godbless msaki

1.1K posts

godbless msaki

godbless msaki

@Squirel255

Katılım Şubat 2022
145 Takip Edilen40 Takipçiler
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Hiki ndicho kifungu cha sheria kinachomzuia Samia kuunda 'Tume ya Uchunguzi' ya matukio ya #MO29. Kwa kuwa yeye (Samia) ni MTUHUMIWA #1, hakutakiwa kuunda hii 'Tume' kutokana na MGONGANO WA KIMASLAHI (CONFLICT OF INTEREST). Kulingana na kifungu hiki cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Samia alitakiwa akae pembeni kabisa kwa sababu yeye ni MTUHUMIWA. Sheria iko wazi, kunapotokea mgongano wa kimaslahi, hakuna jema hupatikana. Binafsi, nashauri kila mmoja wetu aikatae hii 'Tume' kwa maana haitaleta matokeo CHANJA na yenye TIJA kwa Taifa. Hifadhi hili andiko maana litaleta maana siku 'Tume' hii itakaposoma ripoti yake. #Maadili
Baba Mwita tweet mediaBaba Mwita tweet media
Indonesia
18
140
449
20.7K
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@Sativa255 Watu wanalipa bill za maji kila mwezi, wao wanasubiri mvua zinyeshe wauze maji. 😃 Shida ni uwezo.
Indonesia
0
0
0
232
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kwa hali kama hii NCHI NZIMA hakuna maji lazima MABEBERU WATUONEE WIVU. Dunia ya leo Kama taifa tunategemea MVUA zinyeshe ndio tupate Maji, vipi hali ya CHAKULA mwakani kama hali ya mvua itaendelea kuwa hivi? Hali ikiendelea hivi UZALISHAJI wa nchi mwakani utakuwaje kama mvua zitagoma kunyesha? Hakika MABEBERU WANATUONEA WIVU SANA-MIAKA 64 baada ya uhuru bado tunaishi zama za MAWE. TUTAKUWEPO🫵😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
16
71
504
17.7K
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@JamiiForums Watu wanalipia bili za maji, Dawasa wanasubiria mvua zinyeshe ili waendelee kuuza maji? Hii ina jina lake am sure.
Indonesia
0
0
1
120
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@Jambotv_ Kwahio hawa jamaa wanachukua hela za bill za maji wanazolipa watu alafu wanasubiri mvua inyeshe ndio sisi tupate maji, aisee 🤔
Indonesia
0
0
0
3
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mamlaka ya usimamizi wa rasilimali za maji zimeeleza sababu zinazofanya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani isiendelee kutegemea uchenjuaji wa maji ya Bahari ya Hindi kama suluhisho la uhaba wa maji, ikisema kuwa hatua hiyo bado ina gharama kubwa ikilinganishwa na vyanzo vya maji vinavyotumika sasa. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam, Ijumaa Desemba 12, 2025 katika mkutano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkurugenzi wa Bodi ya Bonde la Wami/Ruvu, Mhandisi Elibariki Joseph Mmassy amesema pamoja na uwekezaji wa uchenjuaji wa maji ya bahari kuwa wazo zuri, bado gharama zake ni kubwa ukilinganisha na maji ya vyanzo vinavyotumika kwa sasa. Kwa upande wake, Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire amesema teknolojia ya kuchuja maji ya bahari ipo na inawezekana, lakini changamoto iko kwenye gharama kubwa za uendeshaji zinapotumika kwa uzalishaji mkubwa wa maji. Mhandisi Bwire amesema changamoto za maji zitaendelea kupita kwenye hatua tatu: upatikanaji, kisha ubora, na hatimaye gharama, hivyo uwekezaji lazima uangalie suluhisho linalodumu kwa muda mrefu bila kuongeza mzigo kwa wananchi. Ufafanuzi wa viongozi hao umetolewa kufuatia maswali ya Watanzania wengi wanaotaka kufahamu kwa nini mikoa ya Dar es Salaam na Pwani wakati mwingine hukosa maji licha ya kuwa na Bahari ya Hindi yenye maji ambayo yanaweza kuchujwa kuwa ya matumizi ya kawaida.
Indonesia
26
2
55
7K
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Wanajua tofauti ya mabunge ya nyuma na haya ya mchongo.
Indonesia
12
27
166
19.7K
World of Statistics
World of Statistics@stats_feed·
Divorce rate: 🇮🇳India: 1% 🇻🇳Vietnam: 7% 🇹🇯Tajikistan: 10% 🇮🇷Iran: 14% 🇲🇽Mexico: 17% 🇪🇬Egypt: 17% 🇿🇦South Africa: 17% 🇧🇷Brazil: 21% 🇹🇷Turkey: 25% 🇨🇴Colombia: 30% 🇵🇱Poland: 33% 🇯🇵Japan: 35% 🇩🇪Germany: 38% 🇬🇧United Kingdom: 41% 🇳🇿New Zealand: 41% 🇦🇺Australia: 43% 🇨🇳China: 44% 🇺🇸United States: 45% 🇰🇷South Korea: 46% 🇩🇰Denmark: 46% 🇮🇹Italy: 46% 🇨🇦Canada: 47% 🇳🇱Netherlands: 48% 🇸🇪Sweden: 50% 🇨🇵France: 51% 🇧🇪Belgium: 53% 🇫🇮Finland: 55% 🇨🇺Cuba: 55% 🇺🇦Ukraine: 70% 🇷🇺Russia: 73% 🇱🇺Luxembourg: 79% 🇪🇦Spain: 85% 🇵🇹Portugal: 94% Note: This compares the number of divorces in a given year to the number of marriages in that same year (the ratio of the crude divorce rate to the crude marriage rate). For example, if there are 500 divorces and 1,000 marriages in a given year in a given area, the ratio would be one divorce for every two marriages, e.g. a ratio of 0.50 (50%). Data is from last available year by country. As an example Portugal data is from 2020, Germany is from 2017.
English
1.6K
1.5K
19.2K
56.7M
Abdulkarim  Juma
Abdulkarim Juma@JumaAbdukarim·
Una mgogoro na Vijana alafu unaandaa mazungumzo na Wazee 😁😁😁😁😁
Suomi
82
196
1.6K
41.3K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Siyo sawa kusema unazungumza na wazee wa Dar es Salaam wakati ukumbi umesheheni wanachama na wafuasi wa mbogamboga (kama walivyotambulishwa) na hata salamu ya RC ni ile ya kampeni za mbogamboga ‘kazi na utu, tunasonga mbele’. Hilo baraza la wazee wa DSM limechaguliwa na nani?
Indonesia
33
128
1.2K
28.1K
GG
GG@GIVENALITY·
Wazee wanaomba magari chakavu kwa wakuu wa mkoa
Indonesia
5
12
188
8.8K
BAMIDELE🕊
BAMIDELE🕊@thenihiin·
Name an album where you can listen to every song from the beginning to the end and not have the urge to skip a song?
English
10.7K
1.5K
27.6K
3.8M
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Polisi waliingizaje particulars zake kwenye hati ya mashtaka? It means walimkamata na kumhoji. Kwa hiyo kama haonekani, wanaopaswa kuulizwa ni polisi. Inashtua kusikia mshtakiwa yupo kwenye hati ya mashtaka lakini haonekani. Amepotelea wapi au wamemuua??!
Indonesia
11
143
712
28.8K
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@Sativa255 Wow, perfect stakeholders analysis, hapa sasa you can clearly set an effective strategy.
English
0
0
1
428
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ebana cheki kijana wa GEN Z alivyochambua uhalisia wa NCHI YETU. Hachoshi kusikiliza maelezo yake. Mpe sikio na sambaza ujumbe huu. Repost 200 TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
38
393
1.3K
32K
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢@Chahali·
There are strong indications that the bullets Samia’s forces are using to kill Tanzanians are designed for maximum damage, as many bodies show large entry wounds. It’s almost as if the rounds carried small explosives that detonated on impact
𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 tweet media
English
11
43
337
21.1K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Dkt. Stergomena Lawrence Tax hadi kufikia 29.10.2025 alikuwa Waziri wa Ulinzi na JKT. Maana yake alikuwa sehemu ya Serikali ambayo inatuhumiwa kwa vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu ikiwepo mauaji ya kutisha ya raia. Achilia mbali endapo alitoa maagizo kwa kofia yake ya waziri. Jina lake halikupaswa kuwepo katika orodha ya wajumbe wa tume hiyo ya uchunguzi. Anyways, kwa kuwa tumeelezwa ni tume ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani – labda wapo sahihi kwa mtazamo huo.
Indonesia
37
172
1.1K
42.7K
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@IAMartin_ Sio uchunguzi wa vifo na maafa yalifanywa kwa wananchi. Ni uchunguzi wa waliovunja amani.
Indonesia
0
0
0
275
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
“Tume huru ya kufanya uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani”
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
36
119
1.2K
26.9K
godbless msaki
godbless msaki@Squirel255·
@Wakazi Hii ni hospitali moja tu Dar pata picha hospitali zote nchini zilikuaje, na hapo fridge zote zilikua zimejaa, na kuna watu kibao hawakupelekwa hospitali walifia nyumbani. Plus majeruhi na wale mioli yao iliosemekana imechukuliwa, we unazani hii namba ni ndogo? Aisee
0
0
0
155