#HipHopFamily kuweka sawa kumbukumbu SI uchochezi bwana ✊🏿
Hip Hop culture siyo Taarabu vita ya vijembe!
Hip Hop niuhalisia ukizingua unazinguliwa.
#TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️
Nimeona sehemu interview ya huyu Manzi anasema kuna mchezaji wetu wa Manchester united anamsumbua na amempa onyo akiendelea atamtaja😂mnahisi ni mchezaji gani anamsumbua
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo March 30,2026 amewasilisha Ripoti Kuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo amesema deni la Serikali limeongezeka hadi kufikia Tsh. trilioni 110.05 kutoka Tsh.trilioni 97.35 ambapo deni hilo limechangiwa zaidi kwa kuongezeka kwa mikopo ya nje na kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dola za Marekani.
Dkt. Kichere amesema ““Ongezeko hili limechangiwa zaidi kwa kuongezeka kwa mikopo ya nje pamoja na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani ambapo kushuka kwa thamani kumechangia ongezeko la deni la Tsh. trilioni 2”
“Tathmini ya uhimilivu wa deni imebaini kuwa deni la Serikali bado lipo ndani ya viwango salama vinavyokubalika Kimataifa huku thamani ya sasa ya deni lote la umma kwa pato la Taifa ikiwa ni asilimi 40.7 chini ya ukomo wa asilimia 55 na deni la nje kwa pato la Taifa likiwa ni asilimia 24.9 chini ya ukomo wa asilimia 40”
#MilardAyoUPDATES
VIDEO:
Leo, Ijumaa Desemba 05.2025, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam
Pamoja na mambo mengine, akiwa kwenye kikao hicho ameulizwa swali kuhusu madai ya kutekwa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole...
Jamaa mmoja alisema siku moja “ Kunywa nyumbani badala ya kunywa baa hakuniendei vizuri sana. Hivi karibuni nilikaribia kumuomba mke wangu namba yake ya simu”