Sabitlenmiş Tweet
Octa
701 posts

Octa
@SanaiTech
To die for an idea that lives is better than to live for an idea that dies
Tanzania Katılım Mart 2023
334 Takip Edilen115 Takipçiler

@Psiteshio1 Kwanini usishauri watu kununua aridhi, unashauri watu kununua simu kali. For what?
Indonesia

@Positivenga1 Ningebadili mfumo wa elimu wa tanzania then kuwezesha kutungwa kwa sheria zinazowalinda wajasiliamali na kuwafanyia mipango mikakati ya kuwainua wajasiliamali na viwanda vidogo vidogo
Indonesia
Octa retweetledi

@SanaiTech @Sativa2555 Ukiondoa Wassira na wajinga wajinga wachache....mkoa wa Mara umebariki sana TAIFA hili na vichwa vilivyonyooka sana!!!
Indonesia
Octa retweetledi

Hakuna mkurya Fala
Wakurya ni kabila la watu wenye Misimamo na uthabiti juu ya mambo wanayoyasema.
Mkurya akikwambia ntakupiga na atakupiga kweli
Ndo maana huwezi kuta mkurya anae jitambua yuko CCM maana kuwa CCM inakuhitaji ukubaliane na mambo Mengine ambayo nafsi yako inakwambia hili Sipendezwi nalo, ila unabidi ukubali kutetea ugali
Mkurya timamu kama John heche hawezi kuwa namna hiyo.
Huwezi kuta Mkurya anatabia za Akina Zitto kabwe za kimalaya malaya na kukosa msimamo
Watu wa aina hii ndio tunataka waongoze nchi hii na sio vinginevyo
Repost 340

Indonesia

@gabyconscious @SelcomPesa Jana nimejiunga bundle.
Nikatuma pesa walikata pesa hawakulitumia bundle
Baadae nikatuma tena hawakulitumia bundle mwisho lika expire bila kutumika.
Kuna kausenge wanafanya saivi
Filipino

@SelcomPesa mna shida gani lisaa la pili siwezi tuma pesa.
Indonesia

@1ernestnene @Sativa2555 Haha hapo nakiri
Yule jamaa ni hovyo sana.
Ni ngumu kumtetea
Filipino

@BesteNicolas Yanazuia mchwa.
Pia yanaogeza #basicity kwenye aridhi yenye kiwango kikubwa cha acid.(hii ni kisayansi)
Indonesia













