VillyG
21 posts

VillyG
@TechHub255tz
Advocate of continuous learning and technology enthusiast.Passionate Content creator encouraging digital migration.
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2021
313 Takip Edilen18 Takipçiler

Mwana kanunua hii ndinga kwa hela ya UPWORK 🙌🙌 Jamaa anaitwa joshburns na ana earning ya usd 700k+ na per hour anacharge usd 100+ ,skill yake anadeal na masuala.ya database
#nondozadigital

Filipino

@jumanne_mlaly Naanza leo naisi ntaingia zoom leo kabisa na wanaa mida flani hvii
Eesti

@DizoFx @Punii11835929 Ata ukichoma dola elf 2 unacheka mwenyw kimoyomoyo😂
HT
VillyG retweetledi
VillyG retweetledi

Sijui km utakumbuka? Mwaka ulivyoanza tu nilitoa hii zawadi kwa watu smart
NIO ilikua na thamani ya $3.9, wiki 1 kabla nilinunua shares 2,965 kwa $10,000. Leo hii thamani ya NIO ni $13.50
Naamini baada ya miaka 10 share 1 ya NIO itafika $350-400
Easiest way to make $1M.
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D
1 ya vitu vinavyoniuma zaidi ni kuchelewa kupanda treni la TESLA, 2010 hisa ya Tesla $17, muongo umeisha ikiwa $400+ Ila treni la NIO (mpinzani mkubwa zaidi wa TESLA kutoka China) haliwezi kunipita Muongo umeanza NIO ina $4, nitarudi tukiwa tunaufunga muongo 2029 NIO 👇🏼
Indonesia
VillyG retweetledi

There are 5 possible outcomes for your trade:
1. Breakeven
2. Small win
3. Small loss
4. Big win
5. Big loss
Eliminate #5 and you’ve just taken a big step forward.
English
VillyG retweetledi

Nimesoma publications za Crypto projects constistently tangu 2017, nimeangalia videos na kusikiliza Crypto podcast nyingi sn
1 ya project nina uhakika 99% itaGrow by factor of 100 ni @Conste11ation $DAG.
Sawa na kununua AMAZON mwaka 1997 stock 1 ikiwa $1.4, leo stock 1 ni $3300
Filipino

@innorusomyo @mafolebaraka Unakurupuka kuuliza swali kabla ya kufanya reaserch mwenyewe au kufikir
Indonesia

@ModestGerald @mafolebaraka Huoni kuuliza kumenifanya nijue😎🤷♂️
हिन्दी

#Factzadigital
Anaeongoza kwa earning Upwork kwa Tanzania ni Mdada tena kaingiza zaidi ya usd 100,000 .Gigs anazofanya ni za Translation .Bongo pia walioingiza zaidi ya usd 10000 ni less than 20 people
Filipino

@iamgodmagic @mafolebaraka Chimba mwenyewe google kila kitu kiko online ata YouTube tusiwe wavivu and specialized in one goddamn thing na unakimaster haswa.
Filipino

@mafolebaraka Ofcourse nna copywriting skills and closing skills with Graphic designing skills too, so Am looking forward to master freelancing skills too which I thinkto my field it wont a big deal as im very competent in my field....
English

Gigs nilizoziona nyingi ni za kuandika contents about agriculture na si kilimo as you can't do agriculture on digital platform
BlackMagic@iamgodmagic
@mafolebaraka okay kivyovyote...my question is,...sjawahi ona freelancing zinazohusu Agriculture kwenye famous site like upwork.com, shida ni nini? na maybe kwa uzoefu wako zinapatikana katika site gani?
Filipino









