GOD BLESS
2.1K posts

GOD BLESS
@Rukenwa_Jr
My Life 've been full of Mysteries Since my Mama left me, I'm here to testify the Godness in me. #rukenwa_jr REST IN PEACE MAMA





@SouthernBuses @PorcarlP Unaleta taharuki

A proper Chels reunion during #CeltaSevilla









Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.








🚨HII machine ni Rolls-Royce Cullinan mali ya Speaker wa Bunge la 11 Hapo Uganda kwa MU7.. . Na hapa CHUMA imechukuliwa na POLISI baada ya Mama kuwa na shutuma za rushwa kubwa.. . Mama ameonekana kuwa na utajiri wa kutisha [illicit enrichment] ambao chanzo chake hakijulikani 👇

HABARI MBAYA Msaidizi wa Mhe. Lissu @daviddjumbe ametekwa usiku huu na maofisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Jumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake , maeneo ya Bunju Dar es salaam. Wananchi waliokuwa wanakimbiza gari iliyomteka, wameiona ikiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni. #FreeDavidJumbe
























