Matata

315 posts

Matata banner
Matata

Matata

@blackLGX

Pan Africanist| trust in GOD| farmer| politics| Gaming| braster🧨 GGML

Katılım Ekim 2025
370 Takip Edilen275 Takipçiler
Matata
Matata@blackLGX·
tayari mafuta yamepanda bei. mtajeni alie sema tuna reserve ya miezi 3 aone aibu 😂
Indonesia
0
0
2
22
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Usipotumia AKILI kwa ukubwa. Basi matumizi makubwa ya NGUVU yatatumika. Na always matumizi makubwa ya nguvu yanatumia MUDA wako mwingi na uzalishaji huwa ni KIDUCHU. Be wisely.
Filipino
2
8
46
523
Matata
Matata@blackLGX·
@Mrkongajr unaweza kukuta amechina ukauziwa kwa bei sawa na bure 😆
Polski
1
0
0
4
MRKONGA
MRKONGA@Mrkongajr·
Waswahili husema "Usiogope kuuliza bei kisa UKUBWA wa samaki "
Filipino
3
5
30
486
Matata
Matata@blackLGX·
@mlinganya hata la CAG baada ya wiki tu wanasahau.
हिन्दी
0
0
0
328
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
"Hakuna kusapoti wasanii." Leo kila mahali naona silali tu
Filipino
15
13
153
5K
VOMOUS🪽
VOMOUS🪽@vom06·
Sasa kwa Taifa kama hili ambalo hata ukiwa lipigaji adhabu ni kusutwa, halafu vijana hawana hata time ya kuhoji, hata ungekuwa wewe ungeacha kuwa lipigaji?
Indonesia
6
9
20
193
Matata
Matata@blackLGX·
@vom06 bora Tundu lisu akubari ofa zao apige pesa tu. kupambania watu ambao akipata nyege anasahau kila kitu ni kazi sana🤐.
Indonesia
1
0
1
12
Matata
Matata@blackLGX·
@nuru_yumyum kama hauna mganga mkali! wiki tu utarudi shambani kwa hiari bila shuruti😆.
Indonesia
1
0
2
37
Nuru🌹🌹
Nuru🌹🌹@nuru_yumyum·
Nikachimbe sasa😄
Nuru🌹🌹 tweet media
Filipino
11
12
33
2.7K
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Deni lataifa likifiks Trilion Ngapi tunapoteza sifa yakukopesheka?
Indonesia
4
0
8
177
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania ila bado tupo masikini masikini tu.😄
Indonesia
7
13
54
807
Matata
Matata@blackLGX·
@Mikumifinest zama hizi kutongoza mpaka mvumbasi 😂😂. ndio maana watu wanatuibia hela tuna chekacheka tu 😆
Indonesia
0
0
1
136
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Kuna mti unaitwa mvumbasi ukichukua majani yake ukapikicha Kisha ukajipaka kwenye kwapa .Dem hata awe Mgumu vipi ukimtongoza hachomoi
Indonesia
17
13
48
2.2K
Matata
Matata@blackLGX·
@MkulimaKante watu wengi wanao beza wasomi, sio kwamba hawajui umuhimu wa elimu ila kuna mabo wana shangaa, mfano! mwalimu anae lipwa 800k - 1M unakuta anasubiri million 60 ya NSSF akistaafu, Ndio ajenge nyumba nzuri na aanze uwekezaji akiwa 55+
Indonesia
1
0
2
45
Kante
Kante@MkulimaKante·
Dokta ni kama sababu tu? Ushawahi fanyiwa operesheni mjomba wangu Ushawahi umwa ile serious kabisa kabisa na ukaona juhudi za madaktari kwenye kumtibia mtu. Hatuwezi dogosha juhudi za madaktari kwa kuona kama wao ni kitu fulani kidogo hivi, Never. Wale jamaa wana kitu extra tukiona kama kawaida tu ndio haya ya kuona kauli za akina dotto magari ziko sahihi na wazee mnachekelea kabisa🗑️
MK 7BEAT@kabaisa_jr

@MkulimaKante Kwani dokta ndio anafanya mtu asife au ndokta anaweza kurudisha roho ya mtu aliye kufa. Akishwali dotto magari yupo sahihi kabisa huu mfano wako usijaribu kuwambia watu wenye akili timamu dogo dokta ni kama sababu tu .

Indonesia
1
2
7
480
Matata
Matata@blackLGX·
@Zephania_Ndaki ndio billion 25 zilitumika ku pushi #tag 😂😂 asante sana mama hakika tutakukumbuka daima😁😁😁
Filipino
0
0
0
10
Zed🇮🇷
Zed🇮🇷@Zephania_Ndaki·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Kwa mara ya kwanza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma PPRA imewasilisha taarifa yake ya mwaka kwa Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan 30.03.2026, tulizoea CAG na TAKUKURU pekee lakini Mheshimiwa Rais ameruhusu na kupanua wigo kwa Mamlaka hiyo
Indonesia
3
17
21
269
Matata
Matata@blackLGX·
@empiremotorstz kama hiyo ni strategy nzuri kwann wapate hasara kila mwaka? it means wamecopy strategy ambayo haiendani na mazingira yao.
Filipino
0
0
0
443
Empire Motors TZ
Empire Motors TZ@empiremotorstz·
Jamaa zangu mliokuwa na shauku kufahamu bwana Mgosha alisemaje kuhusu suala la tiketi kutokuwepo online, lakini uki-board ukakutana na empty seats, Ngosha alisema: Namnukuu, “Oya lile huwa sio jambo la bahati mbaya, ni strategy ya kibiashara ambayo huwa na malengo yake, kwasabab
NYANI MZEE@jwise017

Wachumi naombeni maelezo kwa upole kwanini Shirika la ndege la Tanzania (ATC) linapata HASARA kila mwaka report ya CAG inapotoka? 👉🏿Abiria hawatoshi? 👉🏿Madeni (revenue against debts) 👉🏿Gharama kubwa za matengenezo 👉🏿Gharama kubwa za uendeshaji? 👉🏿Nyinginezo? Msaada wa UFAHAMU

Indonesia
6
7
85
17.6K
Matata retweetledi
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4·
Mungu hakukuweka duniani ili tu uchukue nafasi na kuishi. Ameweka ukuu ndani yako ili uache alama yako na kuweka kiwango kipya kwa familia yako. Simama na utimize kusudi lako! Wewe ni mkubwa zaidi ya unavyofikiri. Good morning East Africa.
Indonesia
21
21
40
382
Timber TZA
Timber TZA@Timbertzaa·
Nani wanataka 1000 followers leo tufwatane?
Timber TZA tweet media
Filipino
9
2
6
176
Matata
Matata@blackLGX·
@Dmpjrzip25 relationship, power and money shares the some value.
English
1
0
0
17
ZIP🇹🇿
ZIP🇹🇿@Dmpjrzip25·
Kati Ya Pesa Na Madaraka (Power) We unachagua Nini?
Indonesia
13
13
23
512