Vidy
121 posts


@ommyfitness Kioo kimekaa kwenye jua kwa muda, hio red bull ni ya baridi, kipindi cha physics ulikua unaweka vioo chini ya sketi za wadada

Indonesia

@skillz_tz1 Naona kijana yuko kwnye fomula one 😁😁😁 hyo brk kapandsh ya nn ss wakat chuma ishakubali kigongo??
Indonesia

Na ilitengenezwa Iringa studio za iringa records chini ya producer tuddy thomas
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i
Bembeleza~ Marlaw was and still my favorite song
Indonesia

















