Stevu Mboyi
867 posts


@BingwaIK Uwezi komesha zaidi ni kutengeneza mazingira ya watu kuifanya maana hii ni sehemu ya Burudan nadhan ndo ingekua salama zIdi kuliko hivi ilivo nadhan walivoiacha holela ivi ndo inasababisha zaidi mmonyoko wa maadili mfano pale mbezi shule wanafunzi wanaona malaya waler
Indonesia

@TweveDevota Soma biblia yesu alitahiriwa baada ya suku ngapi baada ya kuzaliwa na ufuate mafundisho hayo
Indonesia

@kasesco_tz Kwani ni ndege nikajua ni mnyama wa porini
Indonesia

@Sincerelyrahma7 Private wanajal san kaka serikali wanjiskia San,,
Indonesia



















