🙏

2K posts

🙏 banner
🙏

🙏

@TheRealBonMushi

#MoshiKilimanjaro|#SimbaFan|#ManUnitedFan

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2016
271 Takip Edilen225 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
🙏
🙏@TheRealBonMushi·
Flp 4:13 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
0
0
1
0
Steve
Steve@Stevebrown26·
@Mrkasulu @MangiwaKwanza1 Yes sababu hizi njia nyingine sometimes ni mbovu but ukikaza unaweza fika wilaya zote za pwani bila kuigusa Dar
1
0
0
26
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Ramani ya Pwani sijawahi kuielewa kabisa sasa kwa nini mkoa wa Pwani usichukuliwe wote ukawa ndani ya Daslamu tu😁
Indonesia
43
28
536
26.4K
🙏 retweetledi
Gossip & Rumors 🍿
Gossip & Rumors 🍿@ScandalZaMjini·
Kazia Macho kwa huyo Mdada upande wa kulia vile analifanya Tako 😁🤟
Filipino
9
83
1.3K
68.2K
🙏
🙏@TheRealBonMushi·
@giboretz Oooh, hiyo sawa
Filipino
0
0
0
34
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Ndilande- Blantyre, Malawi🇲🇼 Blantyre ndio mji mkuu wa Malawi Kama ni Dar, hii wapi?
TheProtégéTZ tweet media
Filipino
3
0
39
2.1K
🙏
🙏@TheRealBonMushi·
@paulo_timothy @IsihakaMahawi @millardayo Wengi wanawaza kuhusu hiyo pesa ila sidhani kama wanafahamu ni muhimu kuwa na hospitali ya taifa yenye vigezo na sio Muhimbili ya sasa. Na moja ya changamoto za kujenga hospital ya taifa ni gharama kwa ujumla mpak uendeshaji
Indonesia
1
0
0
15
Mhuri93
Mhuri93@paulo_timothy·
@IsihakaMahawi @millardayo Sio kukarabati inajengwa Mpya Yenye Jengo moja au machache sana ya Huduma zote Kwa Pamoja, Uwe unasoma hadi mwisho Mkuu
Indonesia
1
0
0
160
millardayo
millardayo@millardayo·
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri fedha hizo zielekezwe katika ujenzi wa Hospitali za Mikoa ili kupunguza mzigo katika Hospitali hiyo. “Hili jambo tusilikubali na nimuombe Waziri Mkuu kama lipo kwenye Wizara ya Afya, limekuja kwenye Kamati na kuna mambo yanafanyika, naomba Bunge hili liende likafanye utafiti tusikubali kwenda kujenga Hospitali ya Muhimbili kwa shilingi trilioni 1 na bilioni 400 haiwezekani na mimi niko hapa kwa ajili ya kuwasaidia wananchi,”Aeshi Hilaly - Mbunge wa Sumbawanga Mjini. Akitolea ufafanuzi suala hilo, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi amesema, “Jambo linaloendelea kwa ajili ya Muhimbili si ukarabati ni ujenzi wa Muhimbili mpya ni kweli ujenzi huo utatumia trilioni 1.2 na ni mkopo lakini lengo ni kuwa na hospitali bora zaidi Muhimbili ya sasa imeshindwa kupata ithibati kutokana na majengo kusambaa na kutumia eneo kubwa. Mpango huu ni mahsusi kwa ajili ya kujenga Muhimbili mpya yenye uwezo wa kulaza wagonjwa 1,300, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa majengo na usimikaji wa mitambo yote, na itatekelezwa kwa awamu saba.” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
36
22
280
48.2K
🙏 retweetledi
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
Kitu kingine cha lazima kujifunza mbali na uhuru wa kifedha ni Ujasusi. Ni lazima usome ujasusi utake au usitake ni lazima kama uko serious na maisha.
13
31
335
13.2K
KING👑🦅
KING👑🦅@Mill82556338·
@TheRealBonMushi @RamadhaniS47486 @SanvickRumas @BillyTronix1 Mimi nimeshasema mitume karibu wote ni waarabu,Sasa nitajie hao mitume kutoka banu Israel,na kwanini wote watoke huko?kwani hakuna Mwamfrika aliyepaswa kupewa huo utume? kwani Allah hakujua kwamba waarabu watakuja ifanya hii dini kwamba ni mali yao?kwanini double standard?
Filipino
1
0
0
27
Billy
Billy@BillyTronix1·
Uislam ulianza kufika Africa kabla hata ya Madina mji aliozikwa mtume Muhamad S.A.W..mtu akija na hoja eti mtu wa UAE ndio mwenye dini yake huyo ni kichaa tu mmoja!
Tanzania 🇹🇿
139
42
587
71.1K
KING👑🦅
KING👑🦅@Mill82556338·
@RamadhaniS47486 @SanvickRumas @BillyTronix1 Kaka tuachane na hili kwamba yesu ni mweusi,yesu kwani alitokea Afrika?mama yake ni Mwamfrika? Kwenye hoja ya mitume walipelekwa wengi kwa Waarabu sababu Waarabu ni waasi mimi nakataa,Kuna hoja nzito zaidi ya hiyo,sidhani kama waarabu Duniani wapo peke yao,kwanini wapewe umuhimu?
Filipino
1
0
0
166
🙏 retweetledi
Chief Outside Officer
Chief Outside Officer@TheOutsidePlug·
The movie is worth the watch🔥🎥🎬
English
82
513
3.5K
369.2K
🙏 retweetledi
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
Andika kitabu ulichotafuta sana hujawahi kukipata.
Indonesia
198
39
502
56.4K
🙏 retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Kongani ya Viwanda ya Kwala… eneo ambalo miaka michache iliyopita lilikuwa ardhi tulivu ya Kibaha mkoani Pwani Leo, ndicho kitovu kipya cha viwanda, ajira, na dira ya uchumi mpya wa Tanzania. Ndani ya kongani kubwa zaidi Afrika Mashariki yenye ukubwa wa ekari 2,500, fursa mpya zimeendelea kuchipuka hasa baada ya kuzinduliwa kwa kiwanda kikubwa zaidi barani Afrika cha kutengeneza vifaa vya kuzalisha umeme jua, solar power panels, kinachomilikiwa na kampuni ya Tanzol. Serikali kupitia ziara ya pamoja ya mawaziri watano siku ya Jumatano Desemba 10, 2025 iliyoratibiwa na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) @InvestTanzania , imeahidi kuboresha miundombinu muhimu ya umeme, maji, na reli hatua inayoongeza kasi ya kuifanya Kwala kuwa kitovu cha uzalishaji kwa ukanda mzima wa Afrika Mashariki. Wizara zilizoshiriki ziara hiyo ni Wizara ya Mipango na Uwekezaji chini ya Waziri Prof. Kitila Mkumbo @kitilam , Viwanda na Biashara iliyowakilishwa na Waziri Judith Kapinga, Maji ikiwakilishwa na Waziri Jumaa Aweso, Nishati ikiwakilishwa na Naibu Waziri Salome Makamba, na Muungano na Mazingira ikiwakilishwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Profesa Peter Msofe.
Indonesia
2
4
38
6.3K
🙏 retweetledi
George T. Diano
George T. Diano@georgediano·
You know a movie is going to be fire kun fire when it starts with such scenes & captions like "Pakistani- Afghan border 2008, 8 hours earlier" and it's based on a true story.
George T. Diano tweet media
English
184
931
7.7K
256.7K
🙏
🙏@TheRealBonMushi·
@chapo255 Ukiulizwa tatu bora zako sasa utaishia kusema prison break, money heist na breakin bad😂
0
0
1
55
🙏 retweetledi
Big Baby🌚❤️
Big Baby🌚❤️@AdesolaBlessin9·
What Series are you Currently watching?
English
3.2K
608
6.5K
685.4K
🙏 retweetledi
Monica Crowley
Monica Crowley@MonicaCrowley·
WHAT AN ENTRANCE! The Commander-in-Chief arrives on the USS George Washington at Yokosuka Naval Base 🇺🇸🇯🇵
English
1.1K
8.8K
51.8K
1M
🙏 retweetledi
Alté
Alté@the0nlychap·
see yansh wey person dey carry go war 💔
English
248
462
6.2K
548.6K