Exotic

2.3K posts

Exotic banner
Exotic

Exotic

@Songombingo28

I’m like nobody you've ever met 😉

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2022
345 Takip Edilen1.5K Takipçiler
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Obure1998 The aviator 2004 Gangs of new york 2002 The departed 2006 Blood diamond 2006 Body of lies 2008 Revolutionary road 2008 Shutter island 2010 J. Edgar 2011 The revenant 2015 Sijui umeziona zote? Cause if you did usingesema hayo?
English
0
0
0
59
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
@Songombingo28 Alikuwa na unaprove point yangu twende upande wa pili wa Bob Bronx Tale Sleepers Casino Heat KOFM The Irishman The Godfather 2 Joker Deer Hunter Nipe 5 tu upande wa pili wa Leo kuanzia 2000 akiwa kama serious actor 5 tu
Indonesia
1
0
1
26
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Inabidi nikufundishe kidogo, nikuelekeze, kuwa mvumilivu tu Once upon a time hakuwa insecure actor, alikuwa ni muigizaji ambaye career yake ipo hatiani kutokana na ugumu wa kutoka kwenye TV Show kuja film, Hollywood ipo hivyo ni wachache sana wamepenya
Exotic@Songombingo28

@Obure1998 tuangalie kazi zake 4 za mwisho The revenant - physical character depicting unyielding persuit of a father Dont look up - socially awkward nerd satrical comedy Killers of flower moon - morally corrupt and nuanced Once upon a time - insecure actor Zinafananaje??

Indonesia
2
0
0
90
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@carstin_x @Obure1998 Isn't bobby the same? Spiral into violence - raging bull, taxi driver Decay of morality - irishman, goodfellas, casino, god father na ile ya tough guy to live with ambazo ni comedic kama meet the parents na silver linings playbook His characters depict trans from good to evil.
English
1
0
0
28
NotYourGuy🐐
NotYourGuy🐐@carstin_x·
@Songombingo28 @Obure1998 Really you asking zinafananaje??? ngoja nikusaidie All four films: Theme of DENIAL: Denial of violence (Hollywood) Denial of genocide and exploitation (Flower Moon) Denial of extinction (Don’t Look Up) Denial of human fragility (The Revenant) Niendele au nisiendele?? ARC SAME
English
2
0
0
16
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Kwani tumesema sio versatile? Hoja ni sio versatile kulinganisha na Bobby pia Leo character nyingi anazochagua zinafanana. The Departed, The Aviator, Shutter Island zote ni filamu tofauti, character tofauti ila zote well enough mentaly
Exotic@Songombingo28

Titles ulizotaja za De Niro ni kweli zote ni strong performances sana tu lakini nilitegemea utacompare na kucontrast between the two kwa sababu hata Di Caprio ana strong versatile characters na ni methodical actor mzuri sanaa. Mfano: Django unchained - cruel slave owner

2
0
1
27
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@gabyconscious Tatizo tukipata tuanaanza show off mara Escalade imeandikwa GABY 🤣 ukiagiza kinywaji mpaka kije na mataa baddies wote wa mjini wa kwetu mixer unataka Dunia ijue umepiga wakati mwamba wa kichina kavaa yebo na track na anapiga ngondi daily halafu ndani ana B 6 kwenye mfuko.
Filipino
0
0
1
87
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Wachina wanatoa pesa nchini bila hata banks zetu kujua wala TRA kufatilia….ila sasa iko iko kitu mzawa jaribu tu ufanye biashara bila pesa yako kuonekana iko bank gani na biz ikakua kubwa utajua hujui😄🫵🏾 KISUTU itakuhusu.
Indonesia
16
38
504
21.2K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@MarekaMalili Na yeye anakuangalia umekaa hapo unajilipia bill mwenyewe wakati yeye bila kutoka na mzee hapo hawezi kanyaga halafu anakuangalia unavyowasha gari lako unasepa wakati yeye anaenda kupanda daladala. LIFE.
Filipino
0
0
0
17
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Unamuona Mwamba age kama yako au Zaidi, kaja na Mzee wake kupata mbili tatu huku wanatwanga story. Damn, unakumbuka wako ushafukia kitambo. LIFE.
Filipino
19
48
614
20K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@carstin_x @TravellerVoman @Chizzodrama @Wakazi @Obure1998 What?? Scorsese prefers a particular cast kwenye kazi zake so italian Mafia always included de niro but katika kazi zake za mwisho wale hawakuweza kufit kwenye character yake so the wolf of war street, killer of flower moon, departed, shutter island hawakufit it had 2 b him
English
1
0
1
65
Cinephile
Cinephile@Obure1998·
Bobby kacheza kama Boxer kwenye Raging Bull 80 Kacheza kama Psychopath kwenye Cape Fear 93, Jack Brown 96, Taxi Driver 76 Kacheza kama Gangster kwenye Goodfellas 90, Casino 95, The Godfather 74, Irishman 94, The Untouchables 88, KOFM
chizzo drama@Chizzodrama

@Obure1998 @HastaRuego Range ya kitu gani Binafsi mimi ni deniro lialia ila haiondoi kuwa kina a wake pia yuko vyema And of course genre~wise Leonardo ni versatile kuliko wote hao Na siyo kitu kibaya Nafikiri ungejikita kwenye kuelezea tu siyo habari za kufahamu movie, siyo kila jambo ni ligi

HT
1
2
3
973
Exotic
Exotic@Songombingo28·
Shutter island - traumatised father The Revenant - vengeful father Gangs of New york- Gangster Dont look up - satire comedy Wolf of wallstreet - scammer Catch me if you can- scammer Blood diamond - soldier of fortune Departed - undercover cop Titanic - romance Romeo and juliet
English
0
0
0
70
Exotic
Exotic@Songombingo28·
Titles ulizotaja za De Niro ni kweli zote ni strong performances sana tu lakini nilitegemea utacompare na kucontrast between the two kwa sababu hata Di Caprio ana strong versatile characters na ni methodical actor mzuri sanaa. Mfano: Django unchained - cruel slave owner
Cinephile@Obure1998

Bobby kacheza kama Boxer kwenye Raging Bull 80 Kacheza kama Psychopath kwenye Cape Fear 93, Jack Brown 96, Taxi Driver 76 Kacheza kama Gangster kwenye Goodfellas 90, Casino 95, The Godfather 74, Irishman 94, The Untouchables 88, KOFM

Filipino
1
0
0
116
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Nipeni movie kali za James Bond nimalizie hii ijumaa apart from No time to die, Skyfall & CASINO ROYALE
Eesti
9
4
81
4.6K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Wakazi Till i die ya cannabino was popular few years ago but wouldn't be as popular 20 years ago. Relativity ya audience and the rapper haikuwa na freedom sana ya bilingualism 20 years ago japo some would relate. All in all bilingualism inaongeza wigo yeah and tunapoelekea haitakwepeka.
English
0
1
5
2.8K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Wakazi Code mixing ni kutumia maneno kadhaa ya lugha nyingine katika sentensi in that concept almost kila rapper ni bilingual kwa kujua au kutokujua, code switching ni kutumia sentensi nzima kwa lugha moja na kufuatiwa na sentensi ya lugha nyingine ambao ni rappers wachache zaidi.
Filipino
2
0
1
254
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Nieleweshe zaidi tofauti ya code mix & code switch ? And how they are relating na kuwa bilingual rapper… Kuwa “Wakishua” in TZ haijawahi kuwa na relation na music, bali economic status, family name, na unapoishi… Hata Dodoma, Iringa, Sumbawanga kuna maeneo yanaitwa Uzunguni, na watoto waliokulia huko coukd be dubbed wakishua hata kama Kiingereza hawakijui vizuri. 🤷🏾‍♂️ Naelewa issue ya demographic inavyo affect perception na reception, ila issue ya usage ya multiple language in art ni tofauti.
Exotic@Songombingo28

@Wakazi Bro i get you ila sijaelewa mkisema Bilingual mnamaanisha code switching au code mixing? Rappers wengi ambao are so called "Bilinguals" are code mixers not switchers on my opinion. Waswahili hatujawahi kuwa fans wa code switching kwasababu it was termed as wa kishua.

Filipino
3
2
9
2K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Wakazi Lakini kuna wale ambao wanachana whole verse in a different language au whole song ambao ni wachache zaidi. Kwenye Rap industry ya early 2000's bilingual rap wasn't favoured sana kwa sababu audience couldn't relate but now inakuja kidogo cause aufuence imebadilika kiasi
English
0
0
1
43
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Honoured to join global leaders, policymakers and thinkers at the World Governments Summit 2026 — a platform dedicated to shaping future governments. The conversations this year centred on how innovation, technology and collaboration can help governments respond better to humanity’s shared challenges. Because the future will not be shaped by policy alone, but by partnerships, purpose, and a commitment to serve people better. #worldgovernmentssummit2026
Mohammed Dewji MO tweet media
English
15
8
97
7.6K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Wakazi Which wasn't popular back then kuitwa mboga saba ilikuwa ni diss not a praise. Nowadays ni something ya kujivunia so nahisi pia perception inategemea na age ya mtoa mada sababu akina "Okonkwo" wapo. Nakubali language inaongeza utam but kukubalika ni demographic iliyolengwa.
Filipino
0
0
1
199
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@Wakazi Bro i get you ila sijaelewa mkisema Bilingual mnamaanisha code switching au code mixing? Rappers wengi ambao are so called "Bilinguals" are code mixers not switchers on my opinion. Waswahili hatujawahi kuwa fans wa code switching kwasababu it was termed as wa kishua.
English
1
0
2
2.4K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Hamna mtu amepewa benefit of doubt sababu ameimba Kiingereza!! Mimi nimekuwa influenced na Bilingual Artists (KU, Underground Soulz, Deplowmatz, Unique Sistaz, Hashim Dogo) na pia mwenyewe nikawa Bilingual, alongside my peers (Langa, Cpwaa, KK, Mike Tareto, Uno) na nimekuja ku-pioneer movement ya new era Bilinguals (Temayai). HAKUNA aliyewali-pewa “benefit of doubt”. Advantage waliyopata wasanii wazamani iwe ngeli au kiswahili ni kuwa walikuwa wachache, so kila aliyebahatika kuingia studio alisikika kama sio kuwika!! Ila muziki ulivyogeuka mass product, narrative ikajengwa kuwa “ngeli hailipi” na sio tu bilinguals hawakusikika bali walilazimika ku-switch kufanya kiswahili. Same way walioimba R&B (Jide, Stara, Banana, Mr Paul, TID, etc) nao kuacha na kuimba Zouk, Rumba, na hatimae kuzaliwa hiyo Bongoflava sound. Na kuna watu vipaji viliishia hapo hapo hawakutoka tena kimuziki. Upande wa Hip Hop baada ya ku abandon English, na Temeke Rapstyle ku-takeover, the closest thing to ngeli became rappers wanaoimba “Kiswahili Kwa Swagga” (Mr Blue, Joslin, Jos Mtambo, CPwaa). Until Ibrah Da Husler (N2N) came into the picture! Sasa labda kama unataka kusema Ibrah ndio alipewa “benefit of doubt”. Langa, ambae ngeli imelala toka vidudu, alikuwa wala hatumii ngeli but he was probably better than me kwa ngeli. Hata Uno alianza ku release tracts za ngeli baada ya kufahamika. Ukianza kuchana kwa ngeli na ukawa deep, utajifunza fundamentals nyingi, na by the time uki transition to kiswahili.. ni shida inakuwa!! Mimi sijawahi kupewa benefit of doubt; nimepambana ku-earn respect, na Madogo waliofuata after me, wameibuka katika kipindi ambacho Hip Hop haizingatiwi kabisa na washika dau, na Wasafi ndio wana reign supreme; wengi wamekata tamaa, na wachache ndio wameishia kupata recognition (Yeyo, Mex, FreshlikeUhhh, Benny So Far, Elem, Simalike, etc). So, I respectfully DISAGREE with your take!! Unless kama kuna wasanii wengine
chizzo drama@Chizzodrama

The thing is English sounds so Legit in rap kutokana na kuwa ilianza kwa lugha hiyo Wengi wanaoanza hivyo wanapewa benefit of doubts lakini wakisikilizwa unagundua ni weupe wanatupwa Wanasahau ubora wao upo kwenye ART na siyo idadi ya lugha anazotumia So wapo

Indonesia
1
1
21
1.9K
Exotic
Exotic@Songombingo28·
@EngMapundajr Sharti kunguru abebe halafu kuna ile mwamba akikung'ata ukipaka mavi ya kuku meno yake yanaoza 🤣
Indonesia
0
0
1
12
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
kama Unajijua umeshawahi kurusha Meno juu ya bati ili yaote kikao cha wachawi ni kesho !!! 😹😂😅
Eng.Mapunda Jr tweet media
हिन्दी
14
9
76
2.3K
Exotic retweetledi
Crazy Kennar
Crazy Kennar@crazy_kennar·
WHEN YOU ANNOUNCE YOU ARE RUNNING FOR PRESIDENCY IN UGANDA 😂😂😂😂
English
2K
10K
32.8K
1.3M