Sabitlenmiş Tweet
Bonge La Seller
2.3K posts

Bonge La Seller
@SEGGA101
"Bulk sms" & "Bulk WhatsApp”. Tailor made for your business. Contact: [email protected]
TANZANIA Katılım Mart 2013
385 Takip Edilen154 Takipçiler

Ukiamua kufuatilia hii vita Kwa akili yako timamu utagundua tu marekani bado ni kama anajaribu kutuliza hii vita siyo tena kupigana, lengo alisha kamilisha ila Iran Wana mlazimisha Marekani aingie vitani wakati haikuwa lengo lake.
Marubani wote wa ndege za marekani walio angukia kwenye ardhi ya Iran wote wame okolewa mpaka Sasa, hii ni wazi kwamba marekani ana sababu zote za kuipiga Iran ndani ya wiki Moja tu na Kuimaliza ila bado hajataka.
Kitendo hiki ni picha tosha kwamba marekani bado anafanya ubinadamu kwenye vita hii.

Indonesia

@Bukayoshafi77 Mungu awasaidie kwenye mechi zao mashabiki wasianze mashetani ya kukaanga chips, hawakawii kubadilika kisaikolojia, maana wanalihitaji Sana kombe
Indonesia

@mTusiOriginal Watu walio katika closed mind ndio huwa wanadhani uvutaji wa sigara ni kosa. Sio kosa jamani, ni maisha ya mtu, kuna wengine wanakunywa pombe.
Filipino

@VungaEl74 We unasaidiwa nini ndugu yangu na hao Mmarekani, Israel hata Iran?
Indonesia

IRANI inaongozwa na magaidi na watu wa mihemuko kwenye maamuzi wangekuwa na Nuclear weapons saiv wengeitumia
Asante Sana Trump na Netanyahu kwa kusaidia duniani na vizazi vya baadae
Nchi kama hizi za ukandamizaji wa haki za binadamu na kuua watu zizibitiwe mapema
Tukichelewa tutakuja kuipoteza hii dunia
Hogera Israel na Marekani

Indonesia

See what my neighbour is doing, he is constructing rooms and attached them to my fence.
So, my fence is now part of his property, i don't get it?
The fence i built alone, i called him and ask him to stop
He says i don't have the right to tell him what to do on his Land.
Atanda, I want to take it up
Pls tell me what to do sir

English

@George_Ambangil Man u tuna haha kutibu ugonjwa utakaoachwa baada ya Bruno kuhama timu.
Indonesia

Mtu yoyote hapa naomba anipe elimu sehemu ambayo mimi sijaona bado . Ni unawezaje kutengeneza partnership ya Jude na Mainoo katika kiungo na ifanye kazi ? Set up ipi ? Tena na Bruno bado yupo pia .
SportsDeeva@Blesing_Andrew
🚨 MAJOR BREAKING: Manchester United are seriously considering a move to bring Jude Bellingham back to England this summer. The club is reportedly working on a big-money bid in the region of €120m, with room to push closer to €150m to test Real Madrid’s resolve. Internally, United see the England star as the final piece to elevate their midfield, potentially forming a standout partnership with Kobbie Mainoo. [ via @fichajesnet]
Indonesia

@issapax @KibwanaEdgar Na kwanini refa aliruhusu mchezo uendelee mpaka extra time?, na viongozi wa CAF wakagawa kombe, ina maana walikuwa hawajui Sheria?
Indonesia

@KibwanaEdgar Weah ni mchezaji wa zamani sana natumaini tangu astaaf sheria zimebadilishwa nyingi japo hiyo article84 ipo je wa senegal walitoka.wenyewe tu bila.sababu yeyote?
Indonesia

@HashtagSD_ @George_Ambangil @anuskills3 Kupumzika sio magoli kiongozi, Ronaldo, Rooney, Halaand mbona Wameonyesha hivi viwango Sana hata kama wamecheza mechi nyingi ndani ya msimu bila kupumzika, lakini walishinda goli nyingi na assists.
Indonesia

@SEGGA101 @George_Ambangil @anuskills3 Kabla sijajibu hilo. JIULIZE BRUNO ANACHEZA MASHINDANO MANGAPI ZAIDI YA LIGI KUU TU. WENZIE BAADO WAKO KWENYE MAKOMBE YOTE WANA PAMBANA.
HAWA PUMZIKI WIKI 3 MFULULIZO KAMA BRUNO. wao kila wiki wako uwanjani. NA HAWA FUNGWI. Badili swali bwana mdogo
Filipino

@emabilly2001 Sijui kwa nini kina Mo, GSM , Bakhressa, Kusaga hawafanyi haya mambo?, hawa kina Godlove sijui Wana Ka mtindio wa ubongo au vipi?, wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha Wana hela.
Filipino

🇲🇦 Ladies and gentlemen, Morocco are the 2025 AFCON champions! 🏆
They hosted
They saw
They believed
They conquered
Congratulations to all Moroccans on a historic victory! 🏆
#AFCONwithMicky
#AFCON2025

English

@JMariotz Kwa maoni yako nani ni mchezaji bora kwa sasa EPL kumzidi Bruno?,,,,, numbers don't lie.
Filipino

@Chizzodrama Wanaomcheka Kontawa labda Wana wivu kaka. By the way, Sanaa ina uwanja mpana.
Indonesia































