Subira Aden
281 posts


#TajiriLaKihaya
Hata WATANZANIA Pia😅😂🙌🏽🙌🏽
Senator Shehu Sani@ShehuSani
When Trump posted the blasphemous Image,Some Nigerians online supported and defended him;Now that he has seen the backlash and deleted it,same people are defending him for deleting it.This is one reason why some Africans view many Nigerians as having slavishly ‘colonial mentality’,and always being perceived as runing dogs of imperialism.
Indonesia

@robkidayo_ @MarekaMalili Ni hatari sana,ela za harakaharaka njia zake ni za hatari na kuogopesha mno
Indonesia

@SubiraAden @MarekaMalili Haha kila kitu nadhani ukifanya unazoea kadiri siku zinavyoenda unaanza kuona kawaida kwamba mtu afe leo uwe na machungu miaka 10?
Indonesia

Ila ukweli ni mmoja hizo chale za masharti nafuu nyingi hazina msaadaa ni utapeli,angalau kafara flani.
Lubasha Jr@MarekaMalili
So long as hudhuru wala kuua mtu, usiogope chale mbili tatu matakoni, the game is rigged.
Indonesia

@robkidayo_ @MarekaMalili Unakuwa unaenda kujitesa mwenyewe na si kuumiza wengine
Indonesia

@robkidayo_ @MarekaMalili Yani kale kaufadhari kakuepuka kuua mtu unakuwa unaenda jitesa kwenye we
Indonesia

@robkidayo_ @MarekaMalili Unaambiwa umtoe mzazi au mtoto aisee inaogopesha,bora ao wanaosema unalala na nyoka kama izo story tunazosikia ni za kweli
Indonesia

@SubiraAden @MarekaMalili Ndio as long as unataka mganga wa siriazi ni roho ya mtu sasa kuku ina thamani gani jameni?
Indonesia

@robkidayo_ @MarekaMalili Ila ao masharti yao mengi ni kuua mtu na sio kuku
Indonesia

@SubiraAden @MarekaMalili Ndio hakuna dawa bila masharti hapo unatapeliwa.
Filipino



Weka Fanta orange kwa jokofu ipate baridii 😂😂😂😂😂 my wangu wasije kukuua
Adamoo@Addy_Adams
@_nanasonia Leo naona nitaiva na hivi Sukari iko karibu 😂😂😂
Indonesia

@Mjukuuwanilla @SincerelyRahma_ Si unavyofikiri,kwa huku nashindwa kuziona zinaniletea limit ya umri ndo mana nimeuliza
Indonesia

@SincerelyRahma_ @amprincess9 Mpaka raha,ni gym tu au na baadhi ya vyakula umepunguza
Indonesia









