TEWWYWisdom

954 posts

TEWWYWisdom banner
TEWWYWisdom

TEWWYWisdom

@TEWWYWisdom

TEWWY's mission is to bridge the intergenerational and mental health treatment gaps. We provide free mental health services and psychosocial support.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2020
331 Takip Edilen129 Takipçiler
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
@GloryLivingst13 Jamani hosts, mnawezaje kutusaidia tupate usikilizaji wa mfululizo bila kukatika katika? Presentation ni nzuri lakini sipati vizuri🙏
Indonesia
0
0
0
13
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
@babalao__ Sasa hivi unaishi maisha ya aina gani bila mkeo? Kila la kheri
Filipino
0
0
0
940
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Hali kadhalika kujifunza unasihi wa afya ya akili uliofanyika kwenye Serikali ya Mtaa Sinza na pia shughuli zilizofanyika kwenye Ofisi ya TEWWY. Vikao hivi huviita Linking & Learning.
Indonesia
0
0
0
18
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Kwenye program yetu ya shule ya Sekondari a Mashujaa washiriki huwa ni Mwakilishi mmoja wa walimu, wanafunzi wawili ambao ni Mabalozi wa Afya ya Akili hapo shuleni, akina mama Wanasihi wawili na timu ya TEWWY.
Indonesia
1
0
0
21
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
“Katika kutekeleza programs zetu na wadau, TEWWY ina utaratibu wa kufanya vikao ili kupeana taarifa za utekelezaji angalau kila baada ya miezi miwili. Mathalani, katika program ya shule tunajifunza kilichofanyika kuhusu afya ya akili shuleni kutoka kwa walimu na wanafunzi.
Indonesia
1
0
0
24
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
@VickieRemoe FGM should be ABOLISHED. That’s a deadly culture which has to go away. Such tragic news🙆🏽‍♂️
English
0
0
1
52
Vickie Remoe
Vickie Remoe@VickieRemoe·
Tragic news from Sierra Leone: two girls have lost their lives, seven are currently trapped, half a dozen women are in jail, and two families are grieving. Salamatu Jalloh, 13 and Kadiatu Bangura, 17 have tragically lost their lives due to complications after undergoing bondo initiation—a practice that includes the partial or complete removal of the clitoral hood. No parent sends their child to the bondo cutter out of hatred or a desire for them to die, but the practice of bondo is deadly. How many more lives of girls and women must be shattered due to the failure of Sierra Leonean lawmakers to abolish female genital cutting? This TV news report is brought to you by #VickieRemoePrize grantee Marian @AmariaBangura reporting from Kambia District in Northern Sierra Leone. FGM survivor activists @KamSarian @TheAlima @turayneneh and countless others have told us the damage and lifelong trauma of bondo initiation but their voices continue to fall on deaf ears. Sarian and Neneh through their respective orgs Lose The Knife Keep The Drum, and Amazonian Initiative have shown that it is possible for girls to go through a bloodless rite of passage, no cutting, no trauma, no death. Lawmakers will tell you that there is a law in #SierraLeone that protects children, that you have to be 18. There isn’t. Over 80% of women in SL have gone through Bondo and given these recent events, the practice of cutting girls isn’t going away anytime soon. Watch the 8 mins report here: youtu.be/PJBzhtEjHig #endfgm
YouTube video
YouTube
English
27
69
173
26.8K
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Kumbuka, Hakuna Afya, bila Afya ya Akili. "Kwa Pamoja Tunaweza, Kupeana Moyo kwa Mafanikio."
Indonesia
0
0
0
4
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Zoezi lolote ni bora kuliko kukaa bila kufanya zoezi lolote. Wataalamu wanapendekeza kuwa, watu wazima lazima wajitahidi kufanya mazoezi zaidi karibia kila siku, tuzingatie kufanya mazoezi, tusidharau. Mazoezi ni kwa afya zetu wenyewe, hususani, afya zetu za akili. Tuzilinde
Indonesia
1
0
0
5
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Watu wanaofanya mazoezi mara kwa mara wana afya ya Akili iliyo bora zaidi na wana ustawi wa kihisia na viwango vya chini vya ugonjwa wa Akili; Siyo lazima mazoezi yawe ya nguvu, yenye mpangilio maalum au yale yanayochukua muda mrefu ili kupata faida;
Indonesia
1
0
0
6
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
- Zungumza matatizo yako na mtu unayemuamini; - Usijitenge, shirikiana na jamii inayokuzunguka; - Tenga muda wa kufurahisha mwili; - Shiriki shughuli za kijamii; - Tenga muda wa kupumzika
Indonesia
0
0
0
3
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Afya ya Akili ni hali ya utimilifu wa kifikra, kihisia, kisaikilojia na kijamii ambayo huonekana kwa namna tunavyotenda, tunavyofikiri na tunavyohisi. Ili kuweza kuwa na hali hiyo, zingatia haya: - Fanya mazoezi na michezo; - Kula vizuri; - Pata usingizi wa kutosha;
Indonesia
1
0
0
3
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
c) vyakula vingine, kafeini na pombe vinaweza vikaingiliana na madawa yanayotumika kutibu matatizo ya afya ya Akili Hivyo yatupasa tuwe waangalifu, daima yatupasa tuangalie nini tunakula na nini tunakunywa. Afya njema ya mwili na afya ya Akili ni muhimu kuzingatiwa.
Indonesia
0
0
0
5
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
a) kula na kunywa kiafya kunaweza kukaboresha baadhi ya dalili za matatizo ya Afya ya Akili; b) ulaji na unywaji mbaya usiozingatia afya unaweza ukafanya dalili mbaya za Afya ya Akili zikawa mbaya zaidi;
Indonesia
1
0
0
5
TEWWYWisdom
TEWWYWisdom@TEWWYWisdom·
Sikiliza, Ni muhimu kwa kila mtu kula mlo kamili, kunywa maji mengi na kuwa mwangalifu na kiasi cha pombe na kafeine unayotumia. Kwa mfano watu wenye matatizo ya afya ya akili, angalizo hili ni la muhimu zaidi kwa sababu:
Filipino
1
0
0
15