boom jr (Diploma)

342 posts

boom jr (Diploma) banner
boom jr (Diploma)

boom jr (Diploma)

@ShaibuBumbo

DIT student, mechanical engineering. proud to be Muslim, Tanzanian, black. lefties family

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2022
89 Takip Edilen38 Takipçiler
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@Life_of_vike Kwanini anaye andikia mkono wa kushoto, lazima daftari lipindishwe. Kama wangeweza wangepindisha hata ubao
Indonesia
1
0
1
7
Life Of Vike
Life Of Vike@Life_of_vike·
Sema LEFT HANDED tuna Ka UFALA fulani hivi Wengine wakivaa saa mkono wa kushoto sisi tunavaa mkono wa KULIA Yaani tuko VICE VERSA
Indonesia
8
5
37
1.7K
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz Hivi unajua mifupa imetokana na maji ya uzazi. Na sio imeota TU. Imeivaa nyama, na imejipangilia due to o functionality. Sayansi can't prove this observable creation ndio Ita prove mtu katokana na udongp
0
0
0
12
incrΞdi₿0y
incrΞdi₿0y@incredib0y·
@ShaibuBumbo @EduTalkTz Na kama tumeumbwa kwa udongo why mwili ukioza mifupa huwa inabaki, mifupa hubaki hata miaka 1000 au hapo Mungu alitumia udongo gani??!
Indonesia
1
0
0
9
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu hakuna uhusiano wowote na maisha ya mwanadamu. So, useme yupo au hayupo, iwe yupo au hayupo, haibadilishi chochote. Ni story zetu tu. Mungu wa mwanadamu ni sayansi, huyu ndio anahaingaika na maisha yetu kila siku. Na sayansi haihitaji imani.
Indonesia
44
3
55
5.1K
takadinie
takadinie@takadini_23·
Hii degreee bila chart gpt ingekuwa ngumu mno😂
Indonesia
11
14
48
1.6K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa nini Mungu aliamua kati ya hawa wamama wawili, mmoja awe tajiri na familia yake iishi kama malaika na mwingine awe maskini na familia yake iishi kwa tabu na mateso??🤔🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
43
6
139
9.3K
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@EduTalkTz Achana na chanzo cha ulimwengu. Wewe mwili wako, mifumo ya mwili. Arrangements za planet, displine ya viumbe kuzaliana kula na habitats zao, utaratibu wa usingizi, kuishi na kufa. Vyote hivyo na vingine vimejiendesha vyenyewe? Hakuna aliye vianzisha akavipanga na kuvisimamia?
HT
0
0
2
67
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwani ukisema hujui chanzo cha ulimwengu na maisha kwa ujumla ni nini kutakuwa na tatizo?🤔🤔🤔 Kwa nini unataka kulazimisha kuwa Mungu ndio chanzo cha yote kwa hoja kwamba hatujui chanzo kingine?🤔🤔🤔 Hauoni kwamba anakuwa ni Mungu wa ujinga?🤔🤔
Indonesia
18
2
46
2.3K
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@EduTalkTz Mtu kama hujui usianze kukana na kubisha. Jufunze Fanya utafiti. Ma genius wengi waliokuwa hawaamini kuwepo wa mungu. Kwa detail ndogo TU wakachange mind
Indonesia
0
0
0
22
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mtu ananimbia “kama huamini Mungu yupo, tuambie wewe chanzo chako ni nini?” Nami namuuliza “kwani yeye Mungu chanzo chake ni nini?” Ooohhh unakufuru. Nakufuru kuuliza swali hilo hilo uliloniuliza? Mtu ananiambia “kama sayansi ina ubavu, kwa nini haijazuia kifo?” Nami namuuliza “yeye Mungu ameweza kuzuia kifo? Hakikumuua mpaka mwanaye?” Ooohhhh acha kukufuru! Nakufuru kwa kukuuliza swali hilo hilo unaloniuliza?? Mtu ananiambia “ukiumwa ndio utajua umuhimu wa Mungu, una kiburi cha uzima.” Namuuliza, “kwa hiyo wote waliolazwa mahospitali kila kona hawamjui Mungu?” Basi nami ni zamu yangu kuuliza: Huyu Mungu hawezi kujisemea? Kwa nini nilaumiwe kwa kuhoji masimulizi yake ikiwa yeye mwenyewe hataki kujisemea? Je, napaswa kumwamini Nabii Zumaridi aliyesema amekutana na Yesu wakapiga story? Kwa nini asinijuze moja kwa moja yale anayotaka niyajue kuhusu yeye? Hana uwezo huo?
Indonesia
90
11
135
16.4K
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz Hata kwenye chemistry compound haiwezi ikadecompose ikaunda product ambazo hazijaiunda hiyo compound.. haya umeamua kukataa TU Sina cha kufanya
Filipino
2
0
0
8
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz You know anything about soil formation?, if you know how you can distinguish organic matter from soil. In geography form three I remember factors that influence soil formation organisms, parent rock etc, interesting ,some rocks come from organisms. Unawezaje kuvitenganisha?
English
2
0
0
16
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz Duh, hii duniani. Time traveling in fact ni myth TU. How you scientifically prove it.weww ukiambiwa uneubwa kwa udongo unakataa. Scientifically you're organic ( hydrocarbon) you can decompose to form soil and other soil nutrients. Tuishie hapa
English
1
0
0
17
incrΞdi₿0y
incrΞdi₿0y@incredib0y·
@ShaibuBumbo @EduTalkTz Na unadhani kuambiwa Mungu aliumba mtu kwa udongo sio jambo la kufikirika.? Yani time travel theory iwe fantasy ila kumuumba mtu kwa matope ukaona ina make sense kabisa!?
Indonesia
1
0
0
23
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@EduTalkTz Mungu ameandaa malipo ya mwema na uovu siku ya mwisho. Akaweka malipo mazuri kwa walio dhurumiwa wakajipambania na kusubiri. Na hicho ndicho kilitokea wakati wa utumwa. Watu waliteseka wakapambana utumwa ukafutika. Na thereafter life watalipwa mema na utii wao kwa mungu
Filipino
0
0
0
84
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz Hujajibu swali lolote niliokuuliza. Unakataa uwepo wamungu alafu at the sametime unaamini vitu vya kufikirika. black hole, geocentric theory, earth is flat, aliens, time traveling etc. ambavyo ni stori za sungura na fisi kwenye sayansi alafu huamini uwepo wa mungu
Indonesia
1
0
0
48
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz Alafu nikuongezee tu. Maswali niliyoweka hapo na mengine yote ya kisayansi. Yanajaribu kuelezea tu kitu kinatokeaje. Na sio kwanini kimetikoa na ipi asili yake
Indonesia
0
0
0
15
incrΞdi₿0y
incrΞdi₿0y@incredib0y·
@ShaibuBumbo @EduTalkTz Kukosa majibu ya kitu haimaanishi ndo uwepo wa Mungu. Tunamweka Mungu pale tunapokosa majibu ya kitu flani ili tusifikirie sana. Mfano Ulimwengu ulitokea wapi? Kuhusu usumaku kasome vizuri then utapata majibu, ukikosa jibu usimuingize Mungu itafanya uache kufikiri
Indonesia
2
0
0
40
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@EduTalkTz Mungu ni aloyegeuza majimaji kuwa nyama na mifupa. Akakuchagulia jinsia taifa, etc. Kila kilichotokea kina sababu na huo ndio msingi wa kuamini mungu. Nakuamini vitu vinaweza kufanyika bila kuwepo mfanyaji, kunapelea kuwepo watu kama wewe
Indonesia
0
0
1
28
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@incredib0y @EduTalkTz sayansi Haina jibu la swali lolote liligundua. Mfano, where the magnetic force comes from. Why does magnetic force attract only some kind of metal, why does the density affect the bouncy, science just observe and tell the properties. Au unaweza nisaidie swali lililojibu sayansi
English
1
0
0
32
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@JoyceHuru Hamna mwenye dini yake. Hakuna anayeweza ishi bila dini.. sijui dini ya waarabu , sijui dini ya wazungu, sijui dini ya mababu. Whatever kama unaakili utachagua TU njia sahihu
Indonesia
1
0
0
13
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
@ShaibuBumbo Dini yako au imeletwa n Waarabu unataka kuwa mfia dini kuliko Sheik wako
Filipino
1
0
1
18
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Uislam imekua dini ya kingese sana yani Anko T anafuturisha n masheik wanamsomea dua kbsa.
Joyce Evaristi tweet media
Indonesia
118
33
492
42.1K
boom jr (Diploma)
boom jr (Diploma)@ShaibuBumbo·
@JoyceHuru Wewe ukichinjwa utatuita magaidi. Kitu ambacho hata jeshi la nchi inaogopa nikuwakasirisha waislamu. Au tukupe siku za kucount uhai wako
Indonesia
2
0
1
409