
I think this is what happened to my dad if am not wrong,Alijiua
𝐉!𝐌𝐌𝐘 🇫🇷 🇸🇳 🇵🇹@kafangi
Kuna rafiki yangu back in 2023 alioshwa 500k karibu achizi, before buying land fanya ata research kidogo, ongea na local people ama utafute mlevi mmoja atakwambia kila kitu. usikuwe na haraka shamba hakuna mahali inaenda lakini pesa zako zinaweza enda ukiwa fala
English

















