nikaondoka kwa imani kwamba itazima.
Wakuu nimeenda about 3k mzigo hauzimi na gauge inazidi shuka.
Nimemrudia ananipa receipt kwamba aliweka, nikazimia gari kwenye pump wakaita manager wao akasema jambo haliwezekani.
Kwa hasira manager bila kunichukua maelezo akasema wanipimie tena ya 20k.
Amepima na taa ikazima on the sport na gauge tayari ikawa imefika kwenye nill.
Huyu dada amezingua ila mwisho wa siku nitaonekana mie ndio shida.
Harrier engine 2AZ watu mnaelewa hiyo 20k unatembea kiasi gani.

Indonesia

@chapo255 @emanuel__daniel Isitupe shida sanaaa wenye magari kusimama au sio😄
Indonesia
















