Sam otulo mrema
997 posts

Sam otulo mrema
@SamotuloMrema
SDA,/LUO/ACTIVIST/HUMAN RIGHTS/AFRICANISM/TRUST/UBUNTU
Katılım Ekim 2021
400 Takip Edilen158 Takipçiler
Sam otulo mrema retweetledi

@EsirEid 6️⃣Akiba au fedha ya dharura 40,000
⭐Mafuta/gesi ya ziada
⭐Uharibifu wa vifaa
⭐Siku za mwanzo bila mauzo mengi
TOTAL 500,000 ESTIMATED SUCCESSFUL 🤣
#TajiriLaKihaya
Leta uo mkwanja tuingie mzigoni
Indonesia

@EsirEid 4️⃣ Vifaa vya huduma & usafi – 185,000/=
⭐Sahani, vifungashio, karatasi: 20,000
⭐Sabuni, ndoo, maji ya kuanzia: 15,000
⭐Kabati la kio 150,000
5️⃣ Matumizi ya kiofisi 110,000
⭐Msaidizi kwa wiki 15,000 x 60
⭐umeme na maji kwa mwezi 50,000
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!

Indonesia

@EsirEid 3️⃣ Gharama za eneo & leseni – 50,000
Kodi ya sehemu (au makubaliano ya mwanzo): 30,000
Leseni ndogo ya biashara / mchango wa mtaa: 20,000
Indonesia

@EsirEid 2️⃣ Malighafi ya mwanzo – 210,000
Viazi (gunia ndogo): 80,000
Mafuta ya kupikia (lita 20) 75,000
Mayai (trei 3): 45,000
Vitunguu, pilipili, chumvi, nyanya: 10,000
Indonesia

@JumaMurigo @HildaNewton21 Huyu dada Mungu anapobariki wengine hizi baraka zianzie kwake
Happy birthday dada @HildaNewton21
Indonesia

Happy birthday 🎂 @HildaNewton21
Update zako za Mahakama zimeichanganya serikali ikabidi waweke mpira kwapani.
Mungu akuongeze maisha yenye neema

Indonesia
Sam otulo mrema retweetledi

Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya wananchi na maswali mazito kuhusu matumizi ya nguvu za dola dhidi ya raia wasio na hatia.
Katika mazingira hayo, Waziri Mkuu wa wakati huo, Mizengo Pinda, aliwasilisha taarifa Bungeni ambayo haikuwakilisha ukweli kamili wa kilichotokea Arusha. Nilihisi dhamira yangu ya uongozi na uwakilishi wa wananchi inanitaka nisikae kimya. Nilisimama hadharani na kusema wazi kuwa taarifa hiyo ilikuwa ya uongo.
Nilimwambia Waziri Mkuu kuwa alidanganya Bunge, na kwamba uongo aliousema angeweza hata kumfundisha shetani mbinu za uongo. Nilisisitiza kuwa nilikuwa na ushahidi wa kuthibitisha nilichokisema. Spika wa Bunge, alinipa siku saba kuwasilisha ushahidi huo, la sivyo ningechukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge.
Nilimjibu Spika kuwa sikuhitaji siku saba. Nilihitaji muda mfupi tu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge, kwenda hotelini na kuleta ushahidi mara moja. Ilikuwa hali ngumu na yenye mvutano mkubwa wa kisiasa, lakini nilikuwa tayari kubeba gharama ya kusimama upande wa ukweli.
Baada ya Bunge kuahirishwa mchana, Waziri Mkuu alituma wasaidizi wake wanitafute, akitaka nionane naye ofisini kwake. Niliitikia wito huo. Tulipobaki wawili, aliniambia kwa sauti ya utulivu lakini yenye uzito, “ Lema, umeniita muongo hadharani kwa sauti kali sana. Unadhani uongo wangu ulikuwa upi? Tafadhali nieleze.”
Nilimweleza kwa kina kila nilichokijua kuhusu sakata la Arusha, alisikiliza kwa makini, akashika kichwa kwa mshangao, kisha akasema kwa unyenyekevu mkubwa
“Sasa nimekuelewa. Hatuhitaji kuendelea kulumbana ndani ya Bunge. Wewe potezea, nami nitamjulisha Spika asikufuatilie suala la ushahidi. Nitakuja Arusha kushughulikia jambo hili kwa kina zaidi. Kisha akatoa kauli ambayo hadi leo naona ina uzito mkubwa kwa mustakabali wa nchi yetu:
Lema, alisema , tatizo letu kubwa sasa liko kwenye recruitment ya vijana wanaoingia kwenye vyombo vya usalama. Kazi ya intelijensia ni kusema ukweli ulivyo, ili viongozi wapate mwelekeo sahihi wa kutawala. Kwa sasa tuna changamoto kubwa ya aina ya watu tunaowaajiri. Kuna kazi kubwa sana ya kufanya.”
Maneno haya yanaeleza kiini cha tatizo kubwa linalolikabili taifa letu kwa sasa. Watu wengi wameuawa, wameteswa au kupotezwa si kwa sababu walikuwa na hatia, bali kwa sababu ya taarifa za uongo, majungu na uzembe wa kitaaluma ndani ya mifumo ya usalama. Wapo wanaoandika au kuwasilisha taarifa nzito na uongo za kiintelijensia bila uchunguzi wa kina, wakati mwingine katika mazingira yasiyoheshimu hata thamani ya uhai wa binadamu.
Mwaka 2020, nilipokuwa natoroka nchini, nilikamatwa nchini Kenya. Niliwasikia baadhi ya maafisa wa vikosi maalum Kenya, wakisema kuwa mimi na wenzangu tulikuwa tunapanga kupindua nchi. Mke wangu Neema
alisikia maneno haya ya uongo ktk masikio yake, kwa huzuni na hofu, aliniuliza !
“Godbless, ni kweli ulikuwa unataka kupindua nchi?”
Nilimtazama na kumjibu kwa utani “Labda kama nchi hiyo ni wewe, mimi naweza naweza kukupindua pindua wewe tu mpenzi. Huu ni uongo mtupu.” Usiogope uongo huu , tutashinda tena.
Andiko hili si kwa ajili ya kulalamika, bali ni wito wa kutafakari. Taifa lolote linalojengwa juu ya taarifa za uongo hujenga msingi wa damu na machozi. Ukweli, hata unapoumiza, ndiyo pekee unaoweza kuokoa maisha na kulinda heshima ya nchi.
Taarifa za majungu , uongo , umbeya na ulevi zimeumiza watu wengi sana kibiashara, kijamii , makazini na wengine wamefungwa na hata kuuwawa bila hatia yoyote.

Indonesia

Ninaona kauli zako kuhusu CHADEMA. Je, unalenga kuona CHADEMA ikifutwa?
Au unaamini kwa kufanya hivyo unaweza kujijenga kama mgombea wa urais wa baadaye? Nauliza tu, kwa nia ya kukumbushana jambo moja muhimu, ukiendelea na mkakati huu mliouchukua, si CHADEMA itakayofutwa bali ni wewe na nyie ndio mtakaofutwa. Na watu wote semeni AMEN.

Indonesia

@LarryMadowo Larry wuod alego kel mosechiek kutoka CNN DOCUMENTARY sisi Yuko gado juu tuna wait kitu kutoka jikoni
Suomi
Sam otulo mrema retweetledi

@Getrude_mollel @Meta Nani kakuandikia kingereza leo au chat gtp 🤪🤪🤪
Indonesia

Dear
@Meta
thank you for taking the action to deplatform Mange Kimambi. For many years she has been an extortionist and a bully who illegally benefited from the pains of her victims. She has paid for illegally obtained private information to resell them on her account at 50 cents per user per month while at the same time laundering money. Her content carrying private and illegally obtained materials have led to violence against other people, suicidal attempts on her victims among other things. There are tens of cases in court about this. Uphold Meta safely policies and rules. Keep her out of the platform.
@finkd

English

Kwa UTAMADUNI wa Kesi za Uhujumu Uchumi, ambao ni KUKOMOA, maana ya AHIRISHO hilo 👇 ni kwamba; MANGE KIMAMBI ataendelea KUSOTA RUMANDE hadi tarehe 28 Januari 2026. ##FREE MANGE KIMAMBI##😂😂

Indonesia

@YerickoNyerereT Vip ulipata ubunge sasa🤣🤣umekazana kutia huruma kudadeki
Indonesia

@TitoMagoti Kipindi kile Kuna Wana walimbeza sana huyu mwamba bila kujua alionyesha njia
Indonesia

@kibaha_finest Ero, buku, buku jero adi buku mbili parefu sana
Indonesia

Leo nimesikiliza hotuba ya Rais yenye Mamlaka kamili, Hotuba ya Rais wa Nchi Huru, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama. Pamoja na mapungufu kwenye maeneo kadhaa hasa mfano kushambulia kwa nguvu kubwa wale wanatajwa ni wachochezi wa ndani, badala yake kwa maoni yangu ilitakiwa wahubiriwe kwa lugha ya Mfariji Mkuu (Comforter in Chief), lugha ambayo Yesu na Mtume Mohamed waliitumia dhidi ya watu wema na wahalifu wa enzi hizo waliopinga kazi yao dunia, nimemuona rais kachukia sana, yes lazima achukie mbele ya washenzi wa taifa letu, ndivyo inavyotakiwa kwa taifa lenye nguvu ya kulinda uhuru wake!
Lakini kwa kiasi kikubwa imekuwa hotuba thabit ya mkuu wa nchi halisi, Binafsi kwa miaka mingi nilikuwa sijaliona taifa langu likitetea ukuu wake kwamtindo wa hotuba ya Mkuu wa Nchi yenye ladha njema kama leo. Imenikumbusha hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 23 Januari 1967. Akizionya Ureno, Uingereza na Marekani. Pia imenikumbusha Rais Nyerere alipovunja uhusiano wake na Uingereza kwakumfukuza Balozi wa Uingereza nchini Tanzania. Imenikubusha Rais Nyerere alipopinga ubaguzi wa Raingi kwasusia shughuli zote za kimataifa zilizoihusisha Afrika Kusini ya Makaburu hadi kufika kuzuia timu zetu za taifa kutoshiriki michuano ya Olimpiki.
Na mwisho imenikumbusha hotuba ya Rais Mkapa mwaka 2001 alipopinga kwa nguvu zote shinikizo la mabeberu waliotaka kuingilia mgogoro wa ndani uliotokana na mauaji ya zanzibar na mwembechai yaliyotokana na CUF kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2000.
Rais Samia amegusa vitu vingi muhimu sana ambavyo nimekuwa nikivisema tangu mwanzo, Na vingine tulivisema huko nyuma kabisa ndani ya vyama vya siasa, ikatafsirika kuwa ni propaganda. Vitu hivyo ni:
1. Amesema kuwa tukio la 29 oktoba lilikuwa jaribio la mapinduzi. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo! Hakukuwa na maandamano!
2. Amesema waandaaji wa uhalifu huu ni mabeberu wanaopigana vita vya kiuchumi kuzisaka raslimali zetu na ustawi wetu. Hili nilishalisema tangu siku moja baada ya jaribio lile na ndio msimamo wangu leo na kesho na historia itaandikwa hivyo!
3. Amesema vijana wengi walilipwa kuhamasisha na kufanya uhalifu huu. Hili nilishasema na kuweka ushahidi wa taasisi zilizowalipa ikiwemo taasisi ya Ford Foundation ya Marekani ambayo imemlipa Maria Sarungi kupitia taasisi yake inayoitwa Change Tanzania iliyopokea zaidi ya bilioni 10 katika kipindi kifupi cha miezi 10 tu hivi, Zingatia taasi ya Maria imesajiliwa Tanzania inatakiwa kufanya kazi zake Tanzania, lakini kwa miaka zaidi ya mitano Maria hayupo Tanzania, na taasisi haifanyi kazi zake lakini inapokea mabilioni, nakuwalipa vijana makumi kwa mamia nchini na wengine amewatoroshea Nairobi huko sasahivi.
4. Rais ameweka ukweli rasmi na kufuta propaganda ya muda mrefu iliyoenezwa na Tundu Lissu kipindi cha uchaguzi wa Chademw kwamba Mbowe amelambishwa asali. Rais amesema kuwa Lissu ndie alimpatia pesa alipokwenda kumuona Ubelgiji tena Rais alitoa pesa yake ya safari, Rais hajaishia hapo, amesema Lissu na Wenzake waliporudi Tanzania kwaamana ya Gobless Lema nk aliwapa pesa ya kujikimu. Na mwisho wakaanza kumtukana Rais huyuhuyu! Si mimi nasema, bali Rais Samia kasema yeye kwa kinywa chake!
Hili jambo la Lissu kulambishwa asali mimi binafsi nilisema kipindi cha kampeni kwamba ninazo taarifa sahihi Lissu amepewa pesa, na kama nimsafi kweli mbona hajatangaza hadharani hiyo pesa aliyopewa pale Ubelgiji? Bahati mbaya tayari wanaharakati uchwara walikuwa washavamia na kuteka chama hivyo hawakusikia wala kuelewa sauti yoyote nje ya Lissu ambae alijimilikisha usafi wa moyo na mwili na akajimilikisha ukweli na haki ya nchi hii.
Lakini sisi tunaomjua kuwa ni muongo na mlamba asali mkubwa, wala hatukuwashangaa, tuliacha ungo upande lifti, na sasa tunafurahi kuona ukweli umefika kwa njia ya ngazi. Rais wa nchi kafunga mjadala wa Uzushi ulioenezwa na Lissu na

Filipino
Sam otulo mrema retweetledi












