TechNaSisi Foundation

64 posts

TechNaSisi Foundation banner
TechNaSisi Foundation

TechNaSisi Foundation

@TechNaSisi

TechNaSisi Foundation has been registered under Non Governmental Act, 2002 with Reg No. 00NGO/R/4761 | Tech Innovators | #TechNaSisi | Innovation Starts Here

East Africa, Tanzania Katılım Haziran 2023
11 Takip Edilen248 Takipçiler
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
Eid Mubarak! TechNaSisi Foundation inakutakia furaha na baraka tele kwako na familia yako katika siku hii maalum.
TechNaSisi Foundation tweet media
Filipino
0
1
5
442
TechNaSisi Foundation retweetledi
Jenipha Edephonce
Jenipha Edephonce@JennyEdephonce·
This was a constructive dialogue. Kuna mtu mmoja alisema tusifocus na kuangalia threat za AI, tuangalie zaidi namna gani ya kuinovate matumizi ya AI. Tuki-focus on threat tutajilimit kwenye Innovation. To more discussions like this👋
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi

Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI Tutakuwa na panel ya wataalamu @FredMaOfficial @gabyconscious @JSmartmind Na wengine wengi, Karibu

Indonesia
1
2
6
466
DJF
DJF@ferlsafa·
@TechNaSisi AGI ni among the levels of AI
English
1
0
1
49
THREADS
THREADS@simpepo44·
@TechNaSisi ilo jina AI kutoka china inaitwaje
हिन्दी
1
0
1
105
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI Tutakuwa na panel ya wataalamu @FredMaOfficial @gabyconscious @JSmartmind Na wengine wengi, Karibu
TechNaSisi Foundation tweet media
Indonesia
3
3
14
1.1K
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
Ni vizuri kuwaandaa watoto wetu mapama kujifunza ujuzi wa computer, Changamoto kubwa ni "Ujuzi gani watoto wanapaswa kuanza kujifunza ili kujenga msingi wao katika computer?" Usikose leo kwenye X-spaces kuanzia saa 2: 30 usiku tujadili
TechNaSisi Foundation tweet media
Indonesia
1
5
7
454
TechNaSisi Foundation retweetledi
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Kwa dunia ya leo, ni kitu kizuri sana kwa watoto kuanza kujifunza computer, swali kubwa ni umri sahihi. Leo Jumapili saa 2: 30 USIKU tutakuwa na Space kushirikiana na taasisi ya @TechNaSisi tukiongelea zaidi hili. Hii si ya kukosa 📍
#TOTTechs tweet media
Indonesia
8
8
25
1.4K
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
Leo Jumapili saa 2: 30 USIKU, tutaangazia kwa mapama na huenda kujibu maswali mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer. Usikose kuungana nasi 📍
TechNaSisi Foundation tweet media
Indonesia
0
0
1
82
TechNaSisi Foundation retweetledi
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Kwa kawaida, upi ni umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza mambo ya computer? Kesho usikose kwenye space hosted by @TechNaSisi kushirikiana na @TOTTechs tujadili kwa kina (2: 30 - 4: 00 USIKU)
#TOTTechs tweet media
Indonesia
2
8
24
1.5K
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
Maswali yamekuwa mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer. Usikose kuungana nasi kesho Jumapili 24 November kwenye X sapaces kuanzia saa 2: 30 - 4: 00 usiku. Maswali yatajibiwa.
TechNaSisi Foundation tweet media
Indonesia
0
3
12
1.1K
TechNaSisi Foundation
TechNaSisi Foundation@TechNaSisi·
6: USIKOSE wala USISIMULIWE; UJUZI: Dunia ya Kidijitali (Uelewa na Maendeleo yake), Kuanza na kukuza ujuzi, Content creation, Social media, {Development}, Digital designs, Cryptocurrency, ecommerce n.k.
Indonesia
1
2
3
406