Sabitlenmiş Tweet
BEBERU BIDEN
180.8K posts

BEBERU BIDEN
@WemaKako
Advocate| Traveller| Challenger| Music Addict. Being myself is all that matters. I never look down on people coz I'm not the author of my path. 🇹🇿 by birth|
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2012
3.3K Takip Edilen133K Takipçiler

Acha usenge. Wamefaidika au wametendewa walichotakiwa kufanyiwa miaka 60 iliyopita?
Fumbo Khan@fumbokhanJr
Wananchi zaidi ya 8,757 kutoka vijiji vya Esilalei, Losirwa wamenufaika na mradi wa maji ulioghatimu shilingi bilioni 1.9 wilayani Monduli mkoani Arusha. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini
Polski
BEBERU BIDEN retweetledi
BEBERU BIDEN retweetledi
BEBERU BIDEN retweetledi
BEBERU BIDEN retweetledi

@citizentvkenya There is no way Ndiang’ui Kinyagia can leave his home and simply vanish from this world without a trace - Justice Chacha Mwita.
x.com/Nairobi_Leo/st…
NairobiLeo.co.ke@Nairobi_Leo
There is no way Ndiang’ui Kinyagia can leave his home and simply vanish from this world without a trace - Justice Chacha Mwita.
English
BEBERU BIDEN retweetledi
BEBERU BIDEN retweetledi


@SharonMontana20 My heart is weak. I have to be this way for now.
English
BEBERU BIDEN retweetledi

Nawaona, ila mkilinganisha elimu ya Tundu AM Lissu na elimu ya mama yenu.. sitaki kusema, Lissu is a G!!
Na pia, hawezi kubali kushindana na Lissu kidemokrasia sababu ya uwezo mdogo. Yes, ana uwezo mdogo sana!
Poleni. #NoReformsNoElection
Indonesia

BEBERU BIDEN retweetledi

Hi guys, nimefanya maamuzi magumu. Nimeamua kusitisha ajira yangu ya umbea kwa muda wa miezi 5, nitarudi kwenye umbea November 1 2025. Kuanzia leo for 5 months straight nitafanya siasa tupu!
I think wito wangu hapa duniani ni huu wa kufanya harakati, nashindwa kulala na kuishi kwa raha knowing I can use my platform to make a change. Najua nitapoteza a lot of money ila naamini nitakuwa sawa tu for 5 months plus shemeji yenu ananisapoti 100% kwenye hii decision. Kaniambia kama hii ndio itakupa amani basi fanya for as long as you need to.
Mtakao unsubscribe kwenye app yangu au hapa insta kwenye subscription I understand, kwa mtakaoendelea kulipia Mungu awabariki na ahsanteni na wengine naomba mjiunge kama kuniunga mkono.
Kama mimi mmbea mkuu nimefanya maamuzi magumu ya kuacha umbea kwa miezi mitano naomba na nyinyi Watanzania muingie kwenye mfungo wa umbea kwa miezi mitano. Hakuna kuwa distracted na habari za mastaa mpaka uchaguzi utakapoisha, hata wavue nguo wanye barabarani hatushadadiii, hatuna time. Tunawafungia vioo wasaniii na mimba zao za plastic, na mahusiano yao ya plastic, na pete zao kupotea kiplastic, na kuachana kwao kiplastic na kurudiana kwao kiplastic, na beef za kiplastic. Yani umbea wowote au habari yoyote ya mastaaa kwa miezi 5 ijayo hatutaki. Kila ukioa habari ya umbea sehemu kemea kama unakemea pepo.
CCM wamefanya investment kubwa ili kupambana na vita ya kwenye mitandao maana mitandao ndio imekuwa adui yao mkubwa ambae wanashindwa kumteka. Wameandaa matukio ya mlolongo ya wasaniii kuhakikisha watanzania wanapata burudani mpaka wasahau mateso yao, maumivu yao, malalamiko yao, haki zao, manyanyaso yao.
WATANZANIA for the next 5 months tutadai haki yetu ya uchaguzi wa haki na uchaguzi huru, tutadai reforms ili tupate uchaguzi wa haki. Watanzania tuna haki ya kuchagua Rais tunaemtaka na tuna haki ya kuchagua wabunge tunaowataka ili tupate maendeleo. Tusikubali tena kuchaguliwa Rais na wahuni. Tusikubali kuchaguliwa wabunge na wahuni
Sasa tunahitaji content, naomba wote mjitolee kuleta content za shida, mateso na maisha ya wananchi ambayo hawapati kesi ya taifa. Nitalipia pesa kidogo kwa content zenu.
Sema NO REFORMS NO ELECTION!!!!!!!!

Indonesia
BEBERU BIDEN retweetledi














