Vlux

3.5K posts

Vlux banner
Vlux

Vlux

@The_Vlux

Interested in change.

Katılım Aralık 2022
35 Takip Edilen73 Takipçiler
Vlux retweetledi
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Be strong kamanda, tutavuka ✌️
Mtikila Jr tweet media
2
18
157
1.2K
Vlux retweetledi
Kadogo551
Kadogo551@Kadogo551·
Hivi @SuluhuSamia wewe muuwaji utatuambia nini ? Mwachie Lissu inajulikana wewe ni muuwaji Na wewe amini wewe ni muuwaji hatuhitaji mjadala na wewe muuwaji Mwachie Lissu haraka sana
Indonesia
2
7
19
284
Vlux retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
This will not work! Mnajihesabu vipi watu wema na mmeua ninyi? Walioshika bunduki na kuua watanzania na kuficha miili ni ninyi! Msitutanie! Hivi hii nchi ina wazee wenye akili timamu huko kwenye mfumo au wamebaki machawa wazee tu!? #SamiaMustGo na Maridhiano HAKUNA ❌ Bila Haki hakuna Amani!
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus

#TANZANIA: WALIOHUSIKA WAFIKISHWE KWENYE VYOMBO VYA HAKI, WATU WEMA TUNAOBAKI TUINGIE KWENYE MARIDHIANO - WASIRA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya kuanza kwa mchakato wa maridhiano ya kisiasa, ni vyema kuwabaini kuwachukulia hatua za kisheria kupitia vyombo vya haki watu waliohusika na vurugu zilizosababisha madhara vikiwamo vifo. Amempongeza Rais Samia Suluhu kwa kuunda Tume ya Kuchunguza Vurugu za Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kujua kiini cha tatizo hilo. Wasira aliyaeleza hayo Mei 16, 2026 alipohutubia mkutano wa hadhara Mjini Kigoma akiwa katika ziara ya kichama mkoani humo. "Mimi sijasema jina la mtu, lakini wenye kujua hayo mambo wanajijua, waache jinai ichunguzwe kama walihusika waende kwenye vyombo vya haki na sio wengi, wanaobaki watu wema tukae tufanye nao maridhiano," alisema. Alimpongeza Rais Samia kwa kuunda tume ya kusaidia kujua chanzo cha vurugu hizo, pia alipongeza kazi nzuri iliyofanywa na tume hiyo kufanya uchunguzi huo. "Rais tunamshukuru na kumpongeza sana, kwa kuunda tume ya kutusaidia kujua chanzo. Tunampongeza na tunaipongeza tume ambayo imesema katika uchunguzi wake imegundua kuna watu si wengi lakini ndio walioanza mpango ule walifadhili" - Wasira "Sasa wanasema (tume) wao hawakuwa polisi wa kuwakamata, lakini wanasema tuchunguze wale walioonekana ili tusiwe tunafuga nyoka ndani ya nyumba" - Wasira. Aidha, Wasira alisema hakuna anayeshabikia matukio yenye kuumiza yaliyosababisha vifo na kwamba anayefanya hivyo hayuko sawa kiakili. "Wanasema watu wamekufa, ni nani anafurahia kufa watu labda uwe na wewe akili yako imeharibika kama unasherehekea kufa watu. Wote tunapinga mauaji, lakini nani amesababisha, halafu wale walioko wengine kama tunawahisihisi ndio tena wanataka kutufundisha namna ya kufanya vurugu muanzishe nyie na namna ya kumaliza mgogoro mtupe nyie, hapana" - Wasira

Indonesia
6
39
108
3.9K
Vlux retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: WAMAMA WABEBA MABANGO YA KUTAKA LISSU AACHIWE HURU Wanawake waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA Geita mjini leo Mei 17, 2026 wajitokeza wakiwa na mabao yaliyoandikwa Free Lissu na Katiba Mpya.
Indonesia
0
28
93
1.8K
Vlux retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: SUGU AMVAA VIKALI JAJI CHANDE SAKATA LA MAUWAJI YA OKTOBA 29 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amesema hawakubaliani na ripoti ya Jaji Chande sakata la mauwaji yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi wa 2025 hasa juu ya idadi ya waliouawa siku hizo. Sugu amesema kwa swala hili la mauwaji halitaisha hivi hivi hadi pale watakaposhughulikiwa wale waliouwa na waliotoa amri ya kuuwa raia. Zaidi: youtu.be/zNlXL2gacNw
YouTube video
YouTube
Indonesia
0
15
38
2.2K
Vlux retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: LISSU NI MWANASIASA NAMBA MOJA MWENYE USHAWISHI, HATUTAMSALITI - HECHE Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, @HecheJohn Mei 17, 2026 akiwahutubia wananchi wa Geita mjini amesema chama hicho hakitakubali vitisho vya kisiasa na kinataka mfumo wa vyama vingi nchini uendeshwe kwa haki na usawa bila upendeleo. “Tusitake kutishana hapa, tumekubali mfumo wa vyama vingi, ruhusuni mfumo wa vyama vingi ufanye kazi, uwanja ulingane mechi igongwe, asimame @TunduALissu hapa na @ccm_tanzania wachague wanayemtaka” - Heche. Aidha, Heche amtaja @TunduALissu kuwa ni mwanasiasa namba moja mwenye ushawishi mkubwa nchini na kusema @ChademaTZ2 haitamsaliti kiongozi huyo licha ya kile alichodai kuwa ni vitisho vya kubambikiwa kesi. “Sisi tumekataa, hatutamsaliti, sasa wanatutisha hapa wanatuambia wote watatubambikia kesi, wafanye wanachotaka” - Heche. Zaidi: youtu.be/S7gq4B2LD4g
YouTube video
YouTube
Indonesia
1
17
48
1.2K
Vlux retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: MAHINYILA AWAONYA WANAOWADHIHAKI VIJANA SAKATA LA LISSU, "LISSU NI MPANGO WA MUNGU, MUACHIENI" Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa @ChademaTZ2 Taifa, Wakili Msomi @AdvMahinyila katika uzinduzi wa kampeni ya Free Lissu na madai ya Katiba mpya amesema wapo baadhi ya watu wanawadhihaki vijana wakisema kama kweli vijana asilimia 90 wanamkubali Lissu wamefanya nini ili atoke gerezani?, Mahinyila amesema watu hao waendelee kuwadhihaki vijana ili wawajaze hasira, "mimi nawaambieni, mwachieni Tundu Lissu, @TunduALissu ni mpango wa Mungu" Zaidi: youtu.be/NWIObUDLAIQ
YouTube video
YouTube
Indonesia
3
30
112
4.5K
Vlux retweetledi
Liquidity Sniper
Liquidity Sniper@Liqui_Sniper·
@TheEconomist Spot on, mate. Really heartbreaking to see hopes dashed like this. Sending solidarity from Australia, keen to hear how people there are coping and what folks need most?
English
0
1
1
85
Vlux retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
@TheEconomist She is a violent psychopath who caused the massacre of thousands #TanzaniaMassacre is the flashpoint of her bloody rule but the killings and abductions started before
English
0
9
37
1.2K
Vlux retweetledi
Chadema Kanda ya Pwani
Chadema Kanda ya Pwani@chademapwani·
Mh Mwenyekiti Boniface jacob kwa niaba ya watu wa Dar es salaam na kanda ya Pwani kwa ujumla atoa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao kutokana na mauji ya raia yaliyoyokea oktoba 29 na siku kadhaa zilizofata
Indonesia
1
22
122
1.4K
Vlux retweetledi
Liberatus Mwang'ombe
Liberatus Mwang'ombe@Liberatus80·
After the October 29, 2025 mass protests and the reported killings, investor confidence in Tanzania was shaken badly. Some wealthy Tanzanians are already moving their money abroad because capital fears instability. @moodewji understands this. If the politics aren’t fixed, the economy will suffer even more. #TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Liberatus Mwang'ombe tweet media
English
5
21
71
4.2K
Vlux retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Tanzanians had hoped Samia Suluhu Hassan would usher in a more open society. Now her repressive regime threatens the country’s achievements and its future economist.com/leaders/2026/0…
English
18
39
100
25K
Vlux retweetledi
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Mama anauwa watu kwa kutumia njia nyingi sana ili kupoteza ushahidi.
Joyce Evaristi tweet media
Filipino
55
60
722
71.9K
Vlux
Vlux@The_Vlux·
@lifeofmshaba Alafu leo eti Zitto anajifanya ameguswa na watanzania waliouawa
Indonesia
0
0
2
32
Vlux retweetledi
Vlux retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057
Indonesia
24
127
1.1K
59.9K