Mauchafu yote haya anayofanya Samia ni matokeo ya mbegu chafu aliyoipanda Magufuli... Huwa namuomba Mungu nisife kabla sijanya juu ya kaburi la huyu mzee, alituharibia kabisa Nchi yetu📌
@nyuki_malkia MAGUFULI Alituharibia Sana Hii Nchi Miaka Yake Mitano Ya Kwanza Alisema Kufikia 2020 Tanzania Kutakua Hakuna UPINZANI Atauua Uchaguzi Wa 2020 Mlijionea. SAMIA SULUHU Nizao La Serikali Ya Magufuli Anaendeleza Alipoishia Magufuli Ndio Maana Alisema “Mimi Na Magufuli Nikitu Kimoja”
Mchango wangu kwa MAJERUHI wote leo.❤️🙏🏿
Tuendelee kuombea ndugu zetu wapate nafuu mapema tuendeleee na mapambano.
Ni vita NGUMU MBELE ila Tutashinda.
#NoReformsNoElection#FreeTunduLissu
REPOST 400🚨🚨
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Anaitwa Ester Martin Peter cheo Mnadhimu wa Kambi (Resident Sergeant Major – RSM) huyu ndio aliyeongoza siku ya Leo kumvua nguo na kumzalilisha Katibu wa Jimbo la Ilala Elizabeth.
Na kwa maelezo ya ELIZABETH huyu ndio alieamuru kupigo kwa yule kijana aliefariki nje ya MAHAKAMA.
REPOST 400 🚨🚨
𝐇𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐠𝐮𝐦𝐮?
Mtumishi pata mkopo wa muda mfupi na upate suluhisho la haraka. Fungua NBC Kiganjani APP →mkopo→muda mfupi.
Shusha App kutoka App Store au Play Store ule mema ya 𝐍𝐁𝐂 𝐊𝐢𝐠𝐚𝐧𝐣𝐚𝐧𝐢.
#NBCKiganjani#UkigusaTuImooo
24/04 ni siku ya kesi ya mchongo ya UHAINI ya mwenyekiti wa chama cha @ChademaTz Mh @TunduALissu kesi hii imefunguliwa na serikali ya @SuluhuSamia nia ya kesi ni kukandamiza democracy nchini.Uliona wapi kesi ya UHAINI mtuhumiwa ni mtu mmoja kesi ya UHAINI ni kikundi.TUTASHINDA