Sabitlenmiş Tweet

Tunajali MUDA na USALAMA wa abiria na mizigo yake. Vikikosekana hivi ni bora tusitishe huduma.
Inakera kutumia usafiri usiojali muda na usalama uwapo safarini. Hili kwetu ni mwiko.
Karibu tukuhudumie.
#PrideOfSouthern

Mwanza, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

































