Innocent Rusomyo
2.2K posts

Innocent Rusomyo
@innorusomyo
A farmer| ECD Practitioner
Tanzania, East Africa Katılım Ocak 2014
559 Takip Edilen585 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet

@innorusomyo @chapanombombwi Kaka inbox kwako kuingia kazi sana
Filipino

Huko Bonde la Ziwa Rukwa kuna sehemu zinaitwa Ilemba, Sakalilo, Chombe, Muze na Mkusi....
Gunia la mpunga lenye debe saba linauzwa shilingi 80,000–85,000, ukikoboa linatoa debe nne.
Debe moja lina kilo 20. Ukiuza kwa bei ya chini ya shilingi 2,300 kwa kilo, kwa debe nne unapata 184,000.
Ukitoa gharama ya kukoboa shilingi 9,000 na ile 85,000 ya kununulia, unabaki na faida ya takribani shilingi 90,000.
Ngoja nihamie kusini bhana huku Unguja hamna isue🙌
Filipino

@ayubu_madenge Wenzetu wenye asili ya Asia na Ulaya, wana Utamaduni ambao ni mgumu kwa familia nyingi zenye asili ya Kiafrika. Mzazi mwenye asili ya Afrika yuko radhi mali zake wazijua marafiki zake kuliko watoto na mke wake.
Indonesia

@DevotaMinja @ChaummaT Ulishindwa kuupata ukiwa CDM, utaupata ukiwa Chaumma??? Hebu acha vichekesho basi. Wewe hujaona hata mkutano wako wa pale Stand ya zamani ulikua kama unajiongelesha mwenyewe? No body cared about what was happening!
Indonesia

Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) @ChaummaT Tanzania Bara, Devotha Minja, Agosti 1, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia chama hicho.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofisi za CHAUMMA mkoani Morogoro, Minja amesema chama hicho kiko tayari kupambana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu ujao na hakitasusia uchaguzi kama ambavyo baadhi wamekuwa wakidhani.
“CHAUMMA tupo imara, tumejipanga, na tutaingia kwenye uchaguzi kwa nguvu zote. Lengo letu ni kuhakikisha tunaleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi”, ameeleza Minja.
Hadi sasa, jumla ya wanachama nane wa CHAUMMA wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge katika majimbo mbalimbali ya mkoa wa Morogoro, ikiwa ni ishara ya mwitikio chanya ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Indonesia
Innocent Rusomyo retweetledi

Si kila mwanamke aliyezaa kabla ya ndoa hana maadili. Fikiri kabla hujamhukumu ‘singo maza.’
Soma simulizi la Recho kupitia @MwananchiNews #Ushunuzi

Indonesia

@ayubu_madenge Wanafunzi wa vyuo vikuu jamii ya kina Kiliba una tegemea nini?? Hapo zamani chuo kikuu palikua sio pa kwenda kila aliye hitimu masomo ya Sekondari, vilienda vichwa vyenye akili inayo fikiri barabara.
Indonesia

@masuba___ Kimbembe kiko hapo kwenye kukusanya hizo gunia. Kwa hali ya mwaka huu, unakopesha gunia 400 unalipwa na kukusanya gunia 150 tu.
Indonesia

#MPUNGATUPS
Hii season wakulima walichukua mkopo wa tsh 50k kwa mkataba wa kulipa gunia 1 la debe 10 mavuno,
Mtu alokopesha 20M kwa wakulima amelipwa gunia 400 za debe 10,
So gunia 400x 180k=72M mtaji wa 20M faida 52M
⚖️HIZI MISHE USIWE MTU WA BIBLIA AU MSAHAFU

Indonesia

@rollymsouth Leo kuna investors watalala vichwa vinauma. Waliweka mizigo kwa PSG wakiamini wanaamka na posho!
Indonesia

Ndugu @CRDBBankPlc hizi meseji za “Swahiba!Ni BURE kutuma pesa kutoka CRDB akaunti Kwenda CRDB akaunti na NAFUU sana kuanzia SH. 8 tu kutuma pesa kwenda mitandao ya Simu na Benki zingine.Humu Tu!” Basi zinatosha jamani!
Indonesia

@Adventure_36 Maeneo ya Mkundi Mkoani Morogoro asubuhi ya jana. Subaru drivers wana papara sana wawapo barabarani.
Filipino

Innocent Rusomyo retweetledi

*DKT. JINGU AHIMIZA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA MALEZI*
Na WMJJWM- Mwanza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amewataka Wataalam wa Sayansi ya Malezi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kutumia teknolojia katika kutatua changamoto za Malezi na kuboresha Sayansi ya Malezi kwa watoto.
Dkt. Jingu amesema hayo wakati akifungua Kongamano la Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya mtoto linaloendelea katika ukumbi Jijini Mwanza.
Dkt. Jingu amesema kumekuwa na ombwe kati ya kizazi cha zamani na cha sasa katika suala la malezi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto hivyo Wataalam watatumia teknolojia vizuri itasaidia kuondoa ombwe hilo na kutatua changamoto zilizopo katika Malezi nchini.
"Sisi wote tulivyo leo ni kwa sababu ya malezi tuliyopata kutoka kwa wazazi wetu, hivyo ni muhimu na sisi kuendeleza malezi bora kwa watoto ili kuwa na Taifa imara na lenye maadili mema" amesema Dkt Jingu.
Aidha Dkt. Jingu ameongeza kuwa katika wakati huu ambapo Maendeleo ya TEHAMA yamechukua nafasi kubwa katika Jamii Wataalam wa Malezi watumie Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kuhakikisha Jamii inapata elimu ya malezi kwa watoto.
"Tunaweza kuwa na Majukwaa ya wazazi katika mitandao kujadiliana kuhusu Malezi na changamoto zilizopo katika kuzipatia ufumbuzi hata kuwa na Majukwaa kwa watoto yatakayotoa elimu,burudani na michezo kwao yenye kuzingatia maadili yetu" amesisitiza Dkt. Jingu
Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Baladya Elikana amesema suala la malezi ni muhimu kuzingatiwa hasa katika kujenga taifa lenye watu wenye maadili na uzalendo kwa nchi yao.
"Najua lengo la kongamano hili ni kutathmini utekelezaji wa programu mbalimbali za malezi katika jamii na kutoa utatuzi wa changamoto mbalimbali za malezi na makuzi katika jamii hivyo tutumie Kongamano hili kuleta mabadiliko katika suala Malezi kwa watoto wetu." amesema Elikana
Kongamano la melezi ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya familia ambayo huadhimishwa Mei 15 kila Mwaka. Kongamano hilo limewakutanisha Wataalam wa malezi, Maafisa Ustawi wa Jamii, Maafisa Maendeleo ya Jamii na wadau kutoka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanayotoa Huduma za malezi kwa watoto pamoja na Watafiti wa malezi kutoka Taasisi za Elimu ikiwemo Chuo Cha Utafiti Ifakara, Chuo cha Ustawi wa Jamii, na Chuo Kikuu cha Dodoma.
MWISHO




Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@URAuganda @rkalumba1 @URA_CG @RytterM @anan_prisca @kkabahweza @ElizabethNakiru @SRKimbugwe Your people needs hospitals for treatment, good school for quality education NOT stadiums for intertainment.
English


@munyamambogo Hii ajali nimeipita maeneo karibu na Igunga mchana huu
Eesti

@Thommunkondya Mwananchi atoke Kamsamba,Mkonko,Ivuna, Ntungwa,Utambalila kwenda kufuata huduma Chitete?? Lilikuwa wazo la ki binafsi sana. Wananchi wana pata mateso ya gharama kufuata huduma za Kiserikali kule Chitete.
Indonesia

@millardayo 2003-2005 hapo ilikua kama kambi ya JKT. Sema hio shule ni kama kuna kamzimu kakurithishana Undava. Enzi zetu kulikua na waimbisha Kimbembe mashuhuri kama Ghost face Killer, Bad Nyau n.k
Indonesia

Wahitimu wa kidato cha sita zaidi ya 130 katika Shule ya Sekondari Milambo iliyopo Mkoani Tabora wamelazimika kuondolewa Shuleni hapo chini ya ulinzi mkali wa Jeshi Polisi muda mfupi baada ya kumaliza mtihani wao wa mwisho wa kuhitimu kidato cha sita, hii ikiwa ni baada ya njama zao za kutaka kuchoma Shule hiyo na kuandamana kubainika.
Wanafunzi hao wanatuhumiwa kupanga njama hizo baada ya kuzuiwa kufanya mahafali ya kuhitimu masomo yao kutokana na kile ambacho Shule imesema ni uwepo wa viashiria vya uvunjifu wa amani kwakuwa Uongozi wa Shule ulipata taarifa kuwa Wanafunzi walipanga kufanya vurugu kali Shuleni baada tu ya mahafali kumalizika.
Uongozi wa Shule umesema sababu nyingine iliyofanya wasiruhusu mahafali kufanyika ni kwakuwa Wanafunzi hao baada ya kuona wanakaribia kuhitimu Shule walianza tabia za hovyo ikiwemo kufanya jogging mitaani wakiwa na muziki mkubwa huku wakiwa wamevua nguo, kujichora tattoo, kutoroka na kwenda club usiku na wakirudi wanazima umeme wa Shule nzima ndipo wanaingia mabwenini pamoja na kuanzisha mabifu na ugomvi na Shule jirani na hata kupigana nao wakati wa mechi au michezo ya jioni.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Paul Chacha, ameelekeza Wanafunzi hao waondolewe Shuleni hapo na kwenda makwao chini ya ulinzi huku akiwataka Polisi kuimarisha ulinzi maeneo yote ya Shule kwani baadhi ya Wanafunzi wa madarasa mengine wengine wanaendelea na masomo na pia kundi jingine la kidato cha sita linaendelea na mitihani chini ya ulinzi mkali wa Polisi na wakishamaliza tu nao watapelekwa makwao .
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@Balyx_ Walio shindwa kwenye sanduku la kura yawezekana walikua wanafanya kazi ya $. Kwa nje wakionekana makamanda lakini mioyoni walijijua kuwa ni wanafanya baishara ya Siasa na invisible hands ya $.
Indonesia














