VanEx

225 posts

VanEx banner
VanEx

VanEx

@vanex255

Tanzanian next rated E-commerce giant

Katılım Haziran 2017
438 Takip Edilen80 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
VanEx
VanEx@vanex255·
To whom much is given, much is tested
English
0
0
1
0
Chimur3nga
Chimur3nga@denhope26·
@MickyJnr__ And where would you find this internal correspondence? You're neither a party nor an addressee in that letter. And from what it looks like, it was not meant for public consumption. How could it land into your hands? Where do you derive the mandate to bring it to public?
English
8
0
2
2.4K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Mimi sio mtaalamu sana wa MOVIES, lakini kwangu hizi ndizo series kali za muda wote( All timer). 1. PRISON BREAK 2. MERLIN 3. MONEY HEIST 4. IRIS 5. CITY HUNTER 6. 24 7. BREAKING BAD 8. DAY OF THE JACKAL N.B, em niitafute hiyo Game of thrones watu wanayoisifia 😁
Filipino
193
74
831
80.2K
VanEx
VanEx@vanex255·
@zoetjesheeftX Asa kama huyu ukijichanganya si dk moja tu unakwenda
Indonesia
0
0
0
54
VanEx
VanEx@vanex255·
@privaldinho Sasa iyo taarifa kamili si uitoe ww au umejipa majukumu ya kupangia watu kazi? Afu kushabikia Al ahly mwenzio alishaweka wazi kitambo wala hajajificha kama wewe uto wa kukodi. Mwanya kigego.
Indonesia
0
0
0
60
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Mbona unatoa taarifa nusu nusu wewe bumunda. Tangaza kabisa Zamalek kinuni wamepewa alama tatu na magoli matatu. Unajifanya kuwa una shabikia Al Ahly kwahiyo unaficha ficha mambo. Wewe ni shabiki wa Berekum ya huko kwenu Ghana acha shobo na Al Ahly
Micky Jnr@MickyJnr__

This is the moment Egyptian officials came to the stadium and announced the end of the game. Local officials ✅ Zamalek players ✅ Al Ahly players ❌ #yallayaahly #cairoderby #africanfootball #zamalek

Indonesia
229
7
362
49.2K
VanEx
VanEx@vanex255·
@skillz_tz1 Mradi mzuri uendeshaji mbovu. Lipo linajulikana na linafumbiwa macho
1
0
1
10
skillz_tz
skillz_tz@skillz_tz1·
Kero zilizopo kwenye mradi wa mwendokasi ni zaidi ya kero wakuuu Na sijui kwanini wahusika wanafumba macho
Indonesia
2
0
3
121
VanEx
VanEx@vanex255·
@ze_mandevu Tunatamani sana hayo Mapiza mabaga na mazaga mazaga, Ila ndio vile tu hatuna mahela, Leo yenyewe maCowboy wameshindia mapera. 🙌🏾
Filipino
0
0
0
19
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Jamaa hakuwahi kuimba Wimbo wa kuteseka teseka mara sijui Maisha yamemkamata, yeye ilikuwa ni Bata, Kuku moshi (Kijiti) na Mirupo. 😅🙌
The mandevu tweet media
Indonesia
173
118
2.3K
127.4K
VanEx
VanEx@vanex255·
@udsm_icon Series kali iyo mzee have time and watch it
Filipino
0
0
1
29
VanEx
VanEx@vanex255·
Tomorrow will be December after December it’s 2025. We getting old pals let’s clean our hearts, life is a journey & success is never promised.
English
0
0
0
27
Thealpha
Thealpha@thealpha24_·
Which player comes to your mind?
Thealpha tweet media
English
199
20
351
27K
allyson sam
allyson sam@allyson81064·
@kipingu17 @KibwanaEdgar Makolo wanauliza kwani timu zote zimecheza mechi sawa? Wamesahau wakati wanapewa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi August na kocha bora timu zilikuwa hazijacheza mechi sawa na wakashangilia sana 🤔🤔
Polski
2
0
2
129
edgar kibwana
edgar kibwana@KibwanaEdgar·
✅️Yanga wamefunga magoli 17 ✅️Pyramid wakifunga magoli 13 ✅️Esperance de Tunis wakifunga magoli 12 ✅️ Raja Casablanca wamefunga magoli 11 ✅️Mamelodi Sundowns wakifunga magoli 8 .
edgar kibwana tweet media
Română
186
51
1.5K
63.4K
Bro.msela
Bro.msela@bro_mselatz·
@TanzaniaOneJezi KAKA ACHA KUTUPANGA HUYU NI SAIDI WA BUSWELU WALIUANA ZAMANI SANA JAMAA ALIKUWA MTU WA UVUVI
Filipino
5
0
10
6.5K
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
Huyu Dada Ndio Kauliwa, Mwanaume Wake Amemkata Vipande Vipande Kama Samaki. Mwanaume AKIPENDA SANA Anakua DHAIFU. Anakua Na WIVU Uliopitiliza Wivu Uliopitiliza Ni SUMU Akina DADA, Mwanaume Akikupenda Sana Kua Makini Nae Usivuruge Ubongo Wake Atakuua. Nimemkmbuka Said Wa Mwanza
KIDUKU tweet mediaKIDUKU tweet media
Indonesia
96
77
1.2K
163.6K
VanEx
VanEx@vanex255·
@Nindi_Jr “And I welcome the valkyries to summon me home"
VanEx tweet media
English
1
0
5
771
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ@Nindi_Jr·
Kifo Cha Character Yupi Kwenye Series Kinakuuma Mpaka Leo !?
HT
554
45
790
106.8K
Boethius
Boethius@ematiku3·
@ayubu_madenge Huyu jamaa anapenda Sana kutrend kwenye media Kwa kauli zake flani hivi ambazo ni kama kichekesho lakini pia ni kama vile Yuko serious japo hayuko serious pia. Kwa hiyo Uganda ni ya 12 Africa Kwa uchumi.? 😂😂😂
Indonesia
1
0
2
1.2K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
“Waganda mtanisamehe kwa ukweli wangu mchungu. Mimi ni Askari ninayejua kuwa Uongo unaua watu. Uganda inapaswa iwe miongoni mwa nchi 5 zenye uchumi mkubwa Afrika lakini tupo namba 12. Hii ni aibu” Jenerali Muhoozi Kainerugaba, Mtoto wa Rais Museveni.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
120
107
2.8K
101.6K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
..🚨SIMBA NA MUSA CAMARA 🕸️Klabu ya Simbasc na Camara wakaa mezani kwajili ya kuboresha Zaidi masirahi ya mchezaji. 🕸️Mwanzo, walimpa mkataba wa miezi sita tu, hivyo viongozi baada ya kujirizisha na kiwango Bora alichokionyesha, wampa mkataba wa Miaka mitatu na mshahara mnono.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
10
22
1.3K
26.3K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
• Patrick Aussems • Joseph Omog • Sven Vandenbroeck • Didier Gomes Da Rosa • Milovan Cirkovic Nani amekua kocha bora zaidi wa kigeni kwa miaka ya karibuni kwa mnyama Simba? 🔴⚪️
Farhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet mediaFarhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
253
40
1.4K
64.9K
PABLO
PABLO@PabloYende·
@Chizzodrama burna boy ndio anajikutaga yeye ni fella
Indonesia
2
0
3
2.1K
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
Toka afariki , Afrika haijapataga msanii ambaye ukimtizama tu unaiona art ,kabla hata ya kuimba , kama Fella anikulapo Ndani ya huyu jamaa kuna wizkhalifa 4000 Kanyewest laki 5 50cents 200 Performance tu , sijaona wa kugusa hapo afrika hii🔥🔥👑
chizzo drama tweet media
Indonesia
36
34
388
31.2K
Zirconium 🦷 💉💊️.
Zirconium 🦷 💉💊️.@a_madembwe·
Sema hili la cashless ni shida kinoma mtu unamfanyia huduma ya 400K then anakulipa kwa Lipa namba fresh unathibitisha ....akitoka mlangoni anarudisha muamala wake jioni unacheki mahesabu hela haionekaniki...🥲 uaminifu sifuri kabisa!.
Indonesia
100
16
477
120K